Polisi nchini Kenya wamewakamata zaidi ya waendeshaji 200 wa boda boda katikati mwa jiji la Nairobi huku msako mkali dhidi ya sekta hiyo ukizidi kufuatia unyanyasaji wa kingono wa dereva wa k . . .
Mfalme wa zamani wa Uhispania Juan Carlos amesema ataishi mjini Abu Dhabi licha ya kukamilika kwa uchunguzi kuhusu shughuli zake za kifedha zilizosababisha kujipeleka mwenyewe uhamishoni katika Um . . .
Idadi ya wakimbizi wanaokimbia vita nchini Ukraine inatarajiwa kufika milioni mbili katika siku mbili zijazo. Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa Filippo Grandi amesema leo mjini Oslo . . .
Ujumbe wa maafisa waandamizi wa Marekani ulikwenda nchini Venezuela Jumamosi kwa mazungumzo na wajumbe wa serikali ya Rais Nicolas Maduro kuangalia uwezekano wa kupunguza vikwazo vya Marekani dh . . .
Kanisa katoliki nchini Malawi limeishutumu serikali kwa kuwa dhaifu juu ya ufisadi katika barua nadra ya ukosoaji iliyotolewa Jumapili kwenye makanisa kote nchini humo. Mamlaka inasema wamepokea . . .
MWAKA mmoja! Mwaka mmoja wa Utumishi uliotukuka, uzalendo, upendo na utu. Mwaka mmoja wa ushujaa kwake na kwa watanzania. Mwaka mmoja wa historia.Tutarudi hapa kwenye mwaka mmoja siku nyingine, Tu . . .
Kufungwa kwa mashamba 11 ya maua mkoani Arusha katika miaka ya hivi karibuni, kumesababisha hasara ya mabilioni na zaidi ya wafanyakazi 4,000 kukosa.Licha ya wamiliki waliopoteza mtaji, Serikali n . . .
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema tiketi zitakazotumika wakati wa safari za treni ya kisasa ya umeme SGR zitatumia mfumo wa kielektroniki katika hatua zote za ukaguzi wa kuingia, ndani ya tr . . .
Jeshi la polisi wilaya ya Nkasi limefika katika Kijiji Cha Mpasa kilichopo Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa na kufukua mwili wa Marehemu Ambaye alikuwa ni Mama mjamzito miezi 7 aliyefariki kwa kipigo . . .
Makachero wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wameanzisha msako dhidi ya mwanamume mmoja aliyemshambulia kwa kisu mwajiri wake kabla ya kutoweka na kiasi cha pesa kisichojulikana.Benjamin Munene Ndia . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza rasmi kuwa atawania muhula wa pili katika uchaguzi wa rais wa mwezi Aprili. Kwa muda sasa rais Macron alikuwa ameashiria kuwania kiti hicho katika uchag . . .
Mamlaka nchini Australia zimeonya hii leo juu ya ongezeko la mvua zaidi mwishoni mwa juma katika mikoa kadhaa iliyokumbwa na mafuriko mashariki mwa nchi hiyo. Mvua hizo huenda zikatatiza juhudi za . . .
Wakati maelfu ya watu wakiendelea kujificha katika mahandaki kukwepa vita na kutafuta usalama nchini Ukraine, mwanamke mmoja amepata uchungu na kujifungua mtoto chini ya ardhi. Tatiana mkaa . . .
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imesema imejipanga kuhakikisha inaongeza kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi ikiwa ni pamoja na kuwafikia wale wenye mahitaji maalum ili waweze kunufaika . . .
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia mradi wa VaSPHARD kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamefanya mafunzo kwa Waganga wa tiba asili na kisha kupima dawa zao ili waweze . . .
Viongozi wa Jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS wamefuta ziara yao nchini Burkina Faso iliyokuwa na lengo la kukutana na kiongozi wa kijeshi Paul-Henri Damiba. Taarifa ya ECOWAS imesema . . .
Wakati Serikali ikituma maofisa wa ubalozi wa Tanzania kwa nchi za Ujerumani na Sweden kuwafuatilia Watanzania waliokimbia vita nchini Ukraine, Serikali ya Poland imewapa siku 55 wawe wameondoka . . .
Wakati Serikali ikitoa jumla ya Sh333 bilioni kwa ajili ya manunuzi ya dawa, vifaa tiba na vitendanishi, Serikali imesema kuanzia sasa vituo vya afya na Bohari ya Dawa (MSD) vitapimwa kwa upatikan . . .
Kampeni zimeshika kasi ikiwa imesalia miezi 5 kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya. Wapinzani wa naibu wa rais William Ruto sasa wanadai anachelea kushindwa na ameanza harakati za kuyakataa matokeo . . .
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake juu ya ripoti kwamba kura iliyopigwa katika bunge la Libya kuidhinisha serikali mpya nchini humo haikutimiza masharti yanayokubalika kisheria.Matamshi hayo . . .
Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki - IAEA, Rafael Grossi, atakwenda Iran siku ya Jumamosi kufanya mikutano na maafisa waandamizi wa Iran. Msemaji wa shirika hilo la Umoja wa Mataif . . .
Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimekubaliana kuunda mkataba wa kisheria utakaoshughulikia uchafuzi wa mazingira kutokana na taka za plastiki baharini, mitoni na ardhini. Baraza la mazingira la . . .
Wanajeshi wa Urusi wameingia leo katikati ya mji wa bandari wa Kherson nchini Ukraine, siku moja baada ya madai yanayokinzana kuhusu kama Moscow imeukamata mji wowote mkubwa nchini humo kwa mara y . . .
Rais wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa(UNHRC), Balozi Federico Villegas alitangaza uteuzi wa watu watatu kuchunguza na kutoa taarifa kuhusu mzozo wa Tigray, Ethiopia.Katika taarifa J . . .
Mahakama kuu ya Migori imewahukumu raia wawili wa Tanzania kifungo cha miaka 35 kila mmoja kwa kosa la mauaji ya mwajiri wao.Marwa Magige Kieusi na Makonge Wangwi Maseti wote walipatikana na hatia ya . . .
Wakati majeshi ya Russia yakiendelea kushambulia miji nchini Ukraine, baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini humo wameeleza machungu ya vita hivyo wasijue hatima yao.Tayari Serikali ya Tanzania ime . . .
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi mawaziri sita akiwemo waziri wa fedha.Tangazo hilo lilitolewa katika taarifa ambayo haikutoa sababu zozote za kufukuzwa kazi kwa mawaziri hao wala kuto . . .
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete ametaka kuheshimiwa kwa mipaka ya ardhi baina ya kijiji na kijiji ili kuepuka migogoro.Alisema, mipaka ya vijiji imewekwa . . .
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura kwa wingi ya kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara moja mashambulizi nchini Ukraine na kuyaondoa majeshi yake yote, Mataifa 141 yameung . . .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amefungua Onesho la Mchango wa Wanawake katika Sekta ya Utalii nchini lililofanyika leo kwenye kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaa . . .