logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 22, 2024

IGP Afanya Mabadiliko kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, lengo likiwa ni kuimarisha na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majuk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2024

Elon Musk Aja Na Smartphone Kiboko, Haihitaji Umeme, Unatumia Intaneti Wakati Wote

Kampuni ya Tesla inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imetoa taarifa kwamba simu yake ya Tesla Pi inatarajiwa kuanza kupatikana kote duniani mwishoni mwa mwaka huu, 2024.Simu hiyo inatajwa kuja kuleta . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2024

Putin yupo tayari kwa maridhiano na Ukraine

Rais wa Russia, Vladimir Putin, Alhamisi amesema yuko tayari kuafikiana kuhusu Ukraine katika mazungumzo yanayowezekana chini ya Rais-mteule wa Marekani Donald Trump, ili kumaliza vita na hakutoa mash . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 19, 2024

WHO" Wananchi wa mataifa maskini walipa pesa nyingi hospitalini".

NCHI zimetenga bajeti kidogo kwa afya huku wagonjwa wengi kutoka familia maskini wakipitia changamoto ya kulipia ada za hospitali, Shirika la Afya Duniani (WHO) limebaini.Ripoti iliyochapishwa na WHO . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2024

Trump awataka wabunge kukataa muswada wa ufadhili wa serekali

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, Jumatano amewataka  wabunge wa Marekani kuukataa mswada wa ufadhili wa muda kwa bajeti baada ya Ijumaa, na hivyo kuongeza uwezekano wa kufungwa kwa sehemu y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2024

TikTok yataka isiuzwe Marekani

Mahakama ya Juu ya Marekani, Jumatano imeamua kusikiliza maombi ya TikTok na kampuni yake mama ya China, ByteDance, kuzuia sheria iliyokusudia kulazimisha uuzwaji wa TikTo ifikapo Januari 19 au kupigw . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 18, 2024

Urusi Yatangaza Kugundua Chanjo ya Saratani, Wananchi Watagaiwa Bure

Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza kutumika rasmi mwaka 2025.Andrey Kaprin, Mkuu wa Kituo cha Utafiti w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 17, 2024

EU yaipiga vikwazo China kwa kuisaidia Russia

Umoja wa Ulaya Jumatatu kwa mara ya kwanza uliweka vikwazo vyenye mamlaka kamili, ikiwa ni pamoja na kuzuia mali na  marufuku ya viza, kwa makampuni ya Kichina kwa kuipatia Russia  vifaa vya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2024

Madaktari kuandamana Kenya kudai nyongeza ya mishahara

Nchini Kenya, Madaktari wanatarajiwa kuandamana jijini Nairobi hivi leo, kuishinikiza serikali kutekeleza makubaliano ya kuwaongezea mshahara na kuwaboreshea mazingira ya kazi, baada ya mgomo walioufa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2024

Polisi Wafunguka Bwana Harusi Aliyetekwa Kigamboni, Tutachunguza Kama Kajipoteza au la

Polisi wanaendelea na uchunguzi kufahamu kama Mtu aitwae Vincent Peter Massawe wa DSM amejipoteza mwenyewe kwa makusudi ama la, ikiwa ni siku kadhaa toka Ndugu zake watangaze kupotea kwake.Taarifa ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2024

TRA" Hatuhusiki na Kupotea Kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi"

Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Jijini Dar es salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2024

Siku za kufanya kazi Japan zimepunguzwa kufikia 4

Kuanzia mwezi wa 4 mwakani, wafanyakazi wa serikali kutokea mji mkuu wa Taifa la Japan, Tokyo watakuwa wanufaika wa kwanza wa mfumo wa kupunguziwa siku za kufanya kazi katika wiki, kutoka siku 5 hadi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2024

UN yakosoa Afghanistan kwa kuzuia masomo ya utabibu kwa wanawake

Umoja wa Mataifa Jumatano umeonya kuwa uamuzi wa Taliban wa kuwazuia wanawake kusomea utabibu kutaharibu hali zaidi  Afghansitan ambayo tayari inakabiliwa na janga baya sana la kibinadamu.Katibu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2024

TMA Watoa Taarifa ya Uwepo wa Kimbunga Chido Baharia ya Hindi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Chido katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa Kisiwa cha Madagascar.Taarifa ya TMA ya leo Desemba 12, 2024 iliyopo kwenye tovuti . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 12, 2024

Fursa ya Kujifunza: Tegea jinsi Kiswahili kitatumika katika hotuba za Jamhuri Dei

LEO ni Sikukuu ya Jamhuri. Siku ya Jamhuri ni mojawapo ya siku za kitaifa katika Jamhuri ya Kenya. Jamhuri ni nchi huru inayojitawala.Kenya inatambuliwa kama Jamhuri na mataifa mengine ulimwenguni. Ka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 12, 2024

Somalia na Ethiopia zakubaliana kumaliza mvutano kati yao

Nchi za Somalia na Ethiopia, zimekubaliana kumaliza mvutano kati yao baada ya kumalizika kwa mazungumzo yaliyoongozwa na rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan jijini Ankara.Rais Erdogan, msuluhishi wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 12, 2024

Madereva mabasi yanayozidisha mwendo kukiona

skari wa Usalama Barabarani wametakiwa kukamata mabasi yanayoendeshwa kwa mwendokasi mara tu wanapoona kosa hilo kupitia mfumo wa VTS na wasisubiri mpaka orodha ya mabasi yaliyovunja sheria kutoka Mak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 12, 2024

Urusi yawashauri Raia wake kutoenda Marekani

Serikali ya Nchi ya Urusi imewataka raia wake kutosafiri kwenda Marekani, Canada au baadhi ya nchi za Umoja wa Ulaya, ikisema kuna hatari ya kuandamwa na mamlaka za Marekani, kutokana na uhusiano mbay . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2024

Sudan inakumbwa na mzozo mbaya wa kibinadamu duniani

Sudan, kwa mwaka wa pili mfululizo imeorodheshwa miongoni mwa mataifa yanayokumbwa na mzozo mbaya wa kibinadamu duniani katika ripoti iliyotolewa Jumatano na shirika la hisani la International Rescue . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 10, 2024

Familia za Syria zaendelea kuungana na wenzao walioachiliwa jela na waasi

Familia za wafungwa wa Syria Jumatatu zilikuwa zinazunguka kwenye vyumba vichafu katika jela ya Sednaya mjini Damascus  kujaribu kuona dalili za kuwpata jamaa zao waliofungwa kwa muda mrefu pale . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 10, 2024

Rais Samia Amtangaza Profesa Janabi Kugombea nafasi ya Ndugulile WHO

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kwamba Profesa Mohamed Janabi atakuwa mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika katika uchaguzi utakaotangazwa na shirika hil . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 9, 2024

Sherehe za Uhuru: Wagonjwa wapewa faraja Manyara

Mkoa wa Manyara umeadhimishi siku ya uhuru wa Tanzania bara kwa kupanda miti katika eneo la Hospitali ya Wilaya ya Babati mrara, pamoja na kuwajulia hali Wagonjwa katika Hospitali hiyo.Akizungumza mar . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 9, 2024

Trump aahidi kufanya marekebisho makubwa baada ya kuingia ofisi Januari 20

Rais-mteule wa Marekani, Donald Trump ameapa kufanya  mabadiliko makubwa na ya haraka baada ya kuchukua ofisi Januari 20, kwa kuwarudisha makwao mamilioni ya wahamiaji walio ndani ya nchi kinyume . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 9, 2024

Rais Samia Afanya Uteuzi na Mabadiliko Baraza la Mawaziri

BAADA ya miezi minne, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo tena katika Baraza lake la Mawaziri:Innocent Bashungwa na Dk. Damas Ndumbaro ni miongoni mwa mawaziri wanaoongoza kusimamia wi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 8, 2024

Waziri Mkuu Awataka Wahandisi Wazingatie Maadili

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa awataka wahandisi wote nchini wazingatie miiko na maadili ya taalum hiyo ikiwemo kuitekeleza miradi ya ujenzi kwa ubora unaoendana na thamani ya fedha halisi iliyotolewa.â . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 6, 2024

Polisi Watoa Ufafanuzi Video Inayosambaa Polisi Wakimfukuza Mwanasheria Lusako Alphonce

Jeshi la Polisi limetolea ufafanuzi video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii pamoja na kauli ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Reach Out Tanzania, Kumbusho Dawson ambaye alisema Watu waliojitambulisha k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 5, 2024

Dk. Maduhu" Ipunguzieni Serikali Mzigo wa Kuwahudumia Wafungwa"

Serikali imekiri kubeba mzigo mkubwa wa kuwahudumia wahalifu waliopo magerezani kwa huduma mbalimbali ikiwemo chakula, malazi na gharama za matibabu huku ikiitaka Idara ya Huduma ya Uangalizi kuielewe . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 5, 2024

Mgogoro wa kisiasa nchini Korea Kusini: Rais Yoon atakiwa kuondoka chama chake

Rais wa kihafidhina wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol ang'ang'ania madarakani. Siku ya Alhamisi, Desemba 5, chama chake kmetangaza kwamba kitashinda hoja ya kushtakiwa iliyowasilishwa Bungeni na upinzani . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 4, 2024

Majaliwa" Rais Dkt. Samia Aagiza Fedha Za Maadhimisho Ya Miaka 63 Ya Uhuru Zielekezwe Kutoa Huduma Za Kijamii"

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa Mwaka 2024 yafanyike katika ngazi ya mikoa na Fedha zilizotengwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 4, 2024

Serikali ya Ufaransa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani

Serikali ya Ufaransa inakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani Jumatano, hatua ambayo inaweza kuisumbua serikali ya waziri mkuu Michael Barnier.Wachambuzi wanatabiri kuna uwezekano mkubwa kwa wabunge w . . .

Kurasa 38 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • saa moja lililopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 2 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 2 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode