logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Mahakama ya Afrika leo kutoa hukumu ya uchaguzi mkuu 2020

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Alhamisi, Juni 26, 2025 inatarajiwa kutoa hukumu za mashauri mawili yaliyofunguliwa na r . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 25, 2025

Waandamanaji 2 wa Gen Z Wapigwa Risasi na Polisi

Maandamano yanayoendelea ya kizazi cha Gen Z katikati mwa Jiji la (CBD) jijini Nairobi yameanza kuchukua mkondo mbaya. Maandamano hayo, . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 25, 2025

Mama Adaiwa Kuwaua Watoto Wake Wawili Baada ya Kukorofishana na Mumewe

Wasichana wawili wadogo wanaripotiwa kufariki baada ya mama yao mwenye umri wa miaka 26, Mary Mushi, kudaiwa kuwachoma kisu tumboni. Ba . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 25, 2025

UWAMWA kunusuru wanafunzi na adha ya usafiri

Ushirika wa usafirishaji mkoa wa Mwanza UWAMWA imezindua gari 10 kwa lengo la kusafirisha wanafunzi kwenda shule na kuwarudisha ili kuepuka . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Jera miaka 20 kwa udhalilishaji wa kingono

Mkazi wa Kijiji cha Lituhi kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma Winfridi Twahibu Mahundi {29} amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Magenge ya uhalifu yatikisa Haiti ongezeko la vitendo vya ukatili– UN

 WATAALAMU wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuwa magenge ya wahalifu yanayodhibiti maeneo makubwa ya Haiti yameongeza vitendo vya u . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Serikali Kenya yapiga marufuku kurusha Live matangazo ya Gen Z

MAMLAKA ya Mawasiliano nchini Kenya (CAK) imevitaka vyombo vya habari nchini humo kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yaliyof . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Waliotemwa na Samia kuwania nafasi za ubunge katika majimbo hayo

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kuhamisha viongozi mbalimbali, wakiwemo wakuu wa mikoa watano na wakuu wa wilaya 17. Hatua . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Majaliwa yatangaza taasisi za umma kujiunga na mfumo wa kielektronik kuanzia juni 23 hadi julai 30

JUZI Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kuhusu mifumo kusomana akilenga dhamira ya se . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Wadau wa siasa watabiri ongezeko la wabunge wapya bunge lijalo

WADAU wa siasa wamesema bunge lijalo linaweza kuwa na wabunge wengi wapya kutokana na wabunge wanaomaliza muda wao wengi kutotatua changamot . . .

SOKA
  • Na Jacobmlaytz
  • June 25, 2025

MAKOCHA WA AZIZ KI WAPATA AJALI

Kocha wa klabu ya WYDAD AC  Mohamed Amin Benhashem, na daktari wa timu Abdel -razzaq Haifti wamepata ajali Mbaya ya Barabarani huko Wa . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jacobmlaytz
  • June 25, 2025

NYOTA WA BARCELONA ATIMKIA AS MONACO

AS Monaco imefikia makubaliano na Barcelona ya kumsajili winga wake Ansu Fati kwa mkopo wenye chagua la kumnunua moja kwa moja Ansu Fat . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jacobmlaytz
  • June 25, 2025

LYON YA UFARANSA YASHUSHWA DARAJA

Klabu ya Olympique Lyon Rasmi imeshushwa daraja kutoka Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) hadi Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) lakini bado wanaruh . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Iran yateketeza adhabu ya kuwanyonga majasusi watatu wa Israel

Iran imetekeleza adhabu ya kuwanyonga majasusi watatu wa Israel waliokuwa wakitumikia kifungo katika Gereza la Urmia Mkoa wa Azerbaijan Magh . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Simba yaahidi kuwepo na kucheza derby ya Karyakoo

Simba imethibitisha kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Yanga ‘Kariakoo Derby leo d kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.Mechi hiyo imepangwa ku . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

China kuendelea kununua mafuta Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa China inaweza kuendelea kununua mafuta ya Iran baada ya Israel na Iran kukubaliana kusitisha mapi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Samia awasili nchini Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Jamhuri ya Msumbiji 24 Juni 2025 ambapo anatarajiwa kuwa Mg . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Watanzania 42 kutoka Israel warejea nchini

Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo tarehe 25 Juni 2025, k . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Wanafunzi 2,398 wanufaika na mikopo ya elimu ya juu

Serikali imesema imekuwa ikiongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu mwaka hadi mwaka ili kuwawezesha wanafunzi wote wakiwemo wenye mahitaji m . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Polisi Dar yahakikisha usalama wa mchezo wa Simba na Yanga hapo kesho

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Mwigulu atoa utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu . . .

