Mojawapo ya mambo ambayo watu wengi huwa na hamu ya kujua ni masuala yanayohusiana na ulinzi wa viongozi .Katika hili Marekani ni mojawapo ya nchi ambazo zimetenga kiasi kikubwa cha fedha katika . . .
Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) kitaendelea kufanya kazi hadi 2030, kabla ya kutumbukia katika Bahari ya Pasifiki mapema 2031, kulingana na Nasa.Katika ripoti ya wiki jana, shirika l . . .
Mnamo Novemba 2020, msafara uliokuwa umembeba Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mashuhuri zaidi wa nyuklia wa Iran, ulishambuliwa. Aliuawa kwa bunduki iliyoelekezwa kwa njia ya teknolojia.Kufany . . .
Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati maalum ya kuchunguza mauaji ya aliyekuwa mfanyabiashara wa madini, mama wa mfanyabiashara huyo a . . .
Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. . . .
KATIKA kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wiki hii imetangaza maboresho ya Kanuni za Miundombinu ya Utangazaji . . .
Mwalimu Albert Kaguli (43) wa shule ya Msingi Kisokwe wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma amekutwa ameuwawa kwa kupigwa nan a kitu kizito kichwani."Tukio la leo kwa kweli ni tukio la huzuni na ote . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi katika mradi wa miundom . . .
Waziri wa uchumi wa Ujerumani Robert Habeck amelihimiza taifa hilo kupunguza utegemezi wake wa gesi asilia kutoka Urusi wakati kukiwa na wasiwasi kuhusiana na mzozo wa Ukraine.Matamshi yake yali . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga Batsirai katika maeneo ya kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi. TMA imesema Kimbunga hicho tangu kilipojitokeza kati . . .
Shirika la Utangazaji la Ujerumani - DW limeapa kuchukua hatua ya kisheria baada ya Urusi kulipiga marufuku kuendesha shughuli zake nchini humo. Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Urusi imetangaza jana kuwa . . .
Mbunge wa Bunda Vijijini, Mwita Getere ameibua tena sakata la wabunge kudai mikataba ya miradi mikubwa ipelekwe bungeni ili waipitie.Katika swali la msingi mbunge huyo ameitaja mikataba ya m . . .
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inao ushahidi kuhusu mpango wa Urusi kutoa mkanda bandia wa video, ikionyesha kitakachoelezwa kuwa ni shambulizi la Ukraine, ili iutumie kama kisingizi . . .
Vijana na wananchi mbalimbali nchini wameshauriwa kwenda Makumbusho ya Azimio la Arusha kujifunza misingi muhimu iliyowekwa na waasisi wa nchi hii wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwl Julia N . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amewaonya wasambazaji wa bidhaa za vifaa vya ujenzi kutokupandisha bei kwakuwa ni kosa la kisheria kupandisha bei z . . .
Hali ya utulivu imeonekana kurejea katika mji mkuu wa Guinea-Bissau, wakati serikali ikianzisha uchunguzi wa kile ilichokitaja kuwa jaribio la mapinduzi lilolenga kumwondoa madarakani rais Uma . . .
Maafisa katika mji wa Argentina wa Buenos Aires, wanajaribu kuzuwia mauzo ya mihadarati aina ya kokeni baada ya kuwauwa watu wapatao na wengine 70 kulazwa hospitalini baada ya kutumia dawa hiyo . . .
Vikosi maalum vya Marekani vimefanya uvamizi dhidi ya ugaidi katika eneo linaloshikiliwa na upinzani kaskazini-magharibi mwa Syria, karibu na mpaka wa Uturuki, Pentagon imesema.Msemaji alisema k . . .
Image caption: BibliaMwanamume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuwa akitaka ni kumjua Mungu tu. Augustine Wanyonyi, 35, alia . . .
Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar imepokea msaada wa wa vifaa tiba ya mama na mtoto vyenye thamani ya Tsh milioni 92 kwa lengo la kuimarisha afya bora nchini.Ak . . .
. . .
Naibu Katibu mkuu wizara ya maji ,Mhandisi Nadhifa Kemikimba ametembelea mradi wa maji wilayani Longido na kusema wameridhishwa na mradi huo unavyotekelezwa.Aliyasema hayo wakati alipotembele . . .
Mwanjeshi wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi.Humphrey Mangisani amepadishwa cheo kutoka askari alisiye na cheo hadi ko . . .
Mwanjeshi wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi.Humphrey Mangisani amepadishwa cheo kutoka askari alisiye na cheo hadi ko . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaum, Dkt. Dorothy Gwajima, amepokea ugeni wa Shirika la kupigania haki za wananawake na usawa wa kijinsia katika nafasi za uongozi, UN . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Serikali inaboresha Mfumo wa Uwazi wa Kupima Utendaji Kazi wa Taasisi unaojulikana ka . . .
Furaha ya wengi ilitoweka wakati watu wachache tu waliruhusiwa kuvuka mpaka wa Gatuna/Katuna, ambao ulipangwa kufunguliwa tena Jumatatu.Kwa sababu ya mzozo wa kisiasa mamlaka nchini Rwanda ziliamu . . .
Familia ya Marehemu Ally Khalifa Bakari, Mtoto mwenye umri wa miaka tisa ambaye amefariki mara baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwenzake hadi kupelekea kufariki Dunia, imeiomb . . .
Shahidi wa 12 upande wa Jamhuri Luteni Denis Urio katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu amekataa kuwa aliwahi k . . .
Mwanamke Mrwanda, Mukandamage Domitila aliwashtua wengi baada ya kufichua alikuwa ameolewa na ndugu yake wa damu moja.Domitila alizaliwa mnamo mwaka 1978, lakini mwaka mmoja baadaye mama yake alifarik . . .