SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA SAHARAWI BRAHIM GHALI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya ramani ya Bara la Afrika kutoka kwa Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya mazungumzo yao katika Ofisi za ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii