Utawala wa Rais Biden, wa Marekani, Jumatatu umetangaza kuweka vikwazo kadhaa vipya kwa bidhaa kwenda China, vikizuia kuuzwa kwa vifaa muhimu vya teknolojia za viwandani, na vile vikubwa vya kuweka ku . . .
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa UKIMWI unachapisha ripoti inayoangazia umuhimu wa haki za binadamu katika kutokomeza janga hili. Ubaguzi, ukosefu wa usawa katika upatikanaji wa matunzo na migogoro ya ki . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimshukuru na Kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda kwa namna alivyochagiza shamrashamra za Miaka 25 ya Jumuiya ya . . .
Jeshi la Polisi limesema leo December 01,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es salaam kuna Mtu mmoja Mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na Wa . . .
Chama tawala cha Georgia Alhamisi kimesema kuwa taifa hilo litasitisha mazungumzo kuelelekea kujiunga kwenye Umoja wa Ulaya hadi 2028, huku pia likisusia misaada ya kifedha kutoka Brussels, na kwa hiv . . .
Moja ya nyaya za kupeleka internet chini ya bahari ya Baltic anayoshukiwa kuharibiwa maksudi mapema mwezi huu imekarabatiwa kulingana na msemaji wa kampuni husika ya Arelion.Ukarabati wa nyaya hizo zi . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikiendeshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi . . .
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema Jumatano kwamba atamteua Luteni Jenerali mstaafu wa jeshi Keith Kellog kuwa msaidizi wake na mjumbe maalum kwa ajili ya Ukraine na Russia.Kellog alikuwa mk . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku kamisheni katika Cheo Cha Luteni Usu Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regu . . .
Vyama viwili vya upinzani vya Afrika Kusini Jumanne vimeomba Mahakama ya Juu ifufue kesi ya kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na kashfa ya zaidi ya dola nusu milioni pesa taslimu zili . . .
Mbunge wa Kigamboni (CCM), DK Faustine Ndugulile amefariki dunia leo Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Spika wa Bunge la Tanzania, . . .
Mwanaume mmoja aitwaye Rohitash Kumar aliyetangazwa na Madaktari wa Hospitali ya Umma huko India kuwa amefariki dunia, ameamka katikati ya ibada ya mazishi muda mfupi kabla ya mwili wake kuchomwa moto . . .
Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, amesema idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es salaam imefikia 29 hadi kufikia leo November 26,2024 huku akisema lipo pi . . .
Maelfu ya wafuasi wa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan aliyefungwa jela Imran Khan, Jumapili wameandamana kuelekea Islamabad wakiitishia kuachiliwa kwake pamoja na wafungwa wengine wa kisiasa.Hali hiy . . .
Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji watuhumiwa wawili kwa kosa la kuharibu kwa kuvunja vioo viwili vya treni ya Mwendo Kasi (SGR) kwa kutumia mawe.Taarifa iliyotolewa na msemaji wa jeshi la polis . . .
Mkuu wa jeshi la Iran, Jenerali Hossein Salami ametaja hatua ya mahakama ya ICC kutoa vibali vya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wake wa ulinzi Yoav Gallant . . .
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza application 69 ambazo haziruhusiwi kutoa huduma za mikopo mtandaoni kwa kuwa hazina kibali na haziruhusiwi kuendesha shughuli hizo, huku ikiitaka Mamlaka ya Mawa . . .
Ubalozi wa Marekani mjini Kyiv umefungwa kwa muda kutokana na kile ambacho kimetajwa kama uwezekano wa kutokea kwa shambulio la angani.Hatua hii ya Washington inakuja pia baada ya Urusi kuah . . .
MWANAFUNZI wa chuo kikuu cha Moi ameshtakiwa kwa kuchapisha habari za uwongo kumhusu Rais William Ruto.David Ooga Mokaya, aliye mwaka wa nne katika chuo hicho alifikishwa kortini Jumatatu, Novemba 18, . . .
Ukraine inasema wanajeshi wake hawatowahi kujisalimisha kwa Urusi, kauli hii inakuja wakati huu ikiwa ni siku Elfu moja tangu Moscow kuanzisha uvamizi wake.Katika hatua nyengine, Kremlin na yenyewe im . . .
Rais Joe Biden, anaomba karibu dola bilioni 100 za msaada wa dharura wa maafa baada ya vimbunga Helene na Milton, na majanga mengine ya asili, akiwaambia wabunge pesa hizo zinahitajika haraka.Barua ya . . .
China imeshikilia msimamo wake kwa kumalizwa kwa vita vya Ukraine kwa njia ya amani.Hatua ya China imekuja baada ya Marekani kuipa Ukraine ruhusa ya kutumia makombora ya masafa marefu dhidi ya maeneo . . .
Wapiga kura nchini Gabon wameidhinisha kwa wingi katiba mpya, serekali imesema Jumapili, ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja baada ya wanajeshi walioasi kumpindua rais wa muda mrefu wa nchi hiyo na kuchukua . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili katika uwanja wa ndege wa Galeão Air Force Base Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil Novemba 16, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mk . . .
China imeongeza juhudi za kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Ulaya baada ya uchaguzi wa Marekani, wakati maafisa wake wa ngazi ya juu, pamoja na vyombo vya habari wakisema kuwa hatua hiyo itakuwa na m . . .
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imehitimisha ziara ya kukagua miradi katika sekta ndogo ya ufugaji nyuki kwa kuipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa usimamizi mzuri huku i . . .
Mkuu wa shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Rafael Grossi anazuru Tehran ambapo amekutana na maafisa wa Iran siku ya Alhamisi Novemba 14 kujadili mpango wa nyuklia wa Iran, wiki chache k . . .
Utawala wa kijeshi wa Mali Jumatano umemkamata mwanasiasa mashuhuri nchini kutokana na kukosoa utawala wa kijeshi wa nchi jirani ya Burkina Faso, mtoto wake wa kiume pamoja na vyanzo vya mahakama wame . . .
kuna msemo ule wa watoto wakiona wali maharage wanafurahi sana na halikadhalika hata watu wazima pia ni moja kati chakula wanapenda kwa asilimaia kubwa hapa nchini kwetu Tanzania.Lakini kwa nchi ya Rw . . .
kwa afrika hii ndio ARENA kubwa na yenye kuvutia sana . . .