logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2025

Wanajeshi 20 wa Nigeria wauawa na wanamgambo wa Kiislamu

Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Kiislamu waliwaua wanajeshi 20 wa Nigeria, akiwemo kamanda mmoja, baada ya kushambulia kambi ya kijeshi katika mji wa mbali kaskazini mashariki mwa jimbo la . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2025

Mkutano wa Nishati (M300) kuchochea maendeleo ya Afrika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika – Misheni 300 ni kichocheo cha maendeleo ya nchi za Afrika na kichocheo cha utekelezaji . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 24, 2025

Jokate Mwegelo Apongeza Ufaulu wa Shule Jina Lake

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amepongeza wanafunzi, walimu, na uongozi wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, kufuatia mafanikio makubwa ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jokate Mwegelo Gir . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 24, 2025

Rais wa zamani wa Gambia atangaza kurudi nyumbani kutoka uhamishoni

Rais wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh amesema ana nia ya kuchukua tena udhibiti wa chama chake cha siasa na kutangaza kwamba “anarudi nyumbani”, katika ujumbe wa sauti ambao shirika la habari la A . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 23, 2025

BUNGE LA IRAQ LAPISHA SHERIA YA WATOTO WA MIAKA 9 KUOLEWA

 Bunge la Iraq limepitisha sheria ya kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 23, 2025

Sudan Kusini yaamuru watoa huduma ya intaneti kuzuia mitandao ya kijamii

Sudan Kusini Jumatano imeamuru kampuni zinazotoa huduma za intaneti kuzuia mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na TitTok, kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyochochewa na vifo vya raia wake wiki i . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 22, 2025

Majaji wa Mahakama ya Rufani wala kiapo Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.Majaji hao walioapa hii leo Januari 22, 2025 ni-i. Jaji George M . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 22, 2025

Licha ya hatari ya tetemeko la ardhi, wakazi wengi wa Afar na Oromia wanakataa kuondoka

Nchini Ethiopia, wafugaji wa Afar, kaskazini mashariki mwa nchi, wanakataa kuhamishwa, licha ya hatari ya matetemeko mapya ya ardhi. Tangu mwanzoni mwa mwaka, eneo hili, pamoja na lile la Oromia, lime . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 21, 2025

Trump Atangaza kujitoa kwa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kujitoa kwa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), hatua iliyopokelewa kwa hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 21, 2025

Tundu Lissu"Mimi na Mbowe Hatujawahi Kugombana"

 "Huu ni mkutano wangu wa kwanza wa kichama tangu mwaka 2014, hii ni kwa sababu katika mkutano mkuu wa mwisho wa uchaguzi wa kichama uliofanyika mnamo tarehe 19 Desemba 2019 mimi nilikuwa natibiw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2025

MJUE MARTIN LUTHER KING JR NI NANI

 Nchini Marekani leo ni siku Maalum ya Martin Luther King Jr (Jumatatu ya tatu mwezi Januari) kuheshimu mafanikio ya Martin Luther King, Jr. ambaye wakati ambao ubaguzi wa rangi ulikithiri kwa ki . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 20, 2025

RAIS RUTO AMJIBU KENYATTA SUALA LA GEN Z

Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto amemtuhumu mtangulizi wake huyo kuwachochea vijana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2025

Mateka wa Israel Waachiwa na Wapiganaji wa Hamas

Kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, watu waliokuwa wakishikiliwa mateka kutoka pande zote mbili wameanza kuachiwa.Video mbalimbali zinaendele . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2025

Sheikh akosoa hadharani marufuku ya elimu kwa Wanawake

Sera ya Serikali ya kupiga marufuku elimu kwa Wanawake nchini Afghanistan, imekosolewa vikali na Kiongozi mkuu wa Taliban, Sher Abbas Stanikzai akisema huo ni ubinafsi na ni tafsiri ya sheria za Kiisl . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 19, 2025

Majaliwa: Rais Samia Ameimarisha Amani Kupitia 4R, na Ameongoza kwa mafanikio

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amepongeza juhudi na uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, katika kupeperusha bendera ya Chama . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • January 17, 2025

TANZANIA YAPONGEZWA KWENYE SUALA LA AFYA

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedros Ghebreyesus, ameipongeza Tanzania kwa kuchukua hatua za haraka katika masuala ya afya mkoani Kagera hasa ya ugonjwa unaoshukiwa kuwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 17, 2025

