Jaji mmoja nchini Marekani ameitupilia mbali kesi dhidi ya Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuhusiana na mauaji ya mwaka wa 2018 ya mwandishi habari Jamal Khashoggi. Jaji John Bates . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa mataifa yanayoshiriki kwenye Kongamano la Umoja wa Mataifa la Bayoanuai - COP 15 nchini Canada kushiriki katika jukumu la dharura l . . .
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema inafanya mapitio ya sheria ya Elimu ili kuhakikisha adhabu kali zinatolewa kwa wanaoshiriki kufanya vitendo vya udanganyifu katika Mitihani ya Kitaifa. . . .
Shehena ya kwanza ya nafaka, ikiwa sehemu ya jitihada ya binafsi ya Ukraine kwa kusambaza kwa mataifa yenye uhataji imewasili nchini nchini Djibouti ikiwa tayari kwa ajili ya kwenda katika taifa jiran . . .
Kamati kuu ya chama tawala ANC imekutana kwa majadiliano yatakayoamua kuhusu hatma ya rais Cyril Ramaphosa anayeandamwa kwa tuhuma za rushwa Viongozi wa ngazi za juu ndani ya chama tawala nchini Afri . . .
Baadhi ya madaktari nchini Uganda wakiongozwa na rais wa Chama cha Madaktari nchini humo, Dkt. Odongo Oledo wamepiga magoti mbele ya Rais Yoweri Museveni wakimuomba agombee Urais kwa muhula wa saba mw . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima ametoa rai kwa benki ya NMB kuendelea kuchangia maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi nchini kupitia huduma za kifedha wanazotoa.Akizungumza na Viongozi na Mamene . . .
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA) kuhakikisha linatumia Ardhi ya Gereza la Isupilo Wilayani Mufindi Mkoani Iringa pamoja . . .
Waumini wa kanisa la EAGT jimbo la Mwanza kusini wamekumbwa na taharuki baada ya kukuta kanisa lao limebadilishwa jina bila wao kujua hali iliyozua mzozo katika kanisa hilo na kusababisha shughuli zot . . .
Omar Bin Laden mtoto wa Osama Bin Laden ametoa taarifa za kushangaza kumhusu baba yake.Omar Bin Laden amezungumza na gazeti la The Sun, na kuthibitisha kwamba kuna baadhi ya mambo ambayo baba yake ali . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema hana nia ya kujiuzulu na kwamba ataendelea kupambania mamlaka yake na ataipinga ripoti ya bunge mahakamani. Kwa mujibu wa msemaji wake rais huyo anay . . .
Watu 57 waliokuwa wanashikiliwa mateka na kundi la waasi la Allied Democratic Forces-ADF mashariki mwa Kongo wamekutanishwa na familia zao jana Jumamosi. Miongoni mwao wanawake waliokuwa wakitumiwa ka . . .
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres amesifu hatua ya kusitisha vita katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, wakati wa ziara yake ya kwanza tangu vita kati ya wanajeshi na wapiganaji wa Tig . . .
WATU watatu wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea mapema hii leo mkoani Mwanza maeneo ya Mataa Nyakato - sokoni. Tukio lililohusisha lori lililokuwa limebeba matofali kufeli breki wakati wa kushuka ku . . .
Marekani, Japan na Korea Kusini zimeweka vikwazo vipya kwa watu binafsi na mashirika ya Korea Kaskazini kujibu majaribio ya makombora ya hivi karibuni nchini humo. Hatua za Marekani zilizotangazwa jan . . .
Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Makongoro Nyerere amewatuhumu Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Pauline Gekul na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Abdulrahaman Kololi kwa kuchochea migogoro ya ar . . .
WIZARA ya afya nchini Uganda imesema raia wa Uganda 46 hufariki kila siku kutokana na ugonjwa wa Ukimwi. Kufuatia tangazo hilo, bunge limeiomba serikali kuanzisha upya kampeni kali za uhamasisho kuhu . . .
Wawakilishi wa makundi ya waasi 53 yanayopigana mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanahudhuria mazungumzo ya amani yanayoendelea Nairobi Kenya. Mjumbe wa amani kwa ajili ya Jamhuri . . .
Hayo yamebainishwa hii leo Desemba Mosi, 2022, jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Ramadhani Amasi."Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limefuta matokeo yote ya watahiniwa . . .
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za Manispaa na Wilaya ya Iringa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao . . .
Leo Disemba mosi ni maadhimisho ya siku ya kupambana na UKIMWI Duniani. Shirika la Afya Duniani, WHO pamoja na ofisi ya shirika hilo katika Umoja wa Ulaya yamesema kuwa watu zaidi wanaishi na virusi v . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ameungana na vijana wa mkoa wa Lindi kufanya usafi maeneo mbalimbali ya mkoa huo ikiwa ni maandalizi ya kumpokea Rais Samia Suluhu H . . .
Asilimia 95 ya wakimbizi na waomba hifadhi wa nchi ya Burundi wanohifadhiwa katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu Kasulu mkoani Kigoma, wamegoma kurejea nchini mwao kwa kile wanachodai bado hali y . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono wawekezaji ili kuhakikisha uwekezaji wao haukwami bali unakua na k . . .
MILA na desturi na ukosefu wa elimu vimetajwa kuwa sababu ya kuwepo kwavitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii kwa watoto ikiwa ni pamoja nakuendelea kuwepo kwa vitendo vya ukeketaji kwa watoto w . . .
Indonesia imeanza kutoa chanjo dhidi ya polio katika mikoa yenye watu wenye sera za kihafidhina, baada ya watu wanne kugunduliwa kuambukizwa ugonjwa huo hatari na uliotangazwa kwamba umetokomezwa kote . . .
Watu wanne wakiwemo viongozi wa Kijiji cha Shishani, Kata ya Shishani, Magu mkoani Mwanza, wanashikiliwa na polisi wilayani humo kwa tuhuma za wizi wa mabati 60 pamoja na vigae vilivyonunuliwa na seri . . .
Wanasheria nchini Chad wameapa kususia kazi leo, wakati itakapoanza kesi ya halaiki inayohusisha watu zaidi ya 400 waliokamatwa katika maandamano yenye ghasia ya kuipinga serikali. Kulingana na takwi . . .
Leo jumanne ni siku ya kimataifa ya umja wa mataifa ya mshikamano na watu wa Palestina.Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres alisema kuwa" tuko imara katika dhamira yetu ya kutimiza maono y . . .
China imelegeza taratibu za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona kwenye baadhi ya maeneo lakini imesisitiza kwamba itasonga mbele na sera yake inayolenga shabaha ya kuzuia maambukizi yote. China . . .