Marekani imesema itatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa yeyote ambaye atakuwa na taarifa kuhusu viongozi wakuu wa Al-Shabab, hatua iliyotokana na mfululizo wa mashambulizi mabaya ya kundi hilo la k . . .
Polisi Nchini Kenya wamemkamata kijana mwenye umri wa miaka 21 Jared Opiyo Nyatumba kwa kuvaa mavazi ya kike na kutumia jina la kike la mwanamke mwingine ambae ni Sheila Bichange.&nbs . . .
Wanafunzi wa kidato cha nne nchini leo wanaanza mitihani yao pamoja na ile ya maarifa, mtihani unaofanyika katika jumla ya shule 5,212 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 1,794. Jumla ya watahiniw . . .
Siku moja baada ya jeshi la polisi kuwakamata watu watano wanaohusika na mauaji wa mtu mwenye ualbino, Chama cha watu wenye ualbino mkoa wa Mwanza TAS kimelaani watu wanaoendelea kutekeleza mauaji hay . . .
Rais Joe Biden alisema Jumatano kuwa atatangaza mapema mwaka ujao iwapo atagombea tena urais. Alikuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari huko ikulu mjini Washington DC katika siku ambayo Wademokra . . .
Shirika la ndege Tanazina[ATCL] limesema litapunguza miruko ya ndege zake pamoja na kufuta baadhi ya safari ili kutoa muda wa matengenezo ya injini . . .
Wakenya waruhusiwa kuingia nchini Afrika Kusini bila visa kuanzia Januari, 1, 2023 kwa muda usiozidi siku 90 kila mwakaHii ni baada ya mazungumzo kati ya Rais William Ruto na Rais wa Afrika Kusi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali ya Ndege ya Kampuni ya Ndege la Precision Air iliyoanguka ziwa Victoria asubuhi ya leo Novemba 6, . . .
Maelfu ya abiria wa shirika ndege la Kenya Airways wamekwama baada ya marubani wa shirika hilo kuanza mgomo siku ya Jumamosi asubuhi ulolazimisha kufutwa kwa mamia ya safari Abiria wengi kwenye uwanj . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anatazamiwa kukutana leo na viongozi wakuu wa dini ya Kiislamu, akiwa katika ziara nchini Bahrain inayoazimia kuboresha mjadala baina ya imani tafauti. . . .
Peetambaram Rajan mwenye umri wa miaka 56, aliripotiwa kufariki dunia baada ya kupata ugonjwa wa ghafla katika nyumba yake iliyoko huko Batticaloa, Sri Lanka. Lakini katika maisha yake yote, alij . . .
Peetambaram Rajan mwenye umri wa miaka 56, aliripotiwa kufariki dunia baada ya kupata ugonjwa wa ghafla katika nyumba yake iliyoko huko Batticaloa, Sri Lanka. Lakini katika maisha yake yote, alij . . .
Waziri wa Biashara Moses Kuria wa nchini kenye ametangaza kupiga marufuku mavazi ya nguo za mitumba hivi.Akiongea katika hafla ya Changamka ambayo katika ukumbi wa KICC, Kuria alisema serikali i . . .
Rais wa Brazil Jair Bolsonaro amezungumza kwa mara kwanza jana Jumanne tangu aliposhindwa uchaguzi na kutoa hotuba fupi ambayo hakutamka wazi kuyakubali matokeo.Hotuba yake haikugusia chochote kuhusu . . .
Korea Kaskazini imeitaka Marekani na Korea Kusini kuacha kufanya luteka kubwa za pamoja za kijeshi inazozitaja kama uchokozi unaoweza kuchochea hatua kali zaidi kutoka kwa Pyongyang. Taarifa ya wizara . . .
Rais wa Kenya William Ruto amesisitiza dhamira ya serikali yake kukomesha mauaji ya kiholela nchini humo, kwa kuagiza shirika la polisi kuandaa mipango ya mageuzi na uangalizi wa raia. Haya yanajiri . . .
Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo imemfukuza balozi wa Rwanda nchini humo Vincent Karega. Hatua hiyo inajiri wakati kundi la waasi la M23 ambalo Kongo inadai kuwa linaungwa mkono na Kigali, likiendelea . . .
Mashirika kadhaa nchini Senegal, yanamtaka Rais Macky Sall kuondoa shaka, na kutangaza hadharani kwamba hatagombea muhula wa tatu, jambo ambalo walisema linaweza kuzua "machafuko." Sall, ambaye . . .
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, inasema dadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa kifua kikuu, ikiwa ni pamoja na uwepo wa wenye kupata usugu wa dawa, imeongezeka kwa mara ya kwanza baada . . .
IDAARA ya macho ina sehemu kuu mbili nazo ni kliniki ya macho na chumba cha upasuaji wa macho.Jeh yapi magonjwa ya macho yanayo wakuta wengi?Vipi kwa wachomeleaji vyoma watumiao moto wenye wmanga mkal . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa watumishi wote walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti warejeshewe michango yao waliyochangia kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.Watumishi hao ni wale walioondo . . .
Mwanamume mmoja wa Iran aliyepewa jina la ‘mtu mchafu zaidi duniani’ kwa kutooga kwa zaidi ya nusu karne amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.Amou H . . .
Waziri wa Uchumi wa Japan, Daishiro Yamagiwa, Jumatatu aliwasilisha barua ya kujiuzulu kutokana na mahusiano yake na kanisa la Unification. Yamagiwa alikuwa amekabiliwa na ukosoaji mkubwa . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi Nchini na Baraza la Taifa na Usalama barabarani kuhakikisha wanayakamata mabasi yote yasiyo na vizibiti mwendoMasaun . . .
Josephat Gwajima katika kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika suala zima la michezo amewateua wafuatao kuwa wasaidizi wa Mbunge kwenye masuala ya michezo, utamaduni na sanaa. . . .
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema polisi nchini Qatar, imewakamata na kuwanyanyasa wanachama wa Jamii ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, kuelekea mashin . . .
Francis Banda, mwanamume kutoka Malawi anayeishi Ntcheu, anagonga vichwa vya habari baada ya kubomoa nyumba mbili kutokana na hasira iliyosababishwa na kuvunjwa moyo.Banda alimwacha na kukimbilia kwa . . .
Mshauri wa usalama wa taifa wa rais wa Marekani Jake Sullivan, amefanya mazungumzo na mwenzake wa Kenya Dr. Monica Juma kuhusu vita vya Ethiopia na mgogoro wa kibinadamu unaoendelea kuongezeka nchini . . .
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amerudi nchini humo katika juhudi zake za kujaribu kurudi madarakani baada ya kujiuzulu wa Liz Truss. Johnson alilazimika kujizulu baada ya utaw . . .
Liz Truss amejiuzulu kama waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukaa madarakani kwa chini ya miezi miwili.Kuanzia mkutano wake wa kwanza na Malkia, hadi machafuko ya bajeti yake ndogo, wiki zake sita mad . . .