logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 3, 2024

Marekani yaweka vikwazo zaidi kwa China

Utawala wa Rais Biden, wa Marekani, Jumatatu umetangaza kuweka vikwazo kadhaa vipya kwa bidhaa kwenda China, vikizuia kuuzwa kwa vifaa muhimu vya teknolojia za viwandani, na vile vikubwa vya kuweka ku . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 1, 2024

UNAIDS" Kuheshimu haki za binadamu ni muhimu katika mapambano dhidi ya VVU"

Mpango wa Umoja wa Mataifa wa UKIMWI unachapisha ripoti inayoangazia umuhimu wa haki za binadamu katika kutokomeza janga hili. Ubaguzi, ukosefu wa usawa katika upatikanaji wa matunzo na migogoro ya ki . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 1, 2024

Rais Samia Amshukuru Rc Makonda Kwa Kunogesha Miaka 25 Ya EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru na Kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda kwa namna alivyochagiza shamrashamra za Miaka 25 ya Jumuiya ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 1, 2024

Jeshi la Polisi Lafunguka Kuhusu Kutekwa Kwa Abdul Nondo wa ACT Wazalendo

Jeshi la Polisi limesema leo December 01,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es salaam kuna Mtu mmoja Mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na Wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 29, 2024

Taifa la Georgia lasitisha azimio la kujiunga na EU

Chama tawala cha Georgia Alhamisi kimesema kuwa taifa hilo litasitisha mazungumzo kuelelekea kujiunga kwenye Umoja wa Ulaya hadi 2028, huku pia likisusia misaada ya kifedha kutoka Brussels, na kwa hiv . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 29, 2024

Nyaya za internet zilizoharibiwa nchini ya Bahari ya Baltic zarekebishwa

Moja ya nyaya za kupeleka internet chini ya bahari ya Baltic anayoshukiwa kuharibiwa maksudi mapema mwezi huu imekarabatiwa kulingana na msemaji wa kampuni husika ya Arelion.Ukarabati wa nyaya hizo zi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 29, 2024

Dkt. Yahaya Nawanda Ashinda Kesi dhidi ya Mwanafunzi wa Chuo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikiendeshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 28, 2024

Trump ateua Keith Kellog kuwa mjumbe maalum kwa ajili ya Russia na Ukraine

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema Jumatano kwamba atamteua Luteni Jenerali mstaafu wa jeshi Keith Kellog kuwa msaidizi wake na mjumbe maalum kwa ajili ya Ukraine na Russia.Kellog alikuwa mk . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 28, 2024

Rais Samia awatunuku vyeo Maafisa Wanafunzi TMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku kamisheni katika Cheo Cha Luteni Usu Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 27, 2024

Vyama vya upinzani vya Afrika Kusini vyataka kesi dhidi ya Ramaphosa ifufuliwe

Vyama viwili vya upinzani vya Afrika Kusini Jumanne vimeomba Mahakama ya Juu ifufue kesi ya kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na kashfa ya zaidi ya dola nusu milioni pesa taslimu zili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 27, 2024

DK Faustine Ndugulile Afariki Dunia

Mbunge wa Kigamboni (CCM), DK Faustine Ndugulile amefariki dunia leo Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Spika wa Bunge la Tanzania, . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • November 26, 2024

Marehemu Ashtuka Katikati ya Ibada ya Mazishi yake

Mwanaume mmoja aitwaye Rohitash Kumar aliyetangazwa na Madaktari wa Hospitali ya Umma huko India kuwa amefariki dunia, ameamka katikati ya ibada ya mazishi muda mfupi kabla ya mwili wake kuchomwa moto . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • November 26, 2024

Vifo Ajali ya Ghorofa Kariakoo Vyafika 29

Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, amesema idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es salaam imefikia 29 hadi kufikia leo November 26,2024 huku akisema lipo pi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 25, 2024

Maelfu ya wafuasi wa Imran Khan waandamana Pakistan

Maelfu ya wafuasi wa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan aliyefungwa jela Imran Khan, Jumapili wameandamana kuelekea Islamabad wakiitishia kuachiliwa kwake pamoja na wafungwa wengine wa kisiasa.Hali hiy . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 24, 2024

Jeshi la Polisi Lawakamata Watoto Wawili Kwa Kosa la Kuvunja Voo vya Treni ya SGR

Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji watuhumiwa wawili kwa kosa la kuharibu kwa kuvunja vioo viwili vya treni ya Mwendo Kasi (SGR) kwa kutumia mawe.Taarifa iliyotolewa na msemaji wa jeshi la polis . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 22, 2024

Mkuu wa Jeshi la Iran asifia kibali cha kukamatwa kwa Netanyahu

Mkuu wa jeshi la Iran, Jenerali Hossein Salami ametaja hatua ya mahakama ya ICC kutoa vibali vya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wake wa ulinzi Yoav Gallant . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 21, 2024

BOT Yazifungia ‘Applications 69” za Utoaji wa Mikopo Kidijitali

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza application 69 ambazo haziruhusiwi kutoa huduma za mikopo mtandaoni kwa kuwa hazina kibali na haziruhusiwi kuendesha shughuli hizo, huku ikiitaka Mamlaka ya Mawa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 20, 2024

Marekani yafunga ubalozi wake kwa muda kwa hofu ya kutokea shambulio

Ubalozi wa Marekani mjini Kyiv umefungwa kwa muda kutokana na kile ambacho kimetajwa kama uwezekano wa kutokea kwa shambulio la angani.Hatua hii ya Washington inakuja pia baada ya Urusi kuah . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 19, 2024

Mwanachuo ashtakiwa kuchapisha habari potovu kuhusu ‘jeneza la Ruto’

MWANAFUNZI wa chuo kikuu cha Moi ameshtakiwa kwa kuchapisha habari za uwongo kumhusu Rais William Ruto.David Ooga Mokaya, aliye mwaka wa nne katika chuo hicho alifikishwa kortini Jumatatu, Novemba 18, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 19, 2024

Ukraine inasema haitojisalimisha kwa Urusi, mapigano yakiingia siku ya Elfu 1

Ukraine inasema wanajeshi wake hawatowahi kujisalimisha kwa Urusi, kauli hii inakuja wakati huu ikiwa ni siku Elfu moja tangu Moscow kuanzisha uvamizi wake.Katika hatua nyengine, Kremlin na yenyewe im . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 19, 2024

Rais Baiden ataka fedha za msaada wa dharura

Rais Joe Biden, anaomba karibu dola bilioni 100 za msaada wa dharura wa maafa baada ya vimbunga Helene na Milton, na majanga mengine ya asili, akiwaambia wabunge pesa hizo zinahitajika haraka.Barua ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2024

China yasisitiza usitishwaji wa vita nchini Ukraine kwa njia ya amani

China imeshikilia msimamo wake kwa kumalizwa kwa vita vya Ukraine kwa njia ya amani.Hatua ya China imekuja baada ya Marekani kuipa Ukraine ruhusa ya kutumia makombora ya masafa marefu dhidi ya maeneo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2024

Wagabon wapitisha rasmimu ya katiba mpya

Wapiga kura nchini Gabon wameidhinisha kwa wingi katiba mpya, serekali imesema Jumapili, ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja baada ya wanajeshi walioasi kumpindua rais wa muda mrefu wa nchi hiyo na kuchukua . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 17, 2024

Rais Samia Alivyowasili Katika Uwanja wa Ndege wa Galeão Air Force Base, Rio de Janeiro nchini Brazil

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili katika uwanja wa ndege wa Galeão Air Force Base Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil Novemba 16, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 15, 2024

China yaharakisha kuimarisha uhusiano na EU kufuatia ushindi wa Trump

China imeongeza juhudi za kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Ulaya baada ya uchaguzi wa Marekani, wakati maafisa wake wa ngazi ya juu, pamoja na vyombo vya habari wakisema kuwa hatua hiyo itakuwa na m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 14, 2024

Kamati ya Bunge Yampa Kongole Rais Samia Sekta ya Nyuki

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imehitimisha ziara ya kukagua miradi katika sekta ndogo ya ufugaji nyuki kwa kuipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa usimamizi mzuri huku i . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 14, 2024

Iran itachukua hatua mara moja katika kesi ya shinikizo kutoka nje

Mkuu wa shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Rafael Grossi anazuru Tehran ambapo amekutana na maafisa wa Iran siku ya Alhamisi Novemba 14 kujadili mpango wa nyuklia wa Iran, wiki chache k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 14, 2024

Mwanasiasa mashuhuri wa Mali akamatwa kwa kukosoa Burkina Faso

Utawala wa kijeshi wa Mali Jumatano umemkamata mwanasiasa mashuhuri nchini kutokana na kukosoa utawala wa kijeshi wa nchi jirani ya Burkina Faso, mtoto wake wa kiume pamoja na vyanzo vya mahakama wame . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 13, 2024

SIRI ILIYOJIFICHA RWANDA KUHUSU ZAO LA MAHARAGE

kuna msemo ule wa watoto wakiona wali maharage wanafurahi sana na halikadhalika hata watu wazima pia ni moja kati chakula wanapenda kwa asilimaia kubwa hapa nchini kwetu Tanzania.Lakini kwa nchi ya Rw . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 13, 2024

BK ARENA MOJA YA ARENA KUBWA AFRIKA KUTOKA NCHINI RWANDA

kwa afrika hii ndio ARENA kubwa na yenye kuvutia sana  . . .

Kurasa 39 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 11 dakika zilizopita
  • Utaratibu wa mapitio ya kesi ya Waziri Mkuu Ousmane Sonko wafunguliwa

    • 29 dakika zilizopita
  • Ndege za Marekani zafanya ukaguzi juu anga ya Nigeria

    • 33 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode