logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Vikundi 1184 kuboresha malezi ya mtoto wa kike

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum  Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali imeanzisha vikundi vya malezi 1184 katika mikoa 17 Tanzania Bara  hadi kufikia Juni 20 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Urusi na Belarus kuunda kikosi cha pamoja cha kijeshi

Kiongozi wa Belarus Alexander Lukashenko hapo jana alitangaza kuundwa kwa kikosi cha pamoja cha nchi yake ndani ya jeshi la Urusi. Lukashenko alisema hatua hiyo inatokana na shinikizo linaloongezeka k . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Muuguzi ashutumiwa kuwaua kwa sumu watoto wachanga zaidi ya 10 hospitalini

Lucy Letby ameshtakiwa kwa mauaji ya watoto watano wa kiume na wakike wawili."Mtoaji sumu alikuwa kazini" katika hospitali ambapo kulikuwa na "kuongezeka kwa kiasi kikubwa" kwa idadi ya watoto wenye a . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Wakaazi wa Komanda DRC waomba jeshi kuwawekea ulinzi wa kutosha

Wakaazi wa Mji wa Komanda  wilayani Irumu mkoani Ituri Kaskazini mashariki mwa Congo wanaomba jeshi la serikali kuweka ulinzi wa kutosha katika miji na vijiji vya wilaya yao vinavyoshambuliwa kil . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Papa Francis "kutengwa ni kashfa, karaha na dhambi"

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis siku ya Jumapili alitoa utetezi mkali dhidi ya wahamiaji, akitaja kutengwa kwao kuwa “kashfa, karaha na dhambi”, na kumuweka katika mgongano na ser . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Ruto atua Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Kenya, William Ruto na kumkaribisha Ikulu Dar es Salaam ambapo watazungumzia masuala kadhaa ya ushirikiano ukiwamo ya kibiashara.Rais Ruto aliwasili nchini j . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2022

Museveni Afafanua Sababu ya Kumpandisha Cheo Mwanawe Jenerali Muhoozi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amejitetea kwa hatua yake ya kumpandisha cheo mwanawe Jenerali Muhoozi Kainerugaba licha ya kumtimua kama kamanda wa wanajeshi wa ardhini wa Uganda.Katika mageuzi yaliyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2022

WHO"Afrika wanaongoza kwa kujiua"

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuzindua kampeni ya kuzuia kujiua barani Afrika, kufuatia kuwepo kwa ripoti nyingi za mauaji ya aina hiyo kutoka Afrika.WHO inaitaja Afrika kuwa ndilo bara li . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2022

Watumishi wa serikali wawakimbia wananchi

Wananchi wa Kijiji cha Ruvuma Chini, mkoani Ruvuma, wameishukuru serikali kwa kuwapelekea mradi wa maji ambao unagharimu bilioni 1.3 kwani unakwenda kuondoa changamoto ya watumishi wa serikali kukimbi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 7, 2022

Kituo cha kusafirisha mafuta cha Nigeria kilikuwa na njia ya wizi baharini kwa miaka 9

Maafisa nchini Nigeria waligundua njia haramu ya kuunganisha mafuta kutoka kwenye  mojawapo ya njia yake kuu ya kusafirisha mafuta baharini ambayo imekuwa ikifanya kazi bila kutambuliwa kwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2022

Wafanyakazi kufanya kazi nyumbani wakati wa Kombe la Dunia

Qatar imeamuru wafanyakazi wengi wa serikali kufanyia kazi majumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia mwezi ujao. Shule zitapunguziwa masaa wiki mbili kabla ya kuanza kinyang’anyiro hicho na k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Museveni Amualika Rais Ruto Uganda Kuadhimisha Siku ya Uhuru

Rais William Ruto anatarajiwa kujumuika katika sherehe za Uhuru nchini Uganda siku ya Jumapili, Oktoba 9, hii ikionekana kama juhudi za kutuliza hali tete iliyoshuhudiwa wiki hii kati ya nchi hizi mbi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Morocco yahalalisha utumiaji wa bangi

Serikali ya Morocco imetoa vibali 10 kwa wakulima kulima bangi kihalali kwa ajili ya viwanda na kuuza nje kwa mara ya kwanza.Wakulima katika maeneo ya kaskazini ya al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Mawaziri wa Utalii kutoka mataifa 50 wakutana Arusha kujadili sekta ya utalii

Mawaziri wa utalii kutoka zaidi ya nchi 50 wanachama wa shirika la utalii Duniani na maafisa wa Kamisheni  ya Afrika Jumatano walikutana jijini Arusha Tanzania kujadili hali ya utalii ilivyo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Adai Fidia ya Milioni 500 Baada Ya Kutolewa Tezi Kimakosa Hospitalini