Wanahabari 67 wanafungwa jela barani Afrika

Takriban wanahabari 67 wanafungwa jela barani kote Afrika, hali hiyo ikiashiria changamoto inayoendelea ya kuwa na vyombo vya habari huru, kulingana na ripoti iliyotolewa Alhamisi.Kesi hizo barani Afr . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 16, 2025

Mwanafunzi Mmoja Pekee Abaki Shuleni Baada ya Wazazi Kuwahamisha Watoto Wao

Shule ya Sekondari ya Mugwandi katika Kaunti ya Kirinyaga inakabiliwa na mustakabali wa sintofahamu baada ya kupunguzwa hadi mwanafunzi mmoja kufundishwa na walimu wanane kamili.Hali hii isiyo ya kawa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 16, 2025

Maelfu ya Wamarekani wanaotumia TikTok wajianda kuhamia kwenye mitandao mingine ya kijamii

Huku muda wa mwisho wa Jumapili ukikaribia kwa Tiktok kutafuta mmiliki mwingine au kukabiliwa na vikwazo vya Marekani, maelfu ya Wamarekani wanaotumia mtandao huo maarufu wa kijamii wanasema wanahamia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 16, 2025

Upatikanaji wa umeme ni changamoto kubwa kwa raia

Asilimia moja ya raia wa Sudan Kusini, sasa wana umeme, baada ya serikali kuanza kutekeleza mkakati wa kusambaza nishati hiyo kwa maendeleo ya wananchi wa taifa hilo.Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 16, 2025

Israel na Hamas wa Palestina Wakubaliana kusitisha mapigano Gaza

Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, baada ya miezi 15 ya vita kati yao, chini ya usuluhishi wa Marekani na Qatar.Waziri Mkuu wa Qatar, S . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 15, 2025

Askari Polisi wapewa darasa changamoto Afya ya akili

Askari Polisi Mkoani Iringa wametakiwa kujiepusha na vitendo vinavyopelekea tatizo la afya ya akili na kwamba inapotokea miongoni mwao kuonekana na tatizo hilo apatiwe msaada wa haraka, ili kuepusha m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 15, 2025

Marekani yakamilisha sheria inayopiga marufuku magari ya umeme kutoka China na Russia

White House inasema imekamilisha kuweka sheria za kukabiliana na teknolojia ya magari kutoka China na Russia ambazo zitapiga marufuku magari yote yanayotumia umeme kutoka nchi hizo mbili kuingia kweny . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 15, 2025

Polisi yawapata Watoto waliopotea kwa Sangoma

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata Watoto wawili wa miaka 5 na wa miaka 4 wa kike na wa kiume, wote wa familia ya Mohamed Kasim mkazi wa Tandika Temeke, ambao waliripoti . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 14, 2025

Sakata la kufungia mtandao wa TikTok lafika pabaya

Kubwa kwa sasa kwenye upande wa teknolojia ni kufungiwa kwa mtandao wa TikTok nchini Marekani, ripoti za awali zinasema ifikapo tarehe 19 mwezi huu itakuwa ngumu kwa mtumiaji wa TikTok kutokea nchini . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 13, 2025

Vifo vya Moto vyafikia 24, tahadhari yazidi kutolewa

Moto mkubwa mjini Los Angeles Nchini Marekani umesababisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao ambapo mpaka sasa vifo vimeongezeka na kufikia watu 24.Mkuu wa kikosi cha zima moto wa Los Angeles, Anthon . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

Russia yaonya Trump kutokana na madai ya kutaka kuchukua Greenland

Russia imesema Alhamisi kwamba inafuatilia kwa karibu hali ya huko  Greenland, baada ya rais mteule wa Marekani Donald Trump kukatata kufuta uwezekano wa kutumia jeshi  na hatua za kiuchumi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

Kamanda Muliro Athibitisha Dr Slaa Akamatwa

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amethibitisha kukamatwa kwa Dk. Willibrod Peter Slaa, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mbunge wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

Mahakama ya Juu Marekani Yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake

Mahakama ya Juu nchini Marekani imetupilia mbali ombi la Rais mteule Donald Trump la kusitisha hukumu dhidi yake hii leo Ijumaa katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumiTrump alipatikana na hatia ya . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

TIKTOK Yathibitisha Kujiondoa Marekani

TikTok yathibitisha kusitisha huduma Marekani ifikapo January 19,2025 kama Mahakama ikisimamia msimamo wakeSerikali ya Marekani iliipa Masharti TikTok kuuza hisa zake kwa Raia wa Marekani badala ya ku . . .

Kurasa 36 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 14 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 15 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 17 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode