DonaldTrump amewateua Elon Musk na Mgombea Urais wa zamani wa chama cha Republican, Vivek Ramaswamy, kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali.Trump alisema kwenye taarifa kwamba Musk na Ramaswamy "watafu . . .
TAKUKURU wilaya ya Bukombe mkoani Geita, imemfikisha mahakamani Rashid Musalika ambaye ni Afisa Mtendaji wa kata ya Runzewe Mashariki kwa tuhuma za kujipatia shilingi laki tatu kutoka kwa wafugaji wa . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Peter Rudolf Ulanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Mhandisi Ulanga anachukua nafasi y . . .
Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma kwa kipindi cha wiki tatu zilizopita wamekuwa wakigoma kushikiniza serikali kutimiza ahadi yake ya kuwaongezea mshahara kwa asilimia kumi kama ilivyokubaliwa katika ma . . .
ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anaonekana kubadili mkakati wake wa kisiasa kwa kulenga kudumisha umaarufu wake katika ngome yake ya Mlima Kenya siku chache baada ya kuondolewa mamlakani.Bw . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA imesema uchunguzi uliofanyika umebaini kuwa Wateja wengi wa skanka ni Wanawake ambao hudai kuvuta bangi hiyo ili kupunguza msongo wa mawazo n . . .
Rais William Ruto amezuru eneo la Mlima Kenya wiki kadhaa baada ya aliyekuwa naibu wake, Rigathi Gachagua, kubanduliwa na nafasi yake kuchukuliwa na Kithure Kindiki. Katika juhudi za kufufua umaa . . .
Baraza la mpito la Haiti, ambalo liliundwa ili kurejesha mfumo wa demokrasia nchini humo, Jumapili limetia saini amri ya kiutendaji ya kumfuta kazi kaimu waziri mkuu Garry Conille, na kute . . .
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Manispaa ya Kinondoni leo imetoa taarifa miezi mitatu katika kupambana na vitendo vya rushwa ikitaja idadi ya watoto wanaobakwa na kulawitiwa kwa si . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushorikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa ziara ya kitaifa ya siku mbili ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Cuba iliyopangwa kufanyika Novemba . . .
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Susie Wiles, aliyekuwa meneja wa kampeni yake ya ushindi, kuwa mkuu wa wafanyikazi wa White House, na kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi hiyo yen . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini wahakikishe vipaumbele vilivyoanishwa kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/2026 vinatafsiriwa vema kwenye mipango ya Taasis . . .
Taifa hilo la kusini mwa Afrika limekuwa likishuhudia machafuko tangu tarehe tisa ya mwezi Oktoba, wakati chama tawala cha Frelimo ambacho kimekuwa madarakani kwa kipindi cha miaka 50 kupata tena ushi . . .
VIONGOZI wa mataifa mbalimbali ya ulimwenguni wameanza kumtumia Donald Trump jumbe za kumpongeza anapoelekea kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais nchini Amerika uliofanyika Novemba 5, 2024.Waziri . . .
Fox News imetangaza Donald Trump amemshinda Makamu wa Rais Kamala Harris katika uchaguzi wa urais wa 2024, hatua ambayo inampa muhula wa pili na kubadili rekodi iliyowekwa na Grover Cleveland, rais wa . . .
Wabunge wa muungano unaotawala nchini Pakistan, waliidhinisha msururu wa miswada Jumatatu inayoongeza muda wa wakuu wa vikosi vya usalama, ikiwa ni pamoja na jeshi, kutoka miaka mitatu hadi mitano, li . . .
Russia ilikataa kuthibitisha mipango yake kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao inasemekana inapanga kupeleka katika mapambano yake dhidi ya Ukraine, wakati wa makabiliano na Marekani Jumatatu kwenye . . .
WASICHANA watatu katika Kaunti ya Narok wanaendelea kufanya mitihani ya kitaifa ya sekondari (KCSE) wakiwa hospitalini baada ya kujifungua saa chache kabla ya kuanza kwa mtihani Jumatatu.Mkurugenzi wa . . .
Tanzania imetajwa kuwa kati ya mataifa 10 bora barani Afrika ambayo yana miundombinu bora zaidi ya barabara. Taarifa hizo zinakuja ikiwa serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ikiwa imewe . . .
Rais wa Iran, Jumapili amesema uwezekano wa kusimamishwa mapigano baina ya washirika wake na Israel, kunaweza kuathiri kiwango cha mwitikio wa Tehran, kwa mashambulizi ya karibuni ya Israel katika mae . . .
Hata hivyo, Wakurya wengi wanapatikana katika wilaya za Tarime, Serengeti na sehemu za wilaya za Rorya na Butiama lakini pia wanaishi katika wilaya zingine za mkoa huo.Mbali na kupatikana mkoni humo p . . .
Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Selestin Luhende amewataka wanandoa kuacha kupekua simu za wenza wao ili kuepuka madhara yanayoweza kupatikana ikiwemo ugomvi unaoweza kuvunja ndoa pamoja . . .
Ujumbe kutoka Benki ya Dunia umeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaoendelea Chuo Kikuu Mzumbe, baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi . . .
Ujerumani Alhamisi imesema kuwa itafunga ubalozi wa Iran nchini humo yakiwa majibu ya tangazo la Iran la kuuwa Jamshid Sharmahd, mjerumani mwenye asili ya Iran, na aliyekuwa mkazi wa Marekani mapema w . . .
Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa ndani, Prof. Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais mpya wa Kenya, akichukua nafasi ya Rigathi Gachagua ambaye aliondolewa madarakani, huku akiapa kuwa mtiifu . . .
Wananchi wa Palangawanu, halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe, wamekumbwa na huzuni baada ya kubaini kuwa wametapeliwa fedha zao za mahindiKatika godauni lililokuwa na mahindi, walikut . . .
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus, amewataka Madereva kuzingatia tija na ufanisi katika utendaji kazi wao ili kuhakikisha jamii inafanya kazi . . .
HATIMA ya watahiniwa 23 wa mtihani wa Gredi ya Sita (KPSEA) katika Kaunti ya Uasin Gishu haijulikani baada ya kubainika kwamba walikalia mtihani feki.Shule hiyo, Silver Bells Academy eneo la Kimumu, E . . .
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameandikia barua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, akielezea wasi wasi wake kutokana na sheria mpya ya Israel iliopitishwa, ikuzuia Umoja huo k . . .
Mwanamume Mkenya ambaye amekuwa akitumikia kifungo cha miaka 10 jela amesimulia kuwa alimficha mpenzi wake kuhusu hali yake ya Ukimwi kwa sababu alikuwa na wasiwasi angemwacha.Arthur Wachira, ambaye a . . .