Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe.Atupele Mwakibete ameitaka Bodi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), kuandaa Sera, Sheria, Kanuni na miongozo bora itakayosimamia na kuleta maendeleo ya sek . . .
Zimbabwe imeibuka taifa la kwanza katika bara la Afrika kuidhinisha chanjo ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi.Zimbabwe itaanza kutoa chanjo hiyo rasmi baada ya kupata idhini ya matumizi yake ku . . .
KIUNGULIA humfanya mtu ahisi kana kwamba kuna mwasho kifuani. Chakula tunachokula hupitia kinywani mwetu hadi kwenye mirija inayojulikana kama umio. Kinapitia uwazi ulio kati ya umio na tumbo. Uf . . .
Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosaba . . .
Indonesia imepiga marufuku kwa muda dawa zote za maji kufuatia vifo vya watoto wapatao 100 kutokana na uharibifu wa figo. Haya yameripotiwa leo na wizara ya afya nchini humo. Wizara hiyo imesema k . . .
Waendesha mashtaka wa Marekani Jumatano waliwashtaki raia watano wa Russia kwa kukwepa vikwazo na mashtaka mengine kwa kusafirisha teknolojia za kijeshi. Teknolojia hizo zilinunuliwa kuto . . .
"Umegusia suala la Tezi dume hapo, wengi wanaume ukileta mjadala wa changamoto hiyo, fikra zao huelekea kwenye kile kipimo cha kidole ambacho wengi hukikwepa wakisema si rafiki, unatoa rai gani kwa wa . . .
WAKULIMA Mkoa wa Arusha wameshauriwa kufanya uzalishaji wa vyakula wenye lishe bora utakaokidhi afya ya mwananchi baada ya uzalishaji huku wakitakiwa pia kuzalisha chakula cha kutosha kwa ajili ya fam . . .
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema janga la Uviko-19 pamoja na vita na migogoro ni masuala yaliyorudisha nyuma juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa wanawake pamoja na watoto. Kwa mujibu wa dat . . .
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani, Tedrso Adhanom Ghebreyesus AP - Salvatore Di NolfiShirika la afya duniani, WHO, juma hili limetoa angalizo kuhusu matumizi ya dawa nne za kimiminika zinazotumiwa . . .
Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliuawa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya wakati gari lao lilipogonga kilipuzi kaskazini mwa Mali siku ya Jumatatu, msemaji wa Umoja wa Mataifa al . . .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumanne ya tarehe 18 Oktoba, 2022 amefanya ziara fupi kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Kigoma na k . . .
Vyakula vya wanga nyingiKula chakula chenye wanga kinaweza kudhoofisha afya kwa muda mrefu kwani husababisha kuongezeka kwa uvimbe na kubadilisha utumbo. Kwa mfano, viazi vinaweza kuchukuliwa kuwa cha . . .
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde, amesema serikali ipo njiani kutunga sheria maalum kwa ajili ya kilimo ili kulinda maeneo yote yanayofaa kwa kilimo katika azma yake ya kukuza sekta ya kilimo nc . . .
Yoweri Museveni "Jenerali Muhoozi Kainerugaba - atakaa mbali na mitandao ya kijamii kufuatia jumbe zake za kivita kuhusu Kenya."Jenerali Muhoozi alitishia uhusiano wa Kenya na Uganda baada . . .
miaka 30 ijayo mwanamke wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kujifungua wastani wa watoto wachache ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ kuonyesha uwezo wa kuzaa wa wanawake nchini umeshuka k . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi . . .
Kaimu Mratibu wa Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania (TANIPAC), Khassim Musya akitoa elimu wa wananchi waliofika katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yenye Kaulimbiu isemayo 'Uzalishaj . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video na kutoa lugha ya maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini . . .
Wakazi wa Beni, Kivu kaskazini, na Ituri wanaiomba serikali ya DRC na Umoja wa Matifa kutangaza mauaji ya mara kwa mara katika eneo lao kuwa ya kimbari.Akizungumuza na wanahabari akiwa katika ene . . .
SERIKALI imezindua Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS 2022-2023) na kueleza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ya VVU na UKIMWI kimeshuka na kufikia asilimia 4.7. Pia imedhamir . . .
Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wakati akielekea Mkoa wa Kigoma leo Jumapili, Oktoba 6, 2022, Rais Samia amesema yeye na wasaidizi wake wapo kwa ajili ya kuitumikia Tanzania na Mtanzania ili kule . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, viongozi wengine wa Chama, Serikali, pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Misa Taka . . .
Mtoto wa rais Yower Museveni wa Uganda, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kutembelea Tanzania, ikiwa ni siku chache tangu azue utata wa kuiteka Nairobi kwa wiki mbili.Licha ya baba yake k . . .
Wabunge nchini Iraq jana walimchagua Abdul Latif Rashid, mwanasiasa mkurdi mwenye umri wa miaka 78 kuwa rais mpya wa nchi hiyo. Afisa mmoja wa bunge amesema kuwa Rashid alipata zaidi ya kura 160 dhidi . . .
Leo Oktoba 13,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaja kesi ya madai, iliyofunguliwa na Patrick Christopher Kamwelwe, dhidi ya Willium Malecela na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Mak . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kutangaza matokeo ya zoezi la sensa ya watu na makazi lililoanza kufanyika usiku wa kuamkia Agosti 23, 2 . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaagiza waganga wa jadi kuacha kuwatibu watu wakati wa mlipuko wa ebola unaoendelea ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu 19 nchini humo.Rais pia amewaagiza maaf . . .
Mbunge wa Aman (CCM), Mussa Hassan Mussa amefariki dunia leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 nyumbani kwake visiwani Zanzibar.Akitoa taarifa ya kifo hicho leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Spika wa Bunge, D . . .