UTALII
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Tanzania waibuka vinara kwa simba, nyati, chui Afrika

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan Kitandula alisema hayo bungeni Dodoma juni 23 alipoeleza mafanikio ya sekta ya utalii wakati aki . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Abbas Tarimba atoa yake ya moyoni kumtetea Rais –

MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba, amesema atasimamia ukweli kwa kueleza na kutetea mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassa . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Majaliwa yatoa maagizo 7 kwa taasisi na watumishi wa umma

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi.Ametangaza k . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza miradi ya umeme katika vitongoji kwa kuzingatia . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Baraza la Maaskofu lamteua Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi hospitali ya kanda Bugando

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemteua Dk Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, iliyopo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 24, 2025

Kesi ya CHADEMA yapigwa kalenda hadi Julai 10

Kesi iliyofunguliwa na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutoka Zanzibar, imepangwa kusikilizwa J . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 24, 2025

Rais Dk Mwinyi aongeza ukomo wa Baraza la Wawakilishi hadi Agosti 13

Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo leo, Juni 23,2025 wakati akihutubia hotuba ya kulifunga baraza hilo huko Chukwani, Zanzibar, ambapo alisema uko . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 24, 2025

Rais Samia afanya uteuzi wa MaDC, Makonda awekwa pembeni

Katika taarifa iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni 24, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, Rais Samia amemteua Es . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 24, 2025

Wabunge wa Amerika wagawanyika kuhusu mashambulizi Iran

BAADHI ya wabunge wa vyama vya Democrats na Republican wamelitaka bunge la Congress kupitisha uamuzi wa kuzuia Amerika kuingilia mapigano ya . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Museveni kugombea tena urais mwakani

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena kwa muhula mwingine wa uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao ili kuongeza utawal . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Wabunge kupiga kura za kupitisha bajeti kuu ya serikali

Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma Juni 24, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wata . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Jera kwa kosa la kulawitiwa mtoto mdogo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Kibaha Mkoa wa Pwani imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa Yasini Hassan Kibabu, Miaka 19, Mkulima na . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 23, 2025

RAPPER RUSS AFUNGUKA KUHUSU SABABU YA WASANII WENGI KUPATA DEPRESSION: “NILIKUWA HIVYO PIA, ILA NIMESHINDA”

Rapper na producer maarufu kutoka Marekani, Russ, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu tatizo la msongo wa mawazo (depression) linalowakumba wat . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 23, 2025

TIWA SAVAGE: NILIANZA MUZIKI BILA KUANGALIA PESA, LAKINI SASA NAJUA PESA NI KILA KITU

Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Tiwa Savage, amefunguka kuhusu safari yake ya muziki, akieleza kuwa alipoanza hakufikiria sana kuhusu fe . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Askari walihusika na mauaji ya muuza madini wahukumiwa kunyongwa

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, imewahukumu kunyongwa hadi kufa maofisa wawili wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, waliokuwa wakikabiliwa na ke . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Mechi ya Simba SC na Yanga SC kuamuliwa na marefa kutoka Misri

Kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa Tanzania inaenda kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania NBC kwenda kuamuliwa na Waamuzi ku . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Serikali kuwekeza nguvu mapambano dhidi ya dawa ya kulevya .

Serikali imesema imewekeza nguvu kubwa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevy . . .

Top Story
  • Na Jacobmlaytz
  • June 23, 2025

Waamuzi YANGA NA SIMBA ni waarabu watupu

Waamuzi wa mchezo wa Derby kati ya Yanga SC vs Simba SC wanatoka Misri na Somalia.Mwamuzi wa kati  - Amin Mohamed Amin Omary (Misri)Ass . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • June 23, 2025

Maambukizi ya ukambi yaongezeka duniani chanjo ya kinga ikipungua

WATU wanaougua ukambi wamekuwa wakiongezeka duniani katika miaka ya hivi karibuni. Mnamo mwaka wa 2023, kulikuwa na visa milioni 10.3 dunian . . .

Kurasa 44 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category