Florence Samwel ambaye ni mtumishi wa Wizara ya Kilimo amezishtaki Hospitali za TMJ na Hindu Mandal pamoja na Dkt. Maurice Mavura katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya u . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

TRA Geita yavuka lengo la makusanyo

Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoani Geita Hashim Ngoda amesema wamevuka lengo la makusanyo kwa asilimia 132 katika kipindi cha robo ya kwanza mwaka 2022/2023 ambapo walitakiwa kukusanya s . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

Mwanajeshi wa JWTZ akutwa na hukumu ya kunyongwa kwa kuua

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajes . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

Rais Museveni Ampandisha cheo Mwanae

Rais Yoweri Museveni amemuondoa mwanawe, Muhoozi Kainerugaba, kama kamanda wa majeshi ya nchi kavu ya Uganda, jeshi lilisema Jumanne, baada ya Kainerugaba kutishia mara kwa mara kwenye ukurasa wake wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar leo

Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality Ali bin Ahmed Al Kuwari, Doha nchini QatarRais wa Jamhuri . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

Bei za mafuta kuanza kushuka Oktoba 5

Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo petroli katika jiji la Dar es Salaam itauzwa Sh2,886  . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 4, 2022

Zumaridi na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu

Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imemkuta na kesi ya kujibu Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake nane na kuwataka mawakili wanaowatetea kujiandaa kutoa ushahidi dhidi yaoM . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 4, 2022

Trump aishitaki CNN

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amelishtaki shirika la utangazaji la Marekani CNN kwa kumkashifu, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni 75.Trump ameishutumu CNN kwa kuendesha kampeni aliyoiita . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 4, 2022

Wakenya Wamvamia Mwanawe Museveni Jenerali Muhoozi Baada ya Kusema Naweza Kuipiga Nairobi Kwa Wiki Mbili

Mwanawe Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba sasa anasema kuwa amewasamehe Wakenya ambao walimvamia kwenye mtandao wa Twitter.Kupitia kwa ujumbe kwenye mtandao wa Twitter, Muhoozi ambaye . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 4, 2022

Bukina Faso Yapata Utulivu

Utulivu ulirejea katika mji mkuu wa Burkina Faso siku ya Jumatatu baada ya kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo kukimbilia nchi jirani ya Togo kufuatia mapinduzi ya pili katika muda wa chini ya miezi tisa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 3, 2022

Rais Samia afanya uteuzi mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Innocent Bashungwa, aliyekuwa Waziri wa TAMISEMI kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.Taarifa ya uteuzi huo ilitolewa u . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 3, 2022

Uchaguzi kufanyika Oktoba 30 Brazil

Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Brazil wamesema kuwa duru ya pili ya uchaguzi itafanyika Oktoba 30, baada ya wagombea wawili wakuu kushindwa kupata zaidi ya asilimia 50 ya kura zinazohitajika. Bara . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 2, 2022

Damiba awataka waliofanya mapinduzi ''kuwa na fikra pevu''

Waandamanaji wenye hasira wameshambulia ubalozi wa Ufaransa katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou jioni ya Jumamosi. Hii ni baada wa wafuasi wa wanajeshi waliofanya mapinduzi mapya kuituhumu Uf . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 2, 2022

Hatimaye mwili wa marehemu Hellen Wendy Aliyefariki Akiogelea Live Wawasili Kenya

Hatimaye mwili wa marehemu Hellen Wendy Nyabuto (24),binti wa Kikenya aliyefariki kwa kuzama kwenye bwawa la kuogelea nchini Canada umewasili Nairobi leo.Hellen ambaye alikuwa muuguzi na mwanafunzi al . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 30, 2022

Rais Ruto Awahimiza Wabunge Kuwahoji Mawaziri

Rais William Ruto ametoa wito kwa bunge kubuni mikakati ya kuwahoji Mawaziri Bungeni, ili kufafanua sera za serikali na kujibu maswali kuhusu miradi yake.Wakati wa hotuba yake alipofungua rasmi Bunge . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 30, 2022

NPSC Yateua Kaimu DCI Mpya

Tume ya Kitaifa ya Huduma kwa Polisi Kenya (NPSC) imemteua Massa Hamisi Salim kuwa kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara Upelelezi wa Jinai (DCI) hadi mshikilizi kamili ya cheo hicho atakapoteuliwa.Salim ali . . .

Kurasa 93 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 18 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 18 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 21 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode