logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

RIDHIWANI"SERIKALI INAENDELEA KUVALIA NJUGA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI ILI KULINDA AMANI"

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais dkt.Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia utatuzi wa migogoro mbalimbali ya ardhi ili kulinda Amani, Usalama  na Utulivu ndani ya jamii.Hayo yamesemwa n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Wabunge wa Ubelgiji washindwa kuafikiana namna ya kuomba msamaha dhidi y audhalimu wa kikoloni

Wabunge nchini Ubelgiji wameshindwa kuafikiana namna bora ya kupata maridhiano dhidi ya udhalimu wa enzi ya ukoloni baada ya Uholanzi kuomba radhi kwa niaba ya serikali yake kutokana na dhima yake kat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Wanajeshi wa Uingereza kuchukua nafasi ya wafanyakazi wanaogoma

Uingereza Jumapili imesema kwamba itatuma wanajeshi 1,200 kuchukua nafasi ya madereva wa magari ya kubeba wagonjwa  pamoja na maafisa wa mpakani, wakati kunza kwa mgomo wa  wafanyakazi kutok . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Elon Musk Awaomba Watumiaji Wa Twitter Kuamua Mustakabali Wa Uongozi Wake

Mmiliki wa Twitter Elon Musk anawaomba watumiaji wa mtandao huo wa kijamii kupiga kura kuhusu mustakabali wake kama afisa mkuu mtendaji wake.Katika kura ya maoni kwa watu milioni 122, kwa watu wanaoni . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • December 18, 2022

Papa asema alisaini barua ya kustaafu iwapo afya ingezorota

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amefichua kwa mara ya kwanza kuwa alisaini barua ya kustaafu karibu muongo mmoja uliopita, iwapo afya yake itakuwa mbaya na kumzuia kuendelea na majuku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 18, 2022

Waandamana kupinga ugumu wa maisha Liberia

Watu zaidi ya alfu moja nchini Liberia walishiriki katika maandamano kupinga ugumu wa maisha. Watu hao pia wanapinga rais wao George Weah kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu. Maandamano ya mara kwa mar . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 18, 2022

Drake Noma, Abet Bilioni 2.3 za Kitanzania Argentina Ishinde Kombe la Dunia Leo

Drake Ameweka Dola Milion 1 Sawa La Bilion 2.33 Za Kitanzania Kwa Argentina Ishinde Leo Kwenye Fainal Za Kombe La Dunia. Ila Kuna Hofu Kwa Mara Kadhaa Ambazo Drake Amekua Akibet Kwaajili Ya Timu Flan . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Elon Musk amshtaki mteja wake Twitter kwa kufuatilia Ndege yake binafsi

Elon Musk ametangaza kuwa anamshtaki mmiliki wa akaunti ya Twitter inayofuatilia ndege yake ya kibinafsi. Musk alisema vitendo hivyo vilimweka mtoto wake hatarini.Akauti ya @ElonJet ambayo ina wafuasi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Dkt Jafo"Maji yamepungua ndiyo maana kuna mgao"

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo, amezindua josho la kuogeshea mifugo katika Kijiji cha Irkujit wilayani Simanjiro mkoani Manyara ambalo limejengwa kupit . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Sheikh wa Nigeria ahukumiwa kunyongwa kwa kukufuru

Mahakama ya Sheria katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria, imemhukumu kifo mhubiri mashuhuri wa Kiislamu kwa kumnyonga, baada ya kumkuta na hatia ya kumkufuru mtume Muhammad pamoja na uchochezi k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA NKANSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkansi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa Disemba 14, 2022. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga na kulia ni N . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Mkutano kuhusu madeni ya Afrika umefanyika China

Mivutano ya muda mrefu kati ya wakopeshaji wakubwa wa kimataifa na China ilidhihirika katika mkutano uliofanyika katika jimbo la Anhui nchini China, ambapo washiriki walitaka makubaliano kuhusu hali y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Peru yatangaza siku 30 za hali ya hatari

Serikali ya Peru imetangaza siku 30 za hali ya hatari nchi nzima. Katika tangazo hilo la jana, Waziri wa Ulinzi Alberto Otarola alisema haki ya kukusanyika, kutoingiliwa majumbani na uhuru wa kutembea . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Biden asema Marekani imejitolea kwa kila hali kwa Afrika

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupoteza pambano lake nchini Uingereza.Mchengerwa amesema wamekuw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Shirika la ndege la Morocco Lafuta Safari zote za Qatar

Shirika la ndege la Morocco limesema linafuta safari zote lililokuwa limepanga kwa leo kuwasafirisha mashabiki kwenda Doha kuhudhuria mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia.Royal Air Maroc limetaja u . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Mwili wa mwanafunzi kutoka Zambia aliyekufa akipigania Russia nchini Ukraine umerudishwa nyumbani

