Polisi wamemkamata mwanamume anayehusishwa na mauaji ya mpenzi wake miaka 16 iliyopita katika kusini mwa mji wa Geoje Korea Kusini.Mwanamume huyo, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 50 . . .
WATU watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000.Washtakiwa katika kesi hiyo n . . .
Kamshina wa Maadili Mhe. Jaji (Mst.) Sivangilwa Mwangesi ,akizungumza wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kilichofanyika kat . . .
Mazishi ya Ibrahim Aqil na Ahmad Mahmoud Wehbi, wote makamanda wakuu wa Hizbullah, waliouawa Ijumaa hii katika shambulio la Israel, yamefanyika siku ya Jumapili mchana, katika viunga vya kusini mwa Be . . .
Kundi la wanajihadi lenye uhusiano na Al-Qaeda Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi baya katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ambapo wapiganaji wa kundi hilo walidhibiti kwa muda sehemu ya uwanja wa nde . . .
“Siku kadha zilizopita Ndugu zangu Nchi yetu imepata msiba wa kuuawa kwa mmoja wa Kiongozi wa CHADEMA, kifo kilichosisimua miili na akili za Watanzania na kuibua hisia kali hasa kwa Wafuasi wa Chama . . .
Polisi Mkoani Morogoro imesema inafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya Mjasiriamali mkazi wa Maseyu, Costa Clemence (22), lililotokea katika kijiii cha Gwata, Wilaya ya Morogoro.Taarifa iliyotolewa n . . .
Waislamu Nchini, wametakiwa kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vinavyoweza kupelekea uvunjifu wa amani ya Taifa iliyopo.Rais hiyo, imetolewa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Alhaji Dkt. . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema hatashiriki mdahalo mwingine na mpinzani wake Kamala Harris. Ingawa kura za maoni zilionyesha kuwa Harris alishinda mdahalo wa kwanza, Trump aliona mamb . . .
Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi wa Kenya, Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, kwa kosa la kudharau Mahakama.Uamuzi huo umetolewa hii leo Septemba 13, 2024 na Mahakama ya juu y . . .
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Kenya wameamua kusitisha mgomo na kurudi kazini baada ya kufikia makubaliano na serikali.Katika makubaliano hayo ya kurudi kazini kwa wafanyakazi hao, serikali . . .
Mwanaume mmoja huko San Diego aliyefahamika kwa jina la Aron Greene (26) ametengeneza rekodi ya kipekee na hii ni baada ya kukimbia kilomita 160 kwa ajili ya kwenda kumuona mchumba wake.Unaposema kilo . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawaza kulevya aina ya skanka katika oparesheni iliyofanyika August 28, 2024 hadi September 02, 2024 katika mae . . .
Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo madaktar . . .
Mzee wa miaka 70 nchini Marekani, aliyefahamika kwa jina la William Bryan, amefariki akiwa kwenye chumba cha upasuaji, baada ya madaktari kumtoa kiungo kisicho sahihi wakati wa upasuaji.Baada ya uchun . . .
Utawala wa rais wa Marekani, Joe Biden, Jumatano umeishutumu Russia, kwa kufanya juhudi kubwa za kuingilia uchaguzi wa rais wa Marekani, na kuendeleza upotoshaji kwa kutumia washawishi wa Marekani kue . . .
Zoezi la serikali ya Namibia la kukusanya zaidi ya wanyapori 700 kukabiliana na ukame mbaya zaidi katika miongo kadhaa linaendelea, huku takriban wanyama 160 wakiwa tayari wameuawa, wizara ya mazingir . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza na kulishukuru Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Indonesia (Indonesian Aid), kwa ufadhili wa programu mba . . .
Baada ya Nigeria au Côte d’Ivoire, ni zamu ya Ghana kusitisha mauzo yake ya nafaka. Uamuzi unaanza kutumika mara moja na hadi hatua nyingine itakapochukuliwa. Uamuzi huo ulitangazwa siku ya Jumatat . . .
Kampeni ya vyombo vya habari inayojulikana kama “Washirika wa Afrika” iliyoandaliwa na China Media Group (CMG) itakuza mahusiano wa vyombo vya habari kati ya China na Afrika, na kuimarisha ushirik . . .
Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeondoa sharti la kila mhitimu wa shahada ya sheria kupita katika shule hiyo.Sharti hilo lilimtaka k . . .
Ujerumani imewarejesha nyumbani raia wa Afghanistan, ikiwa ni mara ya kwanza tangu Agosti 2021 tangu kundi la Taliban kurejea madarakani.Ndege ya kwanza ya Qatar imeondoka mapema leo katika uwanja wa . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetolea ufafanuzi kuhusu tukio lililotokea la mwanafuzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Mnadani ambaye anadaiwa kupewa adhabu kuchapwa viboko na walimu wa . . .
Katika kusherehekea kumbukumbu ya miaka 125 ya FC Barcelona, kampuni ya vito na saa ya Jacob & Co. iliunda saa maalum ya Epic X Tourbillon kwa ushirikiano na klabu hiyo.Saa ya waridi ya mili . . .
MAMIA ya walimu wanaogoma katika Kaunti ya Uasin Gishu walivamia shule ya upili ya Uasin Gishu ambapo walitorosha wenzao waliokuwa wakifundisha kabla ya kusherekea mlo wa mchana uliokuwa umeandaliwa w . . .
Uhispania ilisaini mikataba na Mauritania na Gambia kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na usafirishaji haramu wa watu na kudumisha uhamiaji halali.Uhispania ilisaini mikataba na Mauritania na G . . .
Makundi yenye silaha yanayotaka kujitenga nchini Mali yamekiri kuuawa kwa wapiganaji wake saba baada ya ndege isiyo na rubani kushambulia magari yao mawili kaskazini mwa nchi hiyo siku ya Jumatatu, ka . . .
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kwamba wakimbizi na jamii zilizohamishwa kutoka kwa makazi yao nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na nchi nyingine za Afrika walioambukizwa mpox wako katika . . .
Kundi la kwanza la kikosi cha nne cha jeshi la Kenya (KENQRF 4) kimetumwa rasmi DRC tangu siku ya Jumamosi Agosti 24, kuashiria kuanza kwa misheni yao ya kulinda amani nchini humo.Sherehe ya kuondoka . . .
Watu 33 wameuawa katika msururu wa mashambulizi yanayowalenga maafisa wa polisi kusini magharibi mwa Pakistan, raia na wasafiri.Kulingana na msemaji wa eneo hilo Shahid Rind mapema leo, magaidi walian . . .