NGUO ZA MITUMBA ZAPIGWA MARUFUKU KENYA

Waziri wa Biashara Moses Kuria wa nchini kenye ametangaza kupiga marufuku mavazi ya nguo za mitumba hivi.


Akiongea katika hafla ya Changamka ambayo  katika ukumbi wa KICC, Kuria alisema serikali inatafuta njia mbadala ya Wakenya kupata mavazi.


"Nitashirikiana na sekta ya ushonaji wa nguo kuhakikisha kuwa tunapata mavazi ya bei ya chini kwenye soko na kisha tutapiga mitumba marufuku tukiwapa Wakenya njia mbadala," alisema Kuria.Msimamo wa Kuria baada ya kuingia serikalini unaonekana kubadilika kwani hapo awali alikuwa mwanaharakati wa kutetea wauza mitumba.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii