Viongozi wa Umoja wa Afrika na wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels kwa mazungumzo ya siku mbili kuanzia leo, wakiazimia kuimarisha . . .
Mwanafunzi wa darasa la 7 shule ya msingi Mwenge manispaa ya Morogoro Faidhati Ibrahim Gadafi (13 )ameuawa kwa kukatwa na mapanga na kaka . . .
Mwanasoka wa zamani wa Zimbabwe Charles Yohane amefariki dunia nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 48 katika tukio linaloonekana . . .
Mwanaharakati wa kuwatetea wafanyakazi Francis Atwoli amemkashifu Seneta wa Kakamega Cleophas Malala kwa madai ya kutomheshimu licha ya kuch . . .
aarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2021 imeeleza kuwa taarifa za . . .
Naibu rais wa Kenya amejitetea baada ya kuibua hasira katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na matamshi yake ya awali yaliyoa . . .
KIONGOZI wa Kijeshi wa Burkina Faso, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, ameapishwa kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Akiwa amevaa sare za kij . . .
UONGOZI wa Simba licha ya kumsamehe winga wao, Bernard Morrison, lakini wamepatia masharti ambayo anatakiwa kuyafuata baada ya kupewa msamah . . .
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika . . .
Ni kilio cha ubadirifu wa fedha za mikopo inayotolewa na halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika . . .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema hakuna mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kata za Inyala, Itewe, I . . .
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na viongozi wa majimbo 16 wametangaza mipango ya kuondoa vizuizi vya kukabiliana na Covid-19 kufikia mwis . . .
Vyombo vya habari vya serikali ya Syria vimeripoti kuwa Israel imeushambulia kwa makombora mji wa kusini mwa Damascus jana jioni, na kus . . .
Watu 94 wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwenye mji wa mlimani wa Petropolis nchini Brazil. Mvua hizo zilizoanza kunyesha . . .
Marekani imetupilia mbali ripoti za Urusi kuondoa wanajeshi wake mpakani mwa Ukraine na badala yake ikaituhumu Moscow kwa kupeleka wanajes . . .
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya klabu ya Ruvu Shooting Masau Bwire amekiri kuwa mnyonge, kufuatia timu yao kukubali kichapo cha . . .
Mwanamke mmoja mwananchi wa Uganda, aliyekuwa akifanya kazi za nyumbani nchini Saudi Arabia, amethibitika kuondolewa figo yake ya kulia . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Profesa Godius Kahyarara amesema licha ya serikali kutopanga bei, hata wafanyabiashar . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan . . .
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeonya wamiliki wa vituo vya mafuta na wananchi kuepuka kununua dizeli in . . .
Padri mmoja nchini Marekani amejiuzulu utumishi wake wa upadri aliotumikia kwa miaka mingi baada ya kufahamika kuwa amekuwa akiwabatiza . . .
PARACHICHI ni miongoni mwa matunda yenye ladha nzuri na ni maarufu hapa Tanzania. Kutokana na utamu na wingi wake wa mafuta, unaweza kud . . .
Richard Nana Sam, mwanamume mmoja kutoka Ghana ambaye alihuzunishwa na matukio ya hivi majuzi yaliyotokea nyumbani kwake aliamua kuyasimula . . .
Ni Headlines za mkali kutokea nchini Nigeria, Rema ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kuonekana kwneye picha ya pamoj . . .
“Ninatarajia kuachia kazi zenye ubora na ubunifu mkubwa ili kuendana na kasi ya soko la muziki ndani na nje ya Tanzania”Rodgers George m . . .
Mvulana mwenye umri wa miaka 10-ameokolewa saa nane baada ya kukwama katika lori la takataka katika mji mkuu wa Sudan Khartoum.Mvulana . . .
John Nahimana anafundisha unyoaji nywele katika chuo kikuu cha Marekani, na alianza kazi yake katika kambi ya wakimbizi ya Kanemba nchin . . .
Ndege ya Shirika la AirAsia iliyokuwa ikisafiri kutoka Kuala Lumpur kuelekea katika Mji wa Tawai nchini Malaysia, imelazimika kutua kwa . . .
Hebu vuta picha, mto unatiririsha maji na kuna sehemu kuna maporomoko ambapo maji yanadondoka kutoka juu mpaka chini lakini tofauti na maj . . .
Serikali imewataka waajiri na wamiliki wa Vyombo vya habari nchini kuwaajiri waandishi wa habari kwa mikataba maalumu ambayo inampa mwan . . .
Mwalimu mmoja wa dini nchini Indonesia, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kuwabaka wanafunzi 13 wa kike.Herry Wirawan, ambaye alik . . .
Waziri wa utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa Februari 15, 2022 amekutana na Balozi wa Morocco nchini Mhe. Zakaria . . .
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imesema Ijumaa Februari 18, 2022 itatoa uamuzi iwapo Mwenyekiti wa Ch . . .
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu wanne akiwemo mganga wa kienyeji aliyekuwa akinunua damu kwa shilingi 600,00 ikiwemo&n . . .
Waziri wa Nishati Januari Makamba amejibu baadhi ya hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme ambapo amesema suala la hilo limezungumzwa n . . .
Feb 15, 2022 baadhi ya Wafanyakazi katika Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi wametishia mgomo wakishinikiza kulipwa st . . .
Rais wa zamani wa Honduras Juan Orlando Hernandez amekamatwa na polisi nyumbani kwake kufuatia ombi la Marekani la kutaka kiongozi huyo . . .
Rais Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kuwa Urusi haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana . . .
Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amethibitisha kuwa jumuiya hiyo imechukua tahadhari kubwa endapo Urusi itasitis . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron leo atakutana na washirika wake wa Ulaya kujadili juu ya ujumbe wa kijeshi nchini Mali. Maafisa wa serika . . .