Mwili wa Lemekani Nyirenda, ambaye alikuwa anasomea uhandisi kuhusu nyuklia, nchini Russia kabla ya kujiunga na jeshi, umefikishwa nyumbani na kupokelewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

WAZIRI MKUU AWATAKA WATUMISHI MLELE WAHAMIE KWENYE NYUMBA ZA SERIKALI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa Halmashauri hiyo. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Wabunge wa Ulaya wamvua Eva Kaili umakamu rais

Makamu Rais wa Bunge la Ulaya, Mgiriki Eva Kaili, ameondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya tuhuma za kupokea rushwa.  Bunge lilipiga kura hapo jana asubuhi ya kumuondowa Kaili kutoka nafasi yake y . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Raila na Ruto kukutana leo katika kongamano la viongozi wa Afrika na Amerika

RAIS William Ruto leo Jumanne atakutana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga, nchini Amerika wanapohudhuria Kongamano la Amerika la Viongozi wa Afrika linaloanza leo jijini Washin . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Rais Samia ashiriki mkutano wa AGRA

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya kilimo katika mkutano wa AGRA uliofanyika kwenye ofisi za taasisi ya Bill na Melinda Gates jijini Washington, Marekani. . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 11, 2022

Chanjo ya majaribio ya Ebola yawasili Uganda

Chanjo ya virusi vya Ebola aina ya Sudan ni moja kati ya chanjo tatu zilizopendekezwa kufanyiwa majaribio na jopo huru la wataalamu wa WHO. Shirika la afya duniani (WHO) limesema kuwasili k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2022

Makamu wa rais wa bunge la Ulaya avuliwa madaraka

Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Eva Kaili amevuliwa madaraka yake kufuatia kuhusishwa kwake na uchunguzi wa ufisadi na utakatishaji fedha nchini Ubelgiji.Kaili, ambaye anawakilisha Ugiriki, alika . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 9, 2022

Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa Ataja watu wanane Atakao kwenda nao Kwenye Safari ya Kwenda Mwezini

Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa amewataja watu wanane wenye bahati ya mtende atakao kwenda nao kwenye safari ya kwenda mwezini kwa kutumia chombo cha SpaceX Starship ya Elon Musk mwaka ujao bure bila . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • December 9, 2022

Watu 10 wauwawa na wanamgambo Burkina Faso

Takriban watu 10 wengi wao wakiwa wa kujitolea kuvisaidia vikosi vya serikali wameuwawa kwenye mashambulizi mapya kaskazini mwa Burkina Faso. Mashambulizi hayo yanashukiwa kutekelezwa na wanamg . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 9, 2022

Kipindupindu DRC, watu 256 walazwa

Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Alhamisi wameonya kuhusu janga la afya kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya kipindupindu kwenye kambi za muda za wakimbizi. Madkatari wasi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 9, 2022

Rais Aliyeondolewa Madarakani Awekwa Kizuizini

Rais aliyeondolewa madarakani na Bunge nchini Peru, Pedro Castillo amewekwa chini ya kizuizi cha muda siku moja baada ya kuvuliwa wadhifa wake na bunge la nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya uasi na kuvun . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 9, 2022

Marekani na Urusi Wabadilishana Wafungwa

Urusi leo imemuachia huru mchezaji nyota wa mpira wa kikapu kwa wanawake raia wa Marekani Brittney Griner.Maafisa wa Urusi na Marekani wamesema Griner ameachiwa katika hatua ya ngazi ya juu ya ubadili . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • December 8, 2022

Dubai yazidi kuboreshwa Vivutio Vya Utalii

Tarehe 2,disemba 2022 ilikua ni siku rasmi ambayo umoja wa falme za kiarabu wamesherehekea siku ya taifa kwa mara ya 51 na wanaalika watu wote duniani kushiriki katika sherehe hizo mpaka leo hii. Dub . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 8, 2022

SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA SAHARAWI BRAHIM GHALI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya ramani ya Bara la Afrika kutoka kwa Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya mazungumzo yao katika . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 7, 2022

Mtoto Wa Museveni Sasa Asema Hataki Tena Kuwa Rais wa Uganda

Mtoto Rais wa Uganda Yoweri Museveni - Jenerali Muhoozi Kainerugaba - sasa anasema kuwa hana haja yoyote ya kuwa rais wa nchini hiyo. Licha ya kushiria mara kadhaa na hata kusema kuwa angependa k . . .

Kurasa 88 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • 7 masaa yaliopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 7 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 7 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode