Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Brazil wamesema kuwa duru ya pili ya uchaguzi itafanyika Oktoba 30, baada ya wagombea wawili wakuu kushindwa kupata zaidi ya asilimia 50 ya kura zinazohitajika. Bara . . .
Waandamanaji wenye hasira wameshambulia ubalozi wa Ufaransa katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou jioni ya Jumamosi. Hii ni baada wa wafuasi wa wanajeshi waliofanya mapinduzi mapya kuituhumu Uf . . .
Hatimaye mwili wa marehemu Hellen Wendy Nyabuto (24),binti wa Kikenya aliyefariki kwa kuzama kwenye bwawa la kuogelea nchini Canada umewasili Nairobi leo.Hellen ambaye alikuwa muuguzi na mwanafunzi al . . .
Rais William Ruto ametoa wito kwa bunge kubuni mikakati ya kuwahoji Mawaziri Bungeni, ili kufafanua sera za serikali na kujibu maswali kuhusu miradi yake.Wakati wa hotuba yake alipofungua rasmi Bunge . . .
Tume ya Kitaifa ya Huduma kwa Polisi Kenya (NPSC) imemteua Massa Hamisi Salim kuwa kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara Upelelezi wa Jinai (DCI) hadi mshikilizi kamili ya cheo hicho atakapoteuliwa.Salim ali . . .
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema matatizo mengi yanayiowakumba vijana nchini kwa sasa kiafya yanatokana na lishe duni huku matatizo hayo yakiendelea kuwa siri.Rais Samia amewataka watafiti . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema anafanya kila lililo chini ya uwezo wake ili kufanikisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya wale wanaowakandamiza wanawake nchini Iran, w . . .
Chanzo cha kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, ambaye alitawala kwa muda mrefu zaidi ya malkia au mfalme mwingine yeyeote wa nchi hiyo, kimetolewa rasmi.Kulingana na cheti cha kifo kilichochapi . . .
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amesema hakuna haja ya kuweka vikwazo ikiwemo marufuku ya kutoka nje katika maeneo yenye mlipuko wa Ebola kwasababu Ugonjwa huo hausambazwi kw . . .
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema kwamba asilimia 30 ya Watanzania wana tatizo la shinikizo la juu la damu na asilimia 33 wana uzito wa juu wa kupitiliza jambo linaloashiria kwamba wap . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-Diaspora wote wawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania kokote waliko na wawe tayari kuainisha fursa zilizopo nchini.“Ninyi ni mabalozi wetu, itangazeni . . .
Urusi inapanga kuitisha mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili uharibifu uliofanywa katika mabomba hayo mawili. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova amesema ha . . .
Wakati Serikali ikiwasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa Wote bungeni, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hakuna mtu atakaye kamatwa au kupigwa faini kwa kutokuwa na bima ya afya. Wa . . .
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau alitangaza Jumatatu kwamba serikali yake itawawekea vikwazo "dazeni" ya watu na mashirika ya Iran, ikiwa ni pamoja na maafisa wa polisi wanaowaitwa "wa maadili," w . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amefungua rasmi dirisha la ufadhili wa masomo ya elimu ya juu (Samia Scholarship) ambapo wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya . . .
Polisi nchini Kenya wanachunguza kifo cha mwanasheria aliyetuhumiwa kuwahonga na kuwatishia mashahidi katika kesi iliyotupiliwa mbali na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu - ICC dhidi ya Rais William Ru . . .
KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka Septemba 26, 2022, jijini Dodoma akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, Mhe. Gerson Mdemu ku . . .
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Kaunti Ndogo ya Marakwet Magharibi ameingia mitini baada ya kuchoma nyumba ya familia kutokana na kutofautiana na babake kuhusu pesa za matumizi ya shuleni ambazo . . .
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa saratani umeua watu 25,000 mwaka 2020 na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 iliyoua watu chini ya 1,000 hapa nchini.Waziri Ummy amesema . . .
Idadi ya watu waliofari dunia kutokana na ugonjwa wa ebola nchini Ugenda imefikia watu 21 huku zaidi ya 30 wakiwa wameambukuzwa.Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Afya nchini Uganda imesema kuwa kuwa wiz . . .
Kamati za Bunge za Miundombinu na Hesabu za Serikali (PAC) wameanza safari ya kutoka Dodoma kwenda Morogoro kwa njia ya treni wakipita reli mpya ya kisasa (SGR). Wabunge hao wanapitia reli hiyo k . . .
Ripoti ya Dunia ya Furaha imetumia uchanganuzi wa takwimu kubaini nchi zenye furaha zaidi duniani. Katika sasisho lake la 2021, ripoti ilihitimisha kuwa Finland ndio nchi yenye furaha zaidi ulimwengun . . .
RAIS William Ruto jana Jumapili aliruhusu viongozi wa makanisa kufanya maombi spesheli ya kutakasa ikulu ya Nairobi huku akijiandaa kuanza kutumia makao hayo ramsi ya kiongozi wa nchi.Rais Ruto alisem . . .
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mkutano Mkuu wa Dharura wa Chama Cha NCCR -Mageuzi kumfuta uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, James Mbatia na kumvua uongozi Makamu Mwenyekiti, . . .
Waziri mkuu wa mpito nchini Mali kanali Abdoulaye Maiga, ameishtumu Ufaransa kwa kulitelekeza taifa hilo. Wakati wa hotuba yake kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Maiga amesema kuwa Mali imesaliti . . .
kiongozi wa upinzani na Spika wa zamani Guy Nzoube Ndama wa Bunge la Gabon, amekamatwa katika mji mkuu wa Libreville akiwa na takriban dola milioni 2 (bilioni 1.19 za FR CFA) zilizopatikana kwen . . .
Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kupitia Kamisheni ya Utalii Zanzibar imelaani kitendo cha Watalii wawili wa jinsia moja (Wanaume) kuvishana pete katika ufukwe wa Hoteli iliyopo Jambiani Mkoa wa Kusi . . .
Mamlaka za Cameroon zimesema Alhamisi kwamba zimezuilia wanajeshi watatu kutokana na kupiga risasi na kuuwa wanawake wawili wasiokuwa na silaha kwenye kijiji kimoja kaskazini magharibi mwa nchi.Makund . . .
Iran imezuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ya Instagram na WhatsApp huku kukiwa na maandamano ya kupinga kifo cha mwanamke aliyekuwa chini ya ulinzi wa polisi kwa mujibu wa wakaazi na shirika la . . .
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, kisukari na matatizo ya moyo yamechangia asilimia 74 ya vifo vyote duniani, na kushauri kuwa kupambana na maradhi hayo k . . .