logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Kiongozi wa Kijeshi Aapishwa Kuwa Rais

KIONGOZI wa Kijeshi wa Burkina Faso, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, ameapishwa kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Akiwa amevaa sare za kij . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Simba Wampa Masharti Mawili Morrison

UONGOZI wa Simba licha ya kumsamehe winga wao, Bernard Morrison, lakini wamepatia masharti ambayo anatakiwa kuyafuata baada ya kupewa msamah . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Baba Adaiwa Kumpa Mimba Binti Yake

Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika . . .

Uwekezaji
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

kilio cha ubadirifu wa fedha za mikopo

 Ni kilio cha ubadirifu wa fedha za mikopo inayotolewa na halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

“Hakuna mgogoro kati ya Wananchi na Hifadhi Njombe” Naibu Waziri Utalii

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema hakuna mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kata za Inyala, Itewe, I . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Ujerumani inapanga kuondoa vizuizi vya Covid-19 mwezi Machi

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na viongozi wa majimbo 16 wametangaza mipango ya kuondoa vizuizi vya kukabiliana na Covid-19 kufikia mwis . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Israel yaushambulia mji wa kusini mwa Damascus

Vyombo vya habari vya serikali ya Syria vimeripoti kuwa Israel imeushambulia kwa makombora mji wa kusini mwa Damascus jana jioni, na kus . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Mvua kubwa zasababisha vifo vya watu 94 huko Brazil

Watu 94 wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwenye mji wa mlimani wa Petropolis nchini Brazil. Mvua hizo zilizoanza kunyesha . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Marekani yaituhumu Urusi kuongeza wanajeshi mpakani mwa Ukraine

Marekani imetupilia mbali ripoti za Urusi kuondoa wanajeshi wake mpakani mwa Ukraine na badala yake ikaituhumu Moscow kwa kupeleka wanajes . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Kipigo cha 7-0, Masau Bwire atoa visingizio

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya klabu ya Ruvu Shooting Masau Bwire amekiri kuwa mnyonge, kufuatia timu yao kukubali kichapo cha . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Mfanyakazi wa ndani atolewa figo na mwajiri bila yeye kujua

Mwanamke mmoja mwananchi wa Uganda, aliyekuwa akifanya kazi za nyumbani nchini Saudi Arabia, amethibitika kuondolewa figo yake ya kulia . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Wafanyabiashara marufuku kupanga bei

Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Profesa Godius Kahyarara amesema licha ya serikali kutopanga bei, hata wafanyabiashar . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Lissu amuomba Rais Samia kumuachia Mbowe

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan . . .

Viwanda
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

NEMC yaonya matumizi ya Dizel ya Viwanda

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeonya wamiliki wa vituo vya mafuta na wananchi kuepuka kununua dizeli in . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Kauli tata ya ubatizo yasababisha Padri ajiuzulu

Padri mmoja nchini Marekani amejiuzulu utumishi wake wa upadri aliotumikia kwa miaka mingi baada ya kufahamika kuwa amekuwa akiwabatiza . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Faida za Kula Parachichi Kiafya

PARACHICHI ni miongoni mwa matunda yenye ladha nzuri na ni maarufu hapa Tanzania. Kutokana na utamu na wingi wake wa mafuta, unaweza kud . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Mwanafunzi Mwenye Umri Wa Miaka 19 Kumpachika Mimba Mwalimu Wake.

Richard Nana Sam, mwanamume mmoja kutoka Ghana ambaye alihuzunishwa na matukio ya hivi majuzi yaliyotokea nyumbani kwake aliamua kuyasimula . . .

Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Msanii wa Nigeria Rema atangaza ujio wa collabo na Chris Brown

Ni Headlines za mkali kutokea nchini Nigeria, Rema ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kuonekana kwneye picha ya pamoj . . .

Muziki
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

RODJAZZ, MWANAMUZIKI CHIPUKIZI TANZANIA WA KUTAZAMWA 2022

“Ninatarajia kuachia kazi zenye ubora na ubunifu mkubwa ili kuendana na kasi ya soko la muziki ndani na nje ya Tanzania”Rodgers George m . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Mvulana wa Sudan aokolewa baada ya kukwama kwenye lori la tatataka kwa saa nane

Mvulana mwenye umri wa miaka 10-ameokolewa saa nane baada ya kukwama katika lori la takataka katika mji mkuu wa Sudan Khartoum.Mvulana . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Raia wa Burundi aliyekuwa kinyozi kambi ya wakimbizi Tanzania awa mwalimu wa chuo kikuu Marekani

John Nahimana anafundisha unyoaji nywele katika chuo kikuu cha Marekani, na alianza kazi yake katika kambi ya wakimbizi ya Kanemba nchin . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Nyoka Asababisha Ndege Itue Kwa Dharura

Ndege ya Shirika la AirAsia iliyokuwa ikisafiri kutoka Kuala Lumpur kuelekea katika Mji wa Tawai nchini Malaysia, imelazimika kutua kwa . . .

