logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 29, 2022

Venezuela na Colombia warudisha mahusiano kamili ya kidplomasia

Colombia na Venezuela wamerudisha tena mahusiano kamili ya kidplomasia, miaka mitatu baada ya Venezuela kukata uhusiano huo kufuatia hatua ya Colombia kumuunga mkono kiongozi wa upinzani Juan Guaido. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 29, 2022

Zaidi ya watu 10 wauawa mashariki mwa DRC

Machafuko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika siku tatu, vyanzo vya kijeshi na vya eneo hilo vimesema Jumapili.Zaidi ya makundi ya wanamