logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 16, 2025

Mgombea ubunge Jimbo la Simanjiro aahidi utatuaji uuzaji ardhi holela

 MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Arusha, James Ole Millya amesema endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kipaum . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 16, 2025

ACT Wazalendo yaahidi kuunda serikali jumuishi Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema wananchi wakimchagua ataunda serikali jumuishi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 16, 2025

NBAA yatoa elimu changamoto hati chafu

 Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imetoa elimu ya kitaalamu kuhusu changamoto ya hati chafu zinazojitokeza kwenye . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 16, 2025

Mwenge wapongeza falsafa ya Serikali kuleta mabadiliko ya kiuchumi

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ussi amesema kuwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali imeleta mabadiliko ya kiuchumi na . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 16, 2025

RC Iringa aombwa kuingilia kati mgogoro wa mirathi

Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa w . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

Wabunge waongeza muda wa rais kukaa madarakani

Wabunge nchini Chad, Jumatatu ya wiki hii walipitisha marekebisho ya katiba yanayoongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

Zaidi ya hamsini wauawa katika shambulio la magenge

Zaidi ya watu 50 waliuawa wiki iliyopita katika mfululizo wa mashambulizi ya magenge nchini Haiti, kulingana na ripoti iliyotolewa siku ya J . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

Raia wa Malawi wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa urais

Raia wa Malawi, hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, Wabunge na madiwani, uchaguzi ambao unatarajiwa kuamua mustakabali wa t . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

Hawa Hapa Mapilato Yanga Vs Simba leo Uwanja wa Mkapa, Kayoko Kwenye Orodha

JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, leo Septemba 16 2025 katik . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

Afisa wa Ngazi ya Juu Afutwa Kazi, Atuhumiwa Kumteka Nyara Mwanahabari Aliyefichua Ufisadi

Utawala wa Gavana Gladys Wanga umemchukulia hatua afisa mkuu anayedaiwa kumpiga mwanahabari.Katika taarifa kwa vyumba vya habari mnamo Jumat . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

Wakili " Hakuna kinachomzuia Gachagua kuwania urais iwapo nafasi za rufaa zipo"

WAKILI Charles Kanjama amesema kuwa kisheria, aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua anaruhusiwa kuwania urais mnamo 2027 kama kesi yake maha . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

UN "Kuna ongezeko la unene kupindukia kwa watoto na vijana"

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani WHO, kuna ongezeko kubwa la unene kupindukia miongoni mwa watoto wenye umri wa miaka 5 hadi . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Ruto apanga kubomoa Matiang’i Gusiiland kwa kumwaga hela za maendeleo

MIRADI ya maendeleo ambayo Serikali Kuu inatekeleza katika eneo la Gusii inachukuliwa kama ya chambo cha kuwavutia wakazi wamuunge mkono Rai . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Uhaba wa mchele wanukia Kenya

UENDA Kenya ikakumbwa na uhaba mkubwa wa mchele kutokana na uhaba wa maji ya kutosha katika mashamba makubwa ya mpunga katika Mpango wa Kili . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Serikali Yawataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuhakikisha Miradi yote Inakidhi Viwango

SERIKALI imewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi nchini kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango ili kuwa mfano kwa viza . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Utambuaje Mpenzi Ambaye Anakusaliti? fuatilia Hapa

USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja, japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale . . .

Kikapu
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

TFF Yatangaza Viingilio Ngao ya Jamii Simba vs Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Ya . . .

Riadha
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Simbu Aandika Dhahabu ya Kwanza: Tanzania na kuingia Kwenye kwenye Historia ya Dunia

Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikikumbukwa kupitia mashujaa wake wa riadha kama Filbert Bayi, aliyewahi kuvunja rekodi ya dunia na kushin . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Burkina Faso Yapunguza Sikukuu za Umma Kuokoa Bilioni 17

 Serikali ya Burkina Faso imewasilisha muswada wa kupunguza idadi ya sikukuu za kitaifa kutoka 15 hadi 11, hatua inayolenga kuokoa takr . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Jeshi la Polisi Lamuita Polepole Kutoa Ushahidi wa Tuhuma

Jeshi la Polisi limetangaza kuwa linafanya uchunguzi kuhusiana na tuhuma za makosa ya kijinai zilizotolewa na Humphrey Herson Polepole. Tuhu . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Pingamizi la Mwanasheria Mkuu Lamng’oa Mpina Uchaguzi wa Urais 2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuondoa jina la Luhaga Joelson Mpina, mgombea wa urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, kat . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Folz Awaahidi Mashabiki Raha Kesho, Kapombe Atoa Onyo

Ikiwa kesho macho yote yataelekezwa kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo watani wa jadi Simba SC na Young Africans SC watakutana katika Ngao ya Ja . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Mwakioja aahidi kutatua changamoto, maji barabara Jimbo la Mkinga

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja amewahidi wananchi wa eneo hilo kuwa endapo watamc . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 15, 2025

Wanafunzi Kenyana wapewa elimu juu ya mimba za utotoni

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kenyana iliyopo kijiji cha Kenyana Kata ya Ring’ani Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wameelezwa madhara ya ndo . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tuhuma za Kutoka na Ex wa Mobetto

Staa wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva @luludivatz amefungukia tuhuma za kutoka kimapenzi na aliyekuwa X wa Hamisa Mobetto, Kel . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Sudan Kusini kuwarejesha wahamiaji nchini mwao

 SERIKALI ya Sudan Kusini imesema ipo katika mazungumzo na baadhi ya nchi za kigeni ili kuwarejesha wahamiaji waliopokelewa kutoka Mare . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Waafrika kuingia Burkina Faso bure kuanzia sasa

 SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kufuta ada za viza kwa raia wote wa nchi za Afrika, hatua inayolenga kurahisisha usafirishaji wa w . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Machar afunguliwa mashtaka Sudan Kusini

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashtaka mazito ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu, hatua in . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Kesi ya Kabila kuamuliwa leo DRC

 MAHAKAMA Kuu ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) inatarajiwa leo kutoa uamuzi wa kwanza kuhusu mashtaka yanayomkab . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Wananchi wa wilayani Kyerwa washauliwa kuacha tabia ya kutunza fedha majumbani

 Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ali Ussi amewashauri wananchi wa wilayani Kyerwa mkoani Kagera kuacha tabia ya kutunza fed . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

ZEC yawateua wagombea 11 Urais Zanzibar

 TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imethibitisha wagombea 11 wa urais wa Zanzibar kati ya 17 waliochukua fomu za uteuzi, baada ya kukidhi . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Je wajiandaaje na siku ya mwananchi leo

Mwananchi day ni tamasha la vibe duniani ndani ya uwanja wa Mkapa leo ni vibe kama lote, na tayali mashabiki wa Yanga SC washaanza kuingia u . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Vyombo vya dola vyatakiwa kutenda haki

Mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amevitaka vyombo vya dola Nchini kutenda haki kwa vyama vyote vya s . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa miaka 27 na miezi 3 jera

Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela saa chache siku ya jana Alhamisi baada ya kuku . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Kardinali Protase Rugambwa akutana na Samia Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Kardina . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

UEFA kuboresha kanuni za usajili kwa timu zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya

Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) umelainisha kanuni yake ya usajili kwa timu zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya, uamuzi amba . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • September 12, 2025

Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025/2026 itachezwa uwanja wa Puskas Arena

Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) imeamua Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2025/2026 itachezwa . . .

mikasa
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Fahamu aina mbalimbali za nyoka wenye sumu kali

Kila mwaka duniani kote kuna vifo 138,000 kutokana na kuumwa na nyoka.Nchini India kila mwaka zaidi ya vifo elfu 60 hutokea kutokana na kuum . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

VIJANA WAHIMIZWA KUTUMIA FURSA MBALIMBALI ZILIZOPO KUEPUKA CHANGAMOTO YA KUJIUA

Afisa Ustawi wa Jamii Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. Baraka Makona ametoa wito kwa jamii kutumia fursa mbalimbali zilizopo ili kuondok . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • September 11, 2025

FAT JOE : BIFU LANGU NA 50 CENT PAMOJA NA JAY Z LILININYIMA MABILIONI YA PESA"

Rapa Fat Joe amesema kuwa “Bifu” lake kubwa dhidi ya 50 Cents na Jay Z lililotokea katika miaka ya 2000, lilimgharimu mabilioni ya fed . . .

Kurasa 24 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category