Jembe Maktaba
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Maajabu ya Maporomoko ya Maji Yanayofanana na Damu

Hebu vuta picha, mto unatiririsha maji na kuna sehemu kuna maporomoko ambapo maji yanadondoka kutoka juu mpaka chini lakini tofauti na maj . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Wamiliki wa vyombo vya habari watakiwa kutoa mikataba ya ajira kwa waandishi

Serikali imewataka waajiri na wamiliki wa Vyombo vya habari nchini kuwaajiri waandishi wa habari kwa mikataba maalumu ambayo inampa mwan . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Mwalimu Aliyebaka Wanafunzi 13, Kutunga Mimba 8 Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela.

Mwalimu mmoja wa dini nchini Indonesia, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kuwabaka wanafunzi 13 wa kike.Herry Wirawan, ambaye alik . . .

SOKA
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Morocco Yakubali Kushiriana Na Tanzania Kwenye Michezo

Waziri wa utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa  Februari 15, 2022 amekutana na Balozi wa Morocco nchini Mhe. Zakaria . . .

Mahakamani
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Hatma Kesi ya kina Mbowe kujulikana Ijumaa

 Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imesema Ijumaa Februari 18, 2022 itatoa uamuzi iwapo Mwenyekiti wa Ch . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Wauza Damu Na Viungo Vya Binadamu Sikonge Mbaroni

Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu wanne akiwemo mganga wa kienyeji aliyekuwa akinunua damu kwa shilingi 600,00 ikiwemo&n . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Waziri Makamba amjibu Msukuma ishu ya Umeme “Huo sio Ubunge, kupanda helkopta’

Waziri wa Nishati Januari Makamba amejibu baadhi ya hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme ambapo amesema suala la hilo limezungumzwa n . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Siku chache baada ya ajali daraja la JPM, Wafanyakazi watishia mgomo

Feb 15, 2022 baadhi ya Wafanyakazi katika Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi wametishia mgomo wakishinikiza kulipwa st . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Rais wa zamani wa Honduras Juan akamatwa na polisi

Rais wa zamani wa Honduras Juan Orlando Hernandez amekamatwa na polisi nyumbani kwake kufuatia ombi la Marekani la kutaka kiongozi huyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Putin "Hatutaki vita Ulaya tuko tayari kwa mazungumzo"

Rais Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kuwa Urusi haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Umoja wa Ulaya wafikiria wauzaji wengine wa gesi asilia

Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amethibitisha kuwa jumuiya hiyo imechukua tahadhari kubwa endapo Urusi itasitis . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Macron kujadili mustakabi wa wanajeshi wa Ufaransa Mali

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron leo atakutana na washirika wake wa Ulaya kujadili juu ya ujumbe wa kijeshi nchini Mali. Maafisa wa serika . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Benki ya dunia yaonya mgogoro wa madeni kwa nchi zinazoendelea

Ripoti mpya ya Benki ya dunia inasema baadhi ya nchi maskini zaidi duniani zinakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni ambao unatatatiza juhudi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Atiwa mbaroni kwa kutoa taarifa za uongo

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemkamata mfanyabiashara Maila Majula (29), mkazi wa Makongo juu kwa kutoa taarifa za u . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Yacouba Apewa Siku 45 Tu Yanga

DAKTARI wa viungo wa Yanga, Mtunisia, Youssef Ammar, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne, amepata nafuu na atarejea uwa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Baada ya Ukame wa Muda, Ronaldo Aweka Kambani

Baada ya kukosa ushindi katika mechi tatu za mwisho kwenye Ligi mechi mbili na moja Kombe la FA, Manchester United imefanikiwa kuibuka na . . .

afya
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Rais Samia: Tutajenga Kiwanda Cha Chanjo ya Corona

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inataka kuanzisha viwanda vya kutengeneza chanjo ya virusi vya corona ikiwa ni . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Maelezo yaibuka kuhusu mauaji ya msichana kutoka Somalia aliyeuwa na mwanamme kutoka Iraq kwa sababu ya mapenzi

Maelezo zaidi yanaibuka kutokana na mauaji ya msichana wa Kisomali aitwaye Dahabo Omar huko Malaysia siku ya Jumapili.Kuna taarifa mbalimbal . . .

Kurasa 191 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category