logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Madawati Ya Kijinsia Vyuoni Isiwe Ya Mazoea Bali Yalete Tija’- Dkt. Gwajima

Serikali imesema Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Kati ni mojawapo ya wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyowasababishia kushuka kwa ufanisi kwenye masomo yao, hivyo kupitia Mpango Kazi wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Abiria aliyegoma kuvaa barakoa asababisha ndege kukatisha safari angani

Kampuni ya ndege ya Marekani -American Airlines iliyokuwa ikisafiri kutoka Miami kuelekea London Uingereza imelazimika kurudi ilikotoka kwasababu mmoja wa wasafiri wake alikataa kuvaa barakoa, ime . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2022

Marekani kusitisha safari za ndege 44 kuelekea China

Serikali ya Marekani imesema  itasitisha safari za ndege 44 kuelekea China kutoka Marekani zinazofanywa na mashirika ya ndege ya China kujibu uamuzi wa serikali ya China kusitisha baadhi ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2022

RIPOTI YA CHANJO YA UVIKO-19 YATOLEWA RUKWA,

Wananchi wa mkoa wa Rukwa wamepongezwa kwa kujitokeza kupata chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Korona ambapo hadi kufikia mwezi Januari mwaka huu watu 57,638 wamefanikiwa kupata chanjo hiyo katika v . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • January 20, 2022

MHUDUMU WA GESTI AUAWA KWA KUKABWA SHINGO KWA KAMBA YA VIATU CHUMBANI KWA MTEJA

MUHUDUMU wa nyumba ya kulala wageni ya Peace Lodge iliyoko katika eneo la Matarawe Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye jina lake limehifadhiwa anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 23 amekutwa ameku . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

KUANZIA FEBRUARI WASIOCHANJWA KUTOZWA FAINI HADI TSH. 9,414,826 NCHINI AUSTRIA.

Kuanzia Februari Nchini Austria, Chanjo kwa Watu wazima itakuwa ni lazima na wote ambao hawajachanjwa watapokea wito wa kuchomwa sindano ya kwanza. Wale ambao hawatajitokeza watatozwa faini baada ya k . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

SERIKALI YASISITIZA KUENDELEA KUSIMAMIA HAKI ZA WATUMISHI.

erikali imesema, zaidi ya Watumishi wa Umma 180,000 wamepandishwa madaraja ambapo Wilaya ya Nkasi iliyopo mkoani Rukwa imenufaika na promosheni kwa watumishi wake 837 kupandishwa madaraja huku watumis . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • January 19, 2022

GHARAMA ZA VIFURUSHI VYA INTANETI ZADAIWA KUPANDA NCHINI.

Wadau wameshuhudia mabadiliko katika bei za Vifurushi vya Intaneti, ikionekana Kampuni za Mawasiliano zimepunguza ukubwa wa Vifurushi vilivyokuwepo awali huku Wananchi wakilalamika kutofahamishwa kuhu . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 18, 2022

MATETEMEKO YA ARDHI YAUA ZAIDI YA WATU 20 AFGHANISTAN

Maafisa Usalama Nchini humo wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki dunia baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea eneo la Magharibi mwa Taifa hiloMatetemeko hayo ya kipimo cha 4.9 na 5.3 yaliathiri Mkoa . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 10, 2022

KESI YA SABAYA NA WENZAKE KILINDIMA TENA LEO.

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kuendelea leo kwa shahidi wa 14 wa upande wa mashataka kuanza kutoa ushahidi.Sabaya n . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 10, 2022

MPANGO KUMUWAKILISHA SAMIA SADC

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anaondoka nchini hii leo kuelekea Lilongwe, Malawi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • January 8, 2022

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI, MAKATIBU WA KUU NA MANAIBU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Januari 8,2022 amefanya mabadiliko Madogo katika Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu.Rais Samia Sul . . .

Afrika
  • Na Suzuki
  • January 4, 2022

RAIS WA MSUMBIJI NA MKEWE WAMEKUTWA NA MAAMBUKIZI YA UVIKO 19

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19.Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Rais huyo jana Jumatatu Januari 3, 2021 imesema kuwa Rais Nyusi na mkewe w . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 4, 2022

TEUZI LEO JANUARI 04.2022.

. . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • January 4, 2022

MOTOTO AFARIKI KWA KUNYWA DAWA YA MIFUGO.

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amefariki dunia huku mwingine akinusurika baada ya kunywa dawa ya chanjo ya ng’ombe katika kitongoji cha Imalamakoye Wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Mwenyekiti . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

MTOTO ALIYEZALIWA ANGANI ATUPWA KWENYE PIPA LA CHOO CHA NDEGE.

Wafanyakazi wa uwanja wa ndege nchini Mauritius wamekuta mtoto mchanga wa kiume aliyetelekezwa kwenye chombo cha kuhifadhia taka ndani ya choo cha ndege ya Air Mauritius.Mwanamke mwenye umri wa miaka . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

AL SHABAB WAUA SITA KENYA

Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya.Polisi wamesema wapiganaji waliokuwa na silaha nzito wali . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

WAZIRI MKUU WA SUDANI ABWAGA MANYANGA.

Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, ya kupinga makubaliano ya kuongoza Serikali ya Mpito.Hamdok am . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

Makamu wa Rais ashiriki misa ya mwaka mpya

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2022 wameungana na waumini wa kanisa katoliki Parokia ya mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu la Dodoma kus . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • December 31, 2021

BAADHI YA NCHI AMBAZO TAYARI ZIMEINGIA 2022

Wakati Tanzania na baadhi ya nchi kote ulimwenguni ikiwa inahesabu saa kadhaa hadi kufika Januari 1, 2022, kuna nchi na miji tayari wamewasha fataki za 2022. Vilevile kuna miji ambayo huenda ikawasha . . .

Kitaifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Wanaopandisha nauli Kukiona

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imesema inaendelea na ukaguzi wa mabasi ya kwenda mikoani ili kubaini yanayozidisha nauli na kuchukua hatua. Ofisa . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Biden na Putin kufanya kuwasiliana kwa simu Alhamisi

Ikulu ya Marekani imesema Jumatano kwamba Rais Joe Biden atazungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Russia Vladimir Put . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Jumuia ya kimataifa yaingilia mzozo wa kisiasa wa Somalia

Msemaji wa Umoja wa Mataifa Ari Gaitanis amesema Jumatano kwamba  Umoja wa Mataifa pamoja na mataifa mengine wanafa . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Kesi ya uchaguzi dhidi ya Barrow yatupiliwa mbali Gambia

Mahakama ya juu ya Gambia Jumanne imetupilia mbali kesi iliowasilishwa dhidi ya ushindi wa rais Adama Barrow kwa madai kwamba walioiwasilisha hawakufuata hatua za kisheria, kama inavyohitajikaBarrow a . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Israel yaanza kutoa chanjo ya nne kwa watu wake

Madakatari nchini  Israel Jumatatu wameanza kutoa chanjo ya nne ya covid 19  kwa watu wake ikiwa kama sehemu y . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Zaidi ya wahamiaji 400 waokolewa baharini

Meli ya shirika lisilo la kiserikali la Ujerumani Sea-Watch 3, ikiwa na wahamiaji 444, ilikuwa ikingoja kupewa bandari ya usalama kutia nanga baada ya operesheni  tano za uokoaji kutekelezwa kati . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy azuru Tunisia

Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy Luigi Di Maio Jumanne wakati akiwa ziarani Tunisia, ameshauriana na rais Kais Sa . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Rais wa Somalia amsimamisha kazi Waziri Mkuu wake

Kusimamishwa kwa Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kunakuja siku moja baada ya Waziri Mkuu huyo kumshutumu Rais Farmajo kwa njama katika  uchaguzi wa bungeMzozo wa kisiasa kati ya viongozi wawili . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Mazrui augua Uviko-19

Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Wazee, Jinsia na Watoto,  Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amepata maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 lakini hali anaendelea vizuri.Akizungumza na Mwananchi kwa njia . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Bomu lalipuka katika mkahawa uliojaa watu siku ya Krismasi - DRC CONGO

Maafisa nchini DR Congo wanasema kwamba takriban watu sita wamefariki katika shambulio la mlipuaji wa kujitoa muhanga katika makahawa uliojaa watu katika mji wa mashariki wa Beni.Maafisa wa polisi wal . . .

Kurasa 127 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 4 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 22 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode