Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa nchi hiyo imeombwa kuwa msuluhishi wa mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine. Rais Ramaphosa hajaweka wazi ni nani aliyewasilisha omb . . .
Mashambulizi ya Urusi leo hii yanaelezwa kuyalenga maeneo ya raia huko katika mji wa katikati wa Ukraine Dnipro, huku vikosi vya wanajeshi hao wakiujongolea mji mkuu, Kyiv ambapo maafisa wamesema . . .
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichwale amesema kuwa wanawake wanaonekana kuwa na hatari kubwa ya kupata matatizo Sugu ya Figo ukilinganisha na wanaume. Dkt. Sichwale amebainisha hay . . .
ukiambiwa kuna mzee nchini Uturuki amegonga miaka 339 duniani utaamini? Basi ishu iko hivyo; ila ukiamini utaungana na wenzako wasioamini na usipoamini utakuwa sehemu ya wasiaomini kwani ndivyo il . . .
Waandamanaji wawili waliuawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano nchini Sudan siku ya Alhamis huku maafisa wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wakionya kuwa nchi hiyo iko hatarini. Mamia . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ameimarisha uhusiano na Colombia kwa kuiteuwa nchi hiyo ya Amerika Kusini kuwa mshirika mkuu wa Marekani asie mwanachama wa NATO, na hivyo kufungua milango kwa ushirikia . . .
Wizara ya afya ya Tanzania imezindua zoezi la utoaji chanjo ya homa ya manjano baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kuripotiwa katika nchi jirani ya Kenya.Waziri Ummy Mwalimu amewaagiza watendaji wa hos . . .
Naibu wa kwanza wa balozi na mwakilishi wa kudumu wa Urusi Dmitry Polyanskiy amekanusha taarifa kuwa Urusi ilihusika kwenye shambulizi la kulipua hospitali ya watoto, katika mji wa Mariupol nchini . . .
Katibu wa Baraza Kuu la Kitaifa la Usalama la Iran, Ali Shamkhani, amesema Marekani haina nia ya kufikia makubaliano ya kuufufua mkataba wa nyuklia wa 2015 na Iran. Shamkhani amesema kwamba Mareka . . .
Maambukizi ya virusi vya corona nchini Ujerumani yamepindukia watu laki mbili na elfu hamsini (250,000) kwa siku moja kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa janga hilo. Haya ni kwa mujibu wa taasisi . . .
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Libya Stephanie Williams anajaribu kutafuta makubaliano mwezi huu kuhusu sheria za uchaguzi na mipango ya kikatiba nchini Libya, huku . . .
Serikali ya Ukraine imesema itaanzisha hifadhi kubwa ya chakula cha kutosha kuwalisha watu na vikosi vya jeshi wakati huu wa uvamizi wa Urusi.Chombo cha habari cha serikali kimemnukuu Waziri Mkuu . . .
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetolea ufafanuzi taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii kuhusu Joseph Haule Joseph Haule maarufu Prof. Jay. “Kuna video inayosambazwa na Mtandao wa . . .
Serikali sasa inawazia kulegeza masharti ya afya yaliyowekwa kufuatia mlipuko wa janga la COVID-19 miaka miwili iliyopita. Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alidokeza kwamba ataondoa sheria ya lazima y . . .
Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky ametoa wito hii leo wa kupata suluhu ya dharura kuhusu mvutano ulioibuka ya ombi la Poland la kuipelekea Ukraine ndege za kivita wazo ambalo Ujerumani, Canada na . . .
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte ametia saini sheria ya kuongeza umri wa Msichana kutoa idhini ya kufanya mapenzi kutoka miaka 12 hadi miaka 16 ikiwa ni juhudi za kuwalinda Watoto dhidi ya ubakaj . . .
KUFUATIA shambulio la hospitali ya wajawazito na watoto katika Mji wa Mauripol nchini Ukraine kutoka kwa majeshi ya Urusi, mawaziri wa mambo ya nje wa pande zote mbili leo Alhamisi, Machi 10 . . .
Wizara ya Kilimo imegawa jumla ya lita laki moja za dawa ya kudhibiti viwavijeshi kwa wakulima wa maeneo yote yaliyoripotiwa kuwa na mlipuko wa viwavijeshi nchini. Akizungumza na wananchi w . . .
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Amesema mwaka huu Ataongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mabasi hayo. Mtendaji . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Serikali ya Awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kipaumbele kwa sekta ya elimu ambapo imeweka msukumo katika kuongeza b . . .
Ofisi ya Bunge inawajulisha Wabunge wote kufika Dodoma siku ya Alhamisi tarehe 10 Machi, 2022 kwa ajili ya Shughuli za Kamati za Kudumu za Bunge kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Bunge wa Bajeti. . . .
Siku ya Jumatano, Machi 2, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la kutaka Urusi isitishe mara moja matumizi ya nguvu dhidi ya Ukraine. Nchi 141 ziliidh . . .
Iringa. Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa (RC), Queen Sendiga na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema serikali ipo katika majadiliano na mapitio ya sera ili kubadili sheria ya ndoa ambayo imekua ikileta . . .
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maswala ya Ukimwi, Kifua Kikuu, Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoya kuambukiza imetumia Siku ya Wanawake Duniani kuhamasisha wanaume nchini kujitokeza kupima ukimwi n . . .
Mrembo mmoja raia wa Zambia mwenye umri wa miaka 24, anayejulikana kwa jina Teresia, amefichua kuwa yeye huchumbiana na wanaume wote ambao hugharamia maisha yake ya kifahari. Teresia alisema . . .
Marekani imelikataa pendekezo la Poland la kutowa ndege za kijeshi za enzi za Kisovieti ili zikabidhiwe kwa Ukraine katika kuisaidia kwenye mapambano yake dhidi ya uvamizi wa Urusi, ikisema haliwe . . .
Mamlaka nchini Ukraine zinasema kuwa ndege za kijeshi za Urusi zimefanya mashambulizi mapya kwenye makaazi ya raia katika sehemu za kati na mashariki mwa nchi hiyo. Maafisa hao wanasema kuwa watu . . .
Marekani siku ya Jumanne ilisisitiza kuunga mkono mpango wa Morocco wa kujitawala kwa Sahara magharibi ili kusuluhisha mzozo wa miongo kadhaa wa ufalme huo na vuguvugu la kudai uhuru la Polisari . . .
Vikosi vya usalama vya Sudan vilimkamata kiongozi mkuu wa upinzani hapo Jumanne huku maafisa wakifyatua gesi ya kutoa machozi kuwazuia maelfu ya waandamanaji waliokuwa wakiandamana kupinga mapin . . .