Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi . . .
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimesema hakitambui wala kuhusika kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wataaluma wa Chuo . . .
Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, umewasilishwa na Mjumbe Maalum na Waziri wa Ushirikiano wa Ki . . .
Mahakama ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam Oktoba 22,2025 imewahukumu kutumikia kifungo cha miaka 35 jela Mohamed Aloyce Mtangile mwenye . . .
Raia wengi wa Ujerumani wanakubaliana na matamshi ya hivi karibuni ya kansela wa Ujerumani Friedrich Merz yanayopendekeza kwamba matatizo ya . . .
Naibu Kamishna wa Uhamiaji (Utawala), DCI Elizabeth Lukuwi Oktoba 23 mwaka huu amefanya ziara ya kikazi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa . . .
Wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari wameipongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari, wakisema h . . .
Kampuni ya Meta, hapo awali inayojulikana kama Facebook, imepanga kuondoa takriban wafanyakazi 600 kutoka katika kitengo chake cha AI, hatua . . .
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 23 mwaka huu amekagua ujenzi wa kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi na kuagiza kituo hi . . .
Wananchi wa Cote Dvoire, kesho watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu ambao rais Alassane Ouattara, anatarajiwa kushinda muhula wa nne, baada ya . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imekabidhi Mbegu ya kisasa ya Choroko tani moja na nusu kwa Wakulima wa Mkoa wa . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa amekabidhi kiasi cha shilingi mi . . .
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Wizara ya Kilimo, Bw. James Kibamba, amewataka Wataalamu wa udongo nchini kutekeleza majukumu ya . . .
Tathmini iliyofanyika hivi karibuni imeonesha kuwa matumizi ya mbolea nchini yamefikia wastani wa kilo 21 kwa hekta moja. Hatua hii imechan . . .
Wataalamu wa usalama mtandaoni kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (WMTH) kwa kushirikiana na wizara na taasisi za umma, wa . . .
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetoa jumla ya shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya mikopo kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu we . . .
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi w . . .
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Salum Nyamwese amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 530 kwa ajili ya ujenzi wa wodi mpya ya wazazi katika Ho . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari manne mapya aina ya Robur Armored TLC300 ukiwa ni mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi hilo nchini.A . . .
KATIKA kipindi cha miezi minane pekee, Gavana wa Kaunti ya Nyeri, Mutahi Kahiga, amelazimika kujutia maneno yake ya kugawanya baada ya k . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza rasmi vikwazo vipya dhidi ya baadhi ya makampuni makubwa ya mafuta kutoka Urusi, hatua inayolenga . . .
David Kafulila ambaye ni Mkurugenzi wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri DART, kupiti . . .
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni yake Tanzu ya Uendelezaji . . .
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu Maalum Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Magreth Matonya amesema Serikali inaendesha programu mbalimb . . .
Idara ya uhamiaji Mkoa wa Geita imeendelea na jitihada zake za kupambana na wahamiaji haramu kupitia misako na doria mbali mbali . . .
Maafisa wawili wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai wametiwa mbaroni kufuatia kisa cha wizi katika eneo la Kasarani. Kulingana na r . . .
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewaonya viongozi wa Haiti kuwa muda wa kurejesha usalama na kuandaa uchaguzi mkuu nchini humo unaso . . .
Mahakama ya Wilaya ya Kasulu imewahukumu washitakiwa wawili Alphonce Gwalide ( 45) mkulima na mkazi Mvinza wilayani Kasulu na Jastine Yoramu . . .
Mnamo Oktoba 22 mwaka huu wajumbe kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) walishiriki kikao cha kimkakati kilichofanyika katika ofisi kuu z . . .
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Mkuu wa Wilaya ya Magu Mh. Jubilate Lawuo amewahakikishia wananchi kuwa ha . . .
Ndege kutoka Port Sudan imeitua alasiri ya Jumatano, Oktoba 22, mjini Khartoum, ambapo Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vilifurushwa miezi . . .
Baraza la Katiba limetangaza tarehe hiyo baada ya kupitia na kukataa rufaa zote zinazohusiana na uchaguzi wa Oktoba 12. Kwa upande wake, Iss . . .
Wakili Mkuu Mteule katika Mahakama Kuu ya Kijeshi baada ya kuwa karibu na rais wa sasa wa Kongo, afisa huyu wa zamani wa Joseph Kabila alika . . .
Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba pamoja na timu yake ya usimamizi wa huduma za afya mkoa (RHMT) leo Oktoba 22 mwaka huu wamefany . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekabidhi Magari pamoja na Vifaa vya Uokozi kwa Jeshi la Zimamoto na na Uokozi Mkoani humo na akatu . . .
Mkuu wa Chuo cha Taaluma Ya Polisi Dar es Salaam Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Dkt. Lazoro B. Mambosasa, amewataka maofisa wakaguzi na aska . . .
Jeshi la Polisi limethibitisha kuwakamata watu 12 ambao ni waendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda katika Mkoa wa Kipolisi Tarime Ro . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Dar es Salaam imekubaliana na pingamizi la tatu lililowasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu . . .
Mshambuliaji na kiungo wa zamani wa Tanzania Alphonse Modest amefariki dunia.Modest alicheza kwa timu za kikanda ikiwa ni pamoja na Si . . .
wapiga kura waliopoteza kadi za kupigia kura, Anamary amesema wanaweza kutumia pasi zao za kusafiria, au leseni ya udereva.Msimamizi wa ucha . . .