Wakati Jeshi la Polisi likieleza jinsi mkaguzi msaidizi wa polisi Grayson Mahembe alivyojinyonga akiwa mahabusu, hatua iliyoibua hisia na maswali kadhaa, baba mzazi wa marehemu Gaitan Mahe . . .
WAKATI wabunge wakiendelea kusikiliza hoja za watia nia wanaowania kurithi mikoba ya Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma, Ndonge Said Ndonge, kutoka Chama cha AAFP huenda akawa ni mtia nia pekee aliei . . .
Wapinzani wa utawala wa kijeshi nchini Myanmar wameadhimisha mwaka mmoja wa mapinduzi ya kijeshi nchini humo kwa mgomo wa kitaifa kuonyesha mshikamano wao, huku jeshi likiendelea kung'ang'ania mad . . .
Kituo cha Huduma za Hali ya Hewa cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) (CSC) kimeonya juu ya mvua kubwa ambayo inaweza kusababishwa na kimbunga inayokuja, iitwayo Batsirai.CSC ilisem . . .
MKUU wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa barabara yenye kipande cha urefu wa kilomita 7 kutoka Kata ya Kanga kwenda Kata ya Ifwenkenya ambayo inajengwa na . . .
Bunge la Tanzania limeanza vikao vyake hii leo huko jijini Dodoma, ambapo limeanza shughuli zake kwa kuendesha uchaguzi wa spika mpya atakaeliongoza bunge hilo. Nafasi ya spika iliachwa wazi p . . .
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete ameitaka idara ya Masoko ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kufanya tafiti na kuja na mpango madhubuti wa bei za tiketi ili kuruhusu abir . . .
Kenya imewarudisha raia wawili wa Uingereza nchini humo ambako wanasakwa kwa mauaji.Taarifa kutoka kwa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Kenya inasema wapelelezi walimkamata Mohamud Siy . . .
Balozi wa Marekani Linda Thomas-Greenfield alisema upelekwaji huo ulikuwa mkubwa zaidi Ulaya kuwahi kuonekana katika miongo kadhaa.Mwenzake wa Urusi aliishutumu Marekani kwa kuchochea hali ya wasi . . .
Wingu limetanda katika familia ya Salmin Shame (33) kijana anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu usiku wa Desemba 24 mwaka jana.Kijana huyu akiwa na wenzake wawili, Elis . . .
BODI ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), inayomaliza muda wake imemteua Joseph Butiku kuwa mwenyekiti mpya wa bodi hiyo.Hayo yamesemwa na Kaimu Mwenyekiti wa bodi aliyemaliza mud . . .
WAKALA wa Barabara nchini (Tanroads) imepiga hatua nyingine, baada ya kukamilisha ujenzi wa daraja la urefu wa mita 98 katika mto Ruhuhu linalounganisha wilaya ya Nyasa mkoa wa Ruvuma na Ludewa . . .
WAKALA wa Usajili wa Biahara na Leseni (BRELA) umesema katika kipindi cha siku tano za mwanzo ambazo wamekuwa wakitoa elimu kuhusu umuhimu wa wananchi kusajili biashara zao pamoja na kutoa hudum . . .
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amekutana na balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. balozi Mohamed Gaber Abulwafa na kujadiliana masuala mbalimbali ya Uwekezaji na . . .
Kuna harakati kidogo kwenye mpaka wa Gatuna wa Rwanda na Uganda, ambao umefunguliwa tena baada ya karibu miaka mitatu ya kufungwa. Mpaka huo ulifungwa mwaka 2019 kufuatia mvutano kati ya nchi hizo . . .
Gari la uchukuzi wa umma limekumbwa na shambulizi la bomu kaskazini mwa Kenya, karibu na mpaka wa Somalia.Waandishi wa habari wa eneo hilo wanasema takriban watu tisa wamefariki na wengine kadhaa . . .
. . .
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Shirikika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini kufanya kazi kwa kuzingatia sera, sheria na vipaumbele vya . . .
Waziri Nape ameyasema hayo leo januari 31 alipotembelea ofisi za kampuni ya Multichoice Tanzania DStv ikiwa ni sehemu ya ziara zake kwa wadau wa Wizara anayoingoza.Ameongeza kuwa Serikali imefanya . . .
Bodi ya utalii Tanzania (TTB) imeapokea maandamano ya Wanachama wa Umoja wa Vijana –UVCCM Tanzania Kata ya Saranga iliyopo katika Jimbo la Kibamba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam . . .
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepinga uamuzi wa Askofu wa kanisa la Uganda la kuwazuia wasichana wajawazito kurudi shuleni baada ya shule kufunguliwa mwezi huu nchini UgandaHii ni kutokana na . . .
Paka huyu anaitwa Fergus aliyetoweka nyumbani zaidi ya miaka 11 iliyopita kaskazini-mashariki mwa Scotland, ameunganishwa tena na wamiliki wake.Alikutwa umbali wa maili 80 katika mji wa Aberde . . .
Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo mapema wiki hii kuitisha kuondoka kwao likionekana kuwa pigo . . .
Wakuu wa mikoa nchini wamepewa siku 14 kupeleka taarifa za halmashauri zao ambazo zimeshindwa kufikia malengo katika makusanyo ya mapato. Agizo hilo limetolewa leo Ijumaa Januari 28, . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika AfCFTA, Sekta Binafsi na W . . .
Katavi. Mwanafunzi mmoja amefariki dunia na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya kupigwa radi katika shule ya msingi ya Sokoine iliyopo kata ya Katumba Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi.Akizungumza leo . . .
Watu wawili wamefariki dunia papohapo na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyosababishwa na lori lililowafuata abiria katika kituo cha daladala Kimara Suka jijini Dar es Salaam.Akizun . . .
Idadi ya watu waliokufa kutokana na dhoruba kali iliyopiga kwenye nchi tatu za kusini mwa Afrika imeongezeka. Hadi kufikia leo jumla ya watu 86 wameorodheshwa kuwa wamekufa kutokana na dhoruba h . . .
Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso ameahidi kurejesha usalama, utulivu na umoja katika nchi hiyo iliyomo katika mgogoro. Hata hivyo ameonya kuwa usaliti hautavumiliwa na utawala . . .
Waziri wa Mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amesema leo kuwa Moscow haitaki vita na Ukraine, huku akionyesha matumaini kuhusu mapendekezo ya usalama yaliyowasilishwa na Marekani. Lavrov ame . . .