Mwanamme mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Ooko Alego wa nchini Kenya amefikishwa Mahakamani kutokana na kujihusisha na tukio la wizi nyumbani kwa jirani yake ambaye alimnyima nafasi ya kulal . . .
umemuona Ndugu yetu (Prof Jay) hali yake inazidi kuimarika, tumshukuru Mungu lakini niwashukuru madaktari kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kumhudumia, pamoja na mchango huu wa kuwezesha matatibu lak . . .
Ikulu ya Marekani Jumatano imeshinikiza Iran waziwazi kwamba ifufue kwa haraka mkataba wa nyuklia wa 2015, ikiongeza kwamba itakuwa vigumu kwa hilo kufanyika, wiki chache kuanzia sasa. . . .
Serikali imetangaza rasmi kuyafungulia magazeti manene ya Mwanahalisi, Mawio, Tanzania Daima na Mseto miezi kadhaa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aagize vyombo vya habari vilivyofungwa kufunguliwa . . .
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amesema wataendeleza ushirikiano na Wizara ya Kilimo ili kuhakikisha kuwa wanaimarisha Se . . .
IMEELEZWA lengo la kufikia 50 kwa 50 katika uongozi na nafasi za kufanya maamuzi nchini litafanikiwa tu endapo wanawake zaidi wataendelea kupata nafasi za uongozi kuanzia katika vyama vya siasa, . . .
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaanza ukaguzi na kuyatambua maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji nchini.Dkt Mabula alisema hayo . . .
Waziri wa Nchin Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema tafiti zinaonesha samaki na dagaa wanaopatikana katika Ziwa Victoria hawajaathirika kwa zebaki.Am . . .
Wawakilishi wadi katika Bunge la Migori (MCA) walimtimua Spika wao Boaz Okoth siku chache baada ya kukamatwa kwake. Jumla ya MCAs 46 walijitokeza kwenye kikao hicho, 11 walikosa kuhudhuria, wawili haw . . .
MVUA kubwa zilizoambatana na upepo mkali zinazoendelea kunyesha baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kilimanjaro, zimeezua mapaa na kubomoa nyumba 20 zilizoko katika Kijiji cha Munge  . . .
Milionea kutoka Jamhuri ya Czech Radim Passer anakumbwa na uchunguzi wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Ujerumani.Mmiliki huyo wa gari aina ya Bugatti Chiron alichapisha video ya jinsi alivyoongeza . . .
Korea Kaskazini ilijigamba siku ya Jumanne kwamba ni mojawapo ya nchi chache tu duniani zenye uwezo wa kuweka silaha za nyuklia na makombora ya hali ya juu na ndiyo pekee iliyosimama kidete kwa "ku . . .
Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia.Hatua hiyo inawadia wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika . . .
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeiagiza Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kufanya uchunguzi wa nauli zinazotozwa na mashirika washindani katika safari za ndani, na kuweka nauli ambazo zitawavutia . . .
Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania, Balozi Liberata Mulamula (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya S . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewapongeza wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya watu na Makaazi kwa hatua waliyofikia katika maandalizi ya Se . . .
Benki ya dunia Jumatatu imesema kwamba uchafuzi wa hewa mashariki ya kati pamoja na kaskazini mwa Afrika unasababisha hasara ya dola bilioni 141 za kimarekani kila mwaka.Kiasi hicho ni takriban as . . .
Watumishi wa Umma mkoani Mwanza wamempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kwa hatua yake ya kuunda kikosi kazi maalum cha wata . . .
Kufuatia kuwepo kwa wimbi la matukio ya mauaji jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limewatia nguvuni watu 22 kwa tuhuma za kuhusika na vitendo hivyo, huku likitoa mwelekeo wa namna ya kumal . . .
Mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran yanatarajiwa kuendelea tena Jumanne (08.02.2022) mjini Vienna, Austria baada ya kusitishwa mwishoni mwa mwezi Januari.Marekani imesema inawezekana mkata . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara imeahirisha kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara imeahirishwa hadi Februari 22, 2022 itakapotajwa tena.Watuhumiwa hao saba wanadaiwa k . . .
Agizo la Rais Samia Suluhu la kumtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati kuchunguza matukio ya mauaji mkoani Mtwara na Kilindi, Tanga limewaibua ndugu wa askari mwingine, Linus Mzema aliye . . .
Majambazi wawili waliokuwa na visu waliingia katika shule ya upili nchini Uswidi siku ya Jumatatu na kuiba kompyuta za wanafunzi, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti.Watu hao waliojifunika nyuso . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linasema watu milioni 13 kote katika Pembe ya Afrika wanakabiliwa na njaa kali kutokana na kuendelea kwa ukame.Mavuno yaliyoshindikan . . .
Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospitali hiyo.Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya A . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani kwa kuwezesha ujenzi . . .
Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira, amesema Rais Samia aachwe amalizie vipindi viwili vya urais kama ilivyo utamaduni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).Aliyasema hayo jana mkoani Mara a . . .
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amepuuzilia mbali tetesi kuwa muungano wa One Kenya Alliance (OKA) umetoa masharti ya kujiunga na mrengo wa Azimio la Umoja.Akizungumza mtaani Huruma, Kaunt . . .
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hali ya UViKO-19 nchini katika kipindi cha tarehe 29 Januari hadi 4 Februari, 2022, jumla ya 6,938 walipimwa na watu 206 walithibitika kuwa na Virusi vya . . .
Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospitali hiyo. Hayo yamesemwa leo Februari 7, 2022 na Kati . . .