Maelfu ya watu Jumatano walikumbana na baridi kali ili kwenda katika jengo la Bunge la Marekani, ili kutoa heshima zao za mwisho kwa rais wa zamani Jimmy Carter, amabye mwili wake um . . .
Kijiji cha Belcastro, kilichopo kaskazini mwa Calabria, Italia, kimewaamuru wakazi wake kuepuka magonjwa makubwa yanayohitaji huduma za dharura.Belcastro ni miongoni mwa maeneo maskini zaidi nchini It . . .
Moto wa nyika unaowaka kwa kasi katika sehemu za Los Angeles, Marekani, umeharibu majengo na kusababisha msongamano wa magari huku zaidi ya watu 30,000 wakihamishwa.Maafisa wanasema, takribani ekari 2 . . .
Vita vya mitandaoni vimeendelea kutokota kati ya Mkuu wa jeshi la Uganda Generali Muhoozi Kainerugaba na mwanasiasa mashuhuri wa Uganda Bobi Wine.Hii ni baada ya mtoto wa Rais wa muda mrefu Yoweri Mus . . .
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 52 (jina limehifadhiwa) mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani, Januari 7, 2025 amefanyiwa upasuaji mkubwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, katika mfuko wa m . . .
Utafiti mpya unaonyesha kuwa Naibu Rais Kithure Kindiki huenda akaunganisha eneo la Mlima Kenya lenye kura nyingi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kura ya maoni ya Politrack Africa iliyofanywa kat . . .
Takriban watu watano wamefariki kutokana na hali ya hewa, ambayo imesababisha theluji na baridi kali katika sehemu kubwa ya Taifa la Marekani.Taarifa ya Polisi wa doria katika barabara kuu ya Jimbo la . . .
Asia Mustapha ni binti ambaye ameishi kwa takribani miaka 20 bila figo zote mbili, akitegemea huduma ya kusafisha damu kwa njia ya mashine (dialysis).Mwanzoni, huduma hiyo ilikuwa ya gharama kubwa, la . . .
Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau Jumatatu ametangaza anajiuzulu kwenye wadhifa wake, akisema ataondoka madarakani mara tu chama chake kitakapomchagua kiongozi mpya.Baada ya zaidi ya miaka tisa mad . . .
Mamlaka nchini Korea Kusini zimejikuta katika mgogoro mkubwa na kikosi cha usalama cha Rais aliyeondolewa Madarakani Yoon Suk-yeol baada ya maafisa usalama na uchunguzi kufika kwenye nyumba ya rais al . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dorothy Gwajima ameliamuru jeshi la polisi limtafute na kumkamata kijana aliyetangaza mtandaoni kuwa anauza figo za mtoto wake.â . . .
Wakaazi wa Rosterman, iliyoko viungani mwa mji wa Kakamega, walipigwa na butwaa baada ya wezi kutekeleza kitendo cha kustaajabisha na cha kushangaza cha wizi na unajisi. Inasemekana watu hao wasi . . .
Bilionea Namba moja Duniani, Elon Musk, ambaye kwa sasa ndye Bilionea wa kwanza aliyefikisha utajiri wa zaidi ya dola BILIONI 400, ameibuka na jambo lingine kubwa zaidi – anajenga mji wake, huko Tex . . .
Nchini Somalia kikosi kipya cha kulinda amani na kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab, kinaanza kazi kuchukua nafasi ya kikosi cha mpito cha Umoja wa Afrika ATMIS.Kikosi kipya sasa kinafahamika . . .
Idara ya Uhamiaji nchini imetakiwa kuimarisha udhibiti wa Wahamiaji haramu na baadhi ya wageni wanaoingia na kufanya biashara haramu huku wakiwa na lengo lililojificha la kuvunja amani yetu kukamatwa . . .
Miji mikuu kote duniani inajitayarisha kwa sherehe za mwaka mpya baada ya kuaga mwaka 2024 uliogubikwa na vita na msukosuko wa kisiasa.Nchi zilizo kusini mwa Pacific zitakuwa za kwanza kuukaribisha mw . . .
Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter, aliyefariki dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 100, atazikwa tarehe 9 Januari 2025.Mazishi ya kitaifa yatafanyika katika Kanisa Kuu la Katoliki mjini Washi . . .
Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter, mkulima wa karanga na gavana wa jimbo la Georgia kabla ya kuwa rais, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.Carter alipokula kiapo cha kuwa rais wa Mareka . . .
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kuhakikisha inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuwawezesha mabondia kunufaika na vipaji vyao.Ametoa Wito huo ja . . .
Shirika lisilo la kiserikali la Hostage Aid Worldwide limetangaza siku ya Jumanne Desemba 24, 2024 mjini Damascus kwamba askofu, raia wa Syria mwenye asili ya Marekani, Yohanna Ibrahim, aliyetek . . .
Jeshi la Israel limesema mapema leo Jumanne kwamba limezuia kombora lililofyetuliwa kutoka Yemen.Kombora hilo limesababisha ving’ora kulia, lakini hakuna uharibifu umeripotiwa baada ya kuzuiliwa kab . . .
Meru - Aliyekuwa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi ameikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa madai ya kuwatenga jamii ya Ameru.Linturi alidai kuwa jamii ya Ameru imetengwa kutoka kwa maamuzi muhimu y . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Desemba 21, 2024 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tenki la kuhifadhi maji la Kisesa, mkoani Mwanza ikiwa ni Mpango wa . . .
Mwanzilishi wa Kanisa la Salvation Proclaimers Anointed Church, maarufu kwa jina la SPAC Nation, Mchungaji Tobi Adegboyega, amemtaja mwanamuziki maarufu David Adeleke, maarufu kwa jina la Davido, kuwa . . .
Waziri mkuu wa Albania Edi Rama, amesema Jumapili kwamba hatua ya kupigwa marufuku kwa jukwaa la TikTok na serikali yake siku moja kabla “haikuwa ya kushtukiza na wala siyo kutokana na tukio moja.†. . .
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, lengo likiwa ni kuimarisha na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majuk . . .
Kampuni ya Tesla inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imetoa taarifa kwamba simu yake ya Tesla Pi inatarajiwa kuanza kupatikana kote duniani mwishoni mwa mwaka huu, 2024.Simu hiyo inatajwa kuja kuleta . . .
Rais wa Russia, Vladimir Putin, Alhamisi amesema yuko tayari kuafikiana kuhusu Ukraine katika mazungumzo yanayowezekana chini ya Rais-mteule wa Marekani Donald Trump, ili kumaliza vita na hakutoa mash . . .
NCHI zimetenga bajeti kidogo kwa afya huku wagonjwa wengi kutoka familia maskini wakipitia changamoto ya kulipia ada za hospitali, Shirika la Afya Duniani (WHO) limebaini.Ripoti iliyochapishwa na WHO . . .
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, Jumatano amewataka wabunge wa Marekani kuukataa mswada wa ufadhili wa muda kwa bajeti baada ya Ijumaa, na hivyo kuongeza uwezekano wa kufungwa kwa sehemu y . . .