Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali ya Ndege ya Kampuni ya Ndege la Precision Air iliyoanguka ziwa Victoria asubuhi ya leo Novemba 6, 2022 na kuwataka wananchi kuwa watulivu wakati zoezi la uokoaji likiendelea.