Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, ameahidi kutoa mtaji kwa vijana wa Kitongoji cha Ipilinga, Kata ya Kisuke, Halmashauri ya Ushetu, ili kuanzisha kikundi cha ujasiriamali cha kufyatua matofali y . . .
Wakazi 344 kati ya 346 waliofika kwenye zoezi la tathmini, katika Mtaa wa Mgeo Kata ya Buhanda, Manispaa ya Kigoma, wameridhia fidia zao na kusaini fomu za kuthibitisha uhakiki wa taarifa zao za mali . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema nchi yake iko tayari kutumia silaha zote ilizonazo, ikiwemo silaha za nyuklia, endapo eneo la Urusi litashambuliwa na nchi wanachama wa NATO.Putin alitoa kauli hiy . . .
Tukio la kushtua limetokea nchini Thailand baada ya gari la umeme kuvamia eneo la hekalu na kuwagonga waabudu waliokuwa wamekaa mbele ya madhabahu ya Kibudha.Video iliyosambaa mtandaoni inaonyesha gar . . .
Hali ya kibinadamu Yemen inazorota haraka baada ya kuongezeka kwa mapigano. Wanawake na watoto ndio wanaoathirika zaidi.Mashambulizi mapya ya anga na mapigano makali nchini Yemen yameongeza hofu ya ku . . .
Ethiopia imewafukuza wanadiplomasia wa Eritrea, ikiishutumu nchi hiyo kwa vitendo vya uhasama. Eritrea imejibu kwa kukata uhusiano wote wa kidiplomasia, huku mapigano yakiendelea Tigray.Ethiopia na Er . . .
Maisha ya mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, yameendelea kuvuta hisia kutokana na safari yake kutoka katika mazingira yenye changamoto hadi kujenga jina katika ulimwengu wa biashara . . .
Iran imesema imepokea jibu la Marekani kuhusu pendekezo lake la kumaliza vita, ingawa maelezo ya mawasiliano hayo bado hayajawekwa wazi. Hata hivyo, maudhui ya jibu hilo bado hayajawekwa wazi.Katika h . . .
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa watendaji wa uchaguzi kuhakikisha wanafanya kazi kwa ufanisi, weledi na kujitoa ili kufanikisha zoezi la uchaguzi kwenye Jimbo la Chamwino na kata 11 za . . .
Mapigano yanaendelea nchini Ethiopia. Siku nane baada ya shambulio kubwa kuanzishwa na muungano wa makundi kadhaa ya upinzani yenye silaha kaskazini mwa nchi, mapigano yanaendelea nchini Ethiopia, na . . .
Nchini Ethiopia, wakati huu vita vikiendelea kati ya makundi yenye silaha na wanajeshi wa serikali katika jimbo la Tigray, Kamati inayotoa tuzo ya amani ya Nobel, iliyompa ushindi Waziri Mkuu Abiy Ahm . . .
Burundi imekubali kuwapokea watu waliofukuzwa nchini Marekani wakiwemo wafungwa na wahamiaji haramu, ikiwa ni nchi ya hivi punde ya Afrika kuingia kwenye mkataba na utawala wa rais Donald Trump kuhusu . . .
Burkina Faso imezindua kiwanda chake cha kwanza cha kusafisha dhahabu ndani ya nchi hiyo, serikali ya kijeshi ikisema itasaidia nchi kupata thamani zaidi kutoka katika madini yake.Kiwanda hicho, Raffi . . .
Mfalme Mohammed VI amemteua Fatima Zahra Mansouri kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa Morocco. Uteuzi huo unafuatia ushindi wa chama chake cha PAM katika uchaguzi wa bunge uliofanyika wiki iliyopit . . .
Saudi Arabia imekanusha taarifa kwamba wawakilishi wake walihudhuria mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Mohammed bin Zayed Al . . .
Mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani na makombora kutoka Urusi yameua watu wanne katika mji wa Kyiv na maeneo ya jirani, huku miundombinu ya nishati ikiharibiwa na mji huo kufunikwa na moshi . . .
Baada ya kuwasili nchini Iraq mwaka wa 2003 kumpindua rais wa nchi hiyo Saddam Hussein na baadaye kuwa kikosi kinachoongoza katika muungano wa kimataifa unaopigana na kundi la Islamic State, jeshi la . . .
Ugunduzi wa kutisha umefanywa kusini mashariki mwa Nigeria. Mabaki ya binadamu yalipatikana Jumamosi, Septemba 26, na polisi katika misitu kadhaa katika Jimbo la Abia, ambapo wahalifu wanajulikana kuj . . .
Madereva na wafanyakazi wa mabasi ya masafa marefu wameanza mgomo katika maeneo mbalimbali nchini leo, Septemba 29, 2026, wakipinga faini na adhabu wanazodai kuwa ni kubwa na kuwaweka katika hali ngum . . .
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza leo, Septemba 29, 2026, operesheni maalumu ya kuwabana waendesha pikipiki (bodaboda) na bajaj wanaokiuka sheria na kanuni za usalama barabarani.O . . .
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imesema watu 8,067 wamethibitishwa kuambukizwa ebola na 3,901 wamefariki.Kwa mujibu wa serikali, mlipuko huo umeenea katika majimbo saba nchini humo . . .
Jeshi la Ethiopia na vikosi vinavyounga mkono serikali vimedai kuuteka mji wa kimkakati wa Alamata, kusini mwa mji mkuu wa Tigray, Mekelle. Hatua hiyo imebadili mwelekeo wa mapigano, baada ya mashambu . . .
Rais wa Marekani Donald Trump, amekanusha ripoti za kupunguza baadhi ya vikwazo dhidi ya Iran, na kuagiza kuachiwa kwa fedha zinazozuiwa, wakati huu mkataba wa kumaliza vita ukiwa bado haujapatikana.T . . .
Kenya imepewa leseni ya kutengeneza dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), kwa ajili ya soko la Afrika, hatua inayoiweka miongoni mwa nchi tatu za kwanza barani Afrika kushiriki ka . . .
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (drones) yanayodaiwa kufanywa na Urusi yamesababisha vifo vya watu wawili katika soko lililopo nje kidogo ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, huku watu wengine watatu . . .
Shambulio la ndege isiyo na rubani limegonga makao makuu ya kituo cha televisheni cha Tigray TV, mjini Mekelle, kaskazini mwa Ethiopia, na kulazimisha kusitishwa kwa matangazo.Wakati hayo yakijiri, sh . . .
Mazishi ya Manassé Lomboto, mwanaharakati wa upinzani aliyefariki kutokana na majeraha aliyoyapata waati wa maandamano ya upinzani ya Septemba 15 dhidi ya marekebisho yoyote ya katiba nchini DRC, yal . . .
Serikali ya Kenya imeteketeza rasmi shehena kubwa ya dawa za kulevya aina ya methamphetamine yenye thamani ya Shilingi bilioni 8.2 za Kenya, ikiwa ni pigo kubwa kwa mitandao ya kimataifa ya walanguzi. . . .
MANISPAA ya Kibaha imeendelea kusimamia utekelezaji wa maagizo ya utunzaji wa mazingira kwa viwanda, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kukabiliana na madhara yanayoweza kujitokeza wakati wa mvua za El . . .
Fundi ‘kishoka’ amekamatwa Kahama mkoani Shinyanga baada ya kudaiwa kumuunganishia mteja umeme kwa kutumia mita ya zamani isiyokuwa na rimoti, huku akidaiwa kushirikiana na baadhi ya mafundi wa TA . . .