logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Jamaa Akiri Kumuua Mpenziwe, na Kuuficha Mwili Kwenye Balcony kwa Miaka 16

 Polisi wamemkamata mwanamume anayehusishwa na mauaji ya mpenzi wake miaka 16 iliyopita katika kusini mwa mji wa Geoje  Korea Kusini.Mwanamume huyo, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 50 . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Watano wapandishwa Kizimbani wakijifanya Wakala wa Kampuni za simu na kuibia watu pesa Dar

WATU watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000.Washtakiwa katika kesi hiyo n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

JAJI MSTAAFU MWANGESI"HAUWEZI KUWA MWANGALIZI WA MAADILI YA WATU WENGINE KAMA WEWE HUNA MAADILI"

Kamshina wa Maadili Mhe. Jaji (Mst.) Sivangilwa Mwangesi ,akizungumza wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kilichofanyika kat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2024

Maelfu ya watu wakusanyika katika mazishi ya makamanda wawili wa Hezbollah

Mazishi ya Ibrahim Aqil na Ahmad Mahmoud Wehbi, wote makamanda wakuu wa Hizbullah, waliouawa Ijumaa hii katika shambulio la Israel, yamefanyika siku ya Jumapili mchana, katika viunga vya kusini mwa Be . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 18, 2024

Kundi lenye uhusiano na Al Qaeda lashambulia uwanja wa ndege wa Bamako na kuua wanajeshi kadhaa

Kundi la wanajihadi lenye uhusiano na Al-Qaeda Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi baya katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ambapo wapiganaji wa kundi hilo walidhibiti kwa muda sehemu ya uwanja wa nde . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 18, 2024

RAIS SAMIA" KUITA SERIKALI YA WAUAJI SIO SAWA"

“Siku kadha zilizopita Ndugu zangu Nchi yetu imepata msiba wa kuuawa kwa mmoja wa Kiongozi wa CHADEMA, kifo kilichosisimua miili na akili za Watanzania na kuibua hisia kali hasa kwa Wafuasi wa Chama . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 16, 2024

Polisi yachunguza mauaji ya Mjasiriamali Moro

Polisi Mkoani Morogoro imesema inafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya Mjasiriamali mkazi wa Maseyu, Costa Clemence (22), lililotokea katika kijiii cha Gwata, Wilaya ya Morogoro.Taarifa iliyotolewa n . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • September 16, 2024

Sheikh Mkuu: Waislam tuache vitendo viovu, tudumishe amani

Waislamu Nchini, wametakiwa kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vinavyoweza kupelekea uvunjifu wa amani ya Taifa iliyopo.Rais hiyo, imetolewa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Alhaji Dkt. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 13, 2024

Donald Trump akataa mdahalo mwingine na Kamala Harris

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema hatashiriki mdahalo mwingine na mpinzani wake Kamala Harris. Ingawa kura za maoni zilionyesha kuwa Harris alishinda mdahalo wa kwanza, Trump aliona mamb . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 13, 2024

Mkuu wa Polisi Jela kwa kukaidi wito wa Mahakama

Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi wa Kenya, Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, kwa kosa la kudharau Mahakama.Uamuzi huo umetolewa hii leo Septemba 13, 2024 na Mahakama ya juu y . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 12, 2024

Mgomo wasitishwa katika viwanja vya ndege vya JKIA pamoja na vile vya Mombasa

Wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Kenya wameamua kusitisha mgomo na kurudi kazini baada ya kufikia makubaliano na serikali.Katika makubaliano hayo ya kurudi kazini kwa wafanyakazi hao, serikali . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 10, 2024

Akimbia umbali wa kilomita 160 kumuona mchumba

Mwanaume mmoja huko San Diego aliyefahamika kwa jina la Aron Greene (26) ametengeneza rekodi ya kipekee na hii ni baada ya kukimbia kilomita 160 kwa ajili ya kwenda kumuona mchumba wake.Unaposema kilo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 10, 2024

Bangi Aina ya Skanka KILO 1,815 Yakamatwa

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawaza kulevya aina ya skanka katika oparesheni iliyofanyika August 28, 2024 hadi September 02, 2024 katika mae . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 6, 2024

Waganga wakataa kuhusishwa na matukio ya ukatili

Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo madaktar . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 6, 2024

Afariki kwa Kutolewa ini Kimakosa Badala ya bandama

Mzee wa miaka 70 nchini Marekani, aliyefahamika kwa jina la William Bryan, amefariki akiwa kwenye chumba cha upasuaji, baada ya madaktari kumtoa kiungo kisicho sahihi wakati wa upasuaji.Baada ya uchun . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 5, 2024

Marekani yaishutumu Russia kutaka kuingilia uchaguzi wa rais

Utawala wa rais wa Marekani, Joe Biden, Jumatano umeishutumu Russia, kwa kufanya juhudi kubwa za kuingilia uchaguzi wa rais wa Marekani, na kuendeleza upotoshaji kwa kutumia washawishi wa Marekani kue . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2024

