Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki, ameagiza TAKUKURU kuchunguza matumizi ya shilingi milioni 470, zilizotolewa na serikali kujenga shule mpya ya Sekondari Mwanduitinje, iliyopo jimbo la kisesa wila . . .
Tanzania imechaguliwa kuwa Mjumbe wa Akiba wa Kamati Kuu upande wa Kamati ya Wanyamapori na mjumbe wa Kamati ya Mimea kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kwa nchi Wanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa Bia . . .
Waziri wa ulinzi wa Poland, Mariusz Blaszczak ameiomba Ujerumani kuusafirisha kwenda Ukraine, mfumo wa ulinzi wa makombora aina ya Patriot uliokusudiwa kwenda Poland, ili kusaidia ulinzi dhidi ya . . .
Shirika la Mazingira la Umoja wa Ulaya (EEA) limesema Takriban watu 238,000 katika Umoja wa Ulaya walikufa mapema katika mwaka 2020 kutokana na athari ya uchafuzi wa hewa licha ya uboreshaji wa he . . .
eshi la magereza nchini Afrika Kusini limesema litapinga uamuzi wa mahakama uliomrudisha rais wa zamani Jacob Zuma jela. “Baada ya kuchunguza hukumu hiyo kwa makini, Huduma za Marekebisho ina uha . . .
Papa Francis alifuta uongozi mzima wa shirika la Misaada la Kanisa Katoliki kote duniani kufuatia tuhuma za unyanyasaji na udhalilishaji wa wafanyakazi.Katika uamuzi wake, kiongozi huyo wa Kanis . . .
Mkutano wa marais wa nchi za kikanda unafanyika leo katika mji mkuu wa Angola, Luanda katika juhudi za kutafuta ufumbuzi wa ghasia za umwagaji damu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. . . .
Mahakama ya Juu ya Marekani Jumanne iliidhinisha kutolewa kwa nyaraka za kodi za rais wa zamani Donald Trump, kwa kamati ya Baraza la Wawakilishi, hatua ambayo inaashiria kushindwa kwa mwa . . .
Mwanaume mmoja kutoka nchini Uganda ambaye ana wake 12 na watoto 102 anaomba msaada wa kukimu familia yake akitaja hali ngumu ya maisha kutoka na uchumi. Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/fa . . .
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imeendelea kuboresha majinjio ya kisasa pamoja na kuhakikisha ‘madampo’ makuu yanakuwa masafi lengo likiwa ni kuendelea kushika nafasi ya juu au ya kw . . .
Mfalme Charles wa III amemkaribisha kwenye kasri ya Buckingham rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa anayefanya ziara rasmi ya siku mbili nchini Uingereza. Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha biasha . . .
Idadi ya mbegu za kiume duniani kote inapungua kwa kasi ya kiwango cha asilimia 50 katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, utafiti mpya umebaini. Utafiti huo umeonyesha kwa mwaka 2018 mwana . . .
Rais wa Kenya William Ruto amesema leo kuwa wanajeshi wa jumuiya ya Afrika Mashariki “watahakikisha uwepo wa amani” mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambayo inakabiliwa na masham . . .
Canada inaweka dau kubwa juu ya uhamiaji ili kujaza pengo katika uchumi wake lililoachwa na watu wanaozeeka wanaoacha kazi - lakini sio kila mtu yuko tayari kuleta watu wengi kutoka ng'ambo.Mape . . .
Mahakama ya rufaa nchini Afrika Kusini imesema msamaha uliotolewa kwa rais wa zamani Jacob Zuma, wa kuachiwa kwa ajili ya matibabu ulikuwa kinyume cha sheria, na kwamba Zuma anatakiwa kurudishwa j . . .
Vijana zaidi ya mia mbili jijini Mwanza wamepewa mafunzo ya kuhamasisha jamii kupanda na kutunza miti ikiwa ni lengo kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kutunza mazingira. . . .
Rais mtaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta na Rais wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana kuhusu haja waasi wa M23 kukomesha vita na kuondoka maeneo walioteka mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo . . .
Mwanafunzi mkongwe zaidi duniani wa shule ya msingi, Priscilla Sitieni, ambaye hamu yake ya kupata elimu akiwa katika umri wa zaidi ya miaka 90 iliwavutia watengeneza filamu wa Kifaransa na kupa . . .
CHAMA cha Uhifadhi na Uwindaji Tanzania (CHATA,) kimeiomba Serikali kutoa leseni za umiliki wa silaha kwa wanaopata mafunzo na kutunukiwa vyeti ili waweze kutumia silaha hizo kwa umahiri zaidi bila ku . . .
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU) Francis Atwoli amechaguliwa tena kwa mara ya nne nne kuwa Naibu wa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Duniani (ITUC). Atwoli alichaguli . . .
Twitter imewaambia wafanyakazi wake kwamba majengo ya ofisi ya kampuni hiyo yatafungwa kwa muda, na zoezi hilo kuanza mara moja.Katika ujumbe ulioonekana na wafanyakazi waliambiwa kuwa ofisi hizo zita . . .
Mahakama nchini Uholanzi, Alhamisi, iliwatia hatiani wanaume watatu bila kuwepo mahakamani kwa mauaji ya halaiki kwa jukumu lao katika kuangusha ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH17.Ndege hiyo i . . .
Serikali imetakiwa sasa kuzitazama upya na kuzifanyia maboresho sheria za biashara na uwekezaji kufuatia sasa kufurika kwa wawekezaji wengi kwenye sekta mbalimbali ambapo wengine wanakwama kufanya uwe . . .
Mamlaka ya Kudhibiti Ukame ya Kitaifa ya Kenya (NDMA) imesema katika chapisho lake jipya lkwamba idadi ya Wakenya wanaokabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula imefikia milioni 4.35, na msimu mfupi wa mvua . . .
Adnan Oktar, aliongoza vipindi vya televisheni akionekana kuzungukwa na wanawake waliojipodoa sana na wakiwa wamevaa nguo ambazo hazikuwa zikiwastiri vyema, huku akionekana kuhubiri kuhusu maadili ya . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua Dk Sharifa Omar Salim kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Ununuzi na Uondoshaji wa Mali za Umma.Taarifa iliyotol . . .
Ivory Coast itaondoa taratibu vikosi vyake na polisi kutoka tume ya Umoja wa Mataifa inayolinda Amani katika taifa jirani la Mali.Kwa mujibu wa barua ambayo imeonwa na shirika la habari la Reuters, un . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, katika kuhakikisha linakomesha matukio ya ajali kuelekea mwisho wa mwaka limeendelea kutoa elimu kwa madereva na kuwafungia leseni za udereva madereva watano (05) kwa m . . .
Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema jana kwamba hakuwa na taarifa kuhusu mlipuko uliotokea nchini Poland. Alipoulizwa swali na shirika la habari la Reuters kuhusu mlipuko huo, Peskov ali . . .
. . .