Namibia yagawa nyama za wanyamapori kwa watu wanaokabiliwa na njaa

Zoezi la serikali ya Namibia la kukusanya zaidi ya wanyapori 700 kukabiliana na ukame mbaya zaidi katika miongo kadhaa linaendelea, huku takriban wanyama 160 wakiwa tayari wameuawa, wizara ya mazingir . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2024

Zanzibar yapanga kushirikiana na Indonesian Aid

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza na kulishukuru Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Indonesia (Indonesian Aid), kwa ufadhili wa programu mba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 1, 2024

Ghana yasitisha uuzaji wa nafaka nje kutokana na ukame wa mazao

Baada ya Nigeria au Côte d’Ivoire, ni zamu ya Ghana kusitisha mauzo yake ya nafaka. Uamuzi unaanza kutumika mara moja na hadi hatua nyingine itakapochukuliwa. Uamuzi huo ulitangazwa siku ya Jumatat . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 1, 2024

Museveni aunga mkono mahusiano ya vyombo vya habari kati ya China na Afrika

Kampeni ya vyombo vya habari inayojulikana kama “Washirika wa Afrika” iliyoandaliwa na China Media Group (CMG) itakuza mahusiano wa vyombo vya habari kati ya China na Afrika, na kuimarisha ushirik . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • August 30, 2024

Serikali Yaondoa Sharti la Kusoma Law School

Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeondoa sharti la kila mhitimu wa shahada ya sheria kupita katika shule hiyo.Sharti hilo lilimtaka k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 30, 2024

Ujerumani yaanza kuwarejesha nyumbani raia wa Afghanistan

Ujerumani imewarejesha nyumbani raia wa Afghanistan, ikiwa ni mara ya kwanza tangu Agosti 2021 tangu kundi la Taliban kurejea madarakani.Ndege ya kwanza ya Qatar imeondoka mapema leo katika uwanja wa . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • August 30, 2024

Walimu Wanne Mbaroni Kwa Kuwajeruhi Wanafunzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetolea ufafanuzi kuhusu tukio lililotokea la mwanafuzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Mnadani ambaye anadaiwa kupewa adhabu kuchapwa viboko na walimu wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 29, 2024

Saa mpya yazinduliwa na Barcelona

Katika kusherehekea kumbukumbu ya miaka 125 ya FC Barcelona, ​​kampuni ya vito na saa ya Jacob & Co. iliunda saa maalum ya Epic X Tourbillon kwa ushirikiano na klabu hiyo.Saa ya waridi ya mili . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 29, 2024

Walimu wavamia shule, watimua wenzao na kula mlo wao

MAMIA ya walimu wanaogoma katika Kaunti ya Uasin Gishu walivamia shule ya upili ya Uasin Gishu ambapo walitorosha wenzao waliokuwa wakifundisha kabla ya kusherekea mlo wa mchana uliokuwa umeandaliwa w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 29, 2024

Uhispania, Mauritania na Gambia zasaini mikataba ya kuhalalisha uhamiaji

Uhispania ilisaini mikataba na Mauritania na Gambia kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na usafirishaji haramu wa watu na kudumisha uhamiaji halali.Uhispania ilisaini mikataba na Mauritania na G . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 28, 2024

Saba wauawa katika mashambulizi ya ndege isiyo na rubani kaskazini mwa Mali

Makundi yenye silaha yanayotaka kujitenga nchini Mali yamekiri kuuawa kwa wapiganaji wake saba baada ya ndege isiyo na rubani kushambulia magari yao mawili kaskazini mwa nchi hiyo siku ya Jumatatu, ka . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 28, 2024

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yaonya wakimbizi walioambukizwa Mpox nchini DRC wako katika hatari ya kifo

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kwamba wakimbizi na jamii zilizohamishwa kutoka kwa makazi yao nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na nchi nyingine za Afrika walioambukizwa mpox wako katika . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 26, 2024

Kenya yatuma kikosi kipya kusaidia MONUSCO

Kundi la kwanza la kikosi cha nne cha jeshi la Kenya (KENQRF 4) kimetumwa rasmi DRC tangu siku ya Jumamosi Agosti 24, kuashiria kuanza kwa misheni yao ya kulinda amani nchini humo.Sherehe ya kuondoka . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 26, 2024

Mashambulizi ya wanamgambo yawaua watu 33 Pakistan

Watu 33 wameuawa katika msururu wa mashambulizi yanayowalenga maafisa wa polisi kusini magharibi mwa Pakistan, raia na wasafiri.Kulingana na msemaji wa eneo hilo Shahid Rind mapema leo, magaidi walian . . .

Kurasa 43 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • 11 masaa yaliopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 11 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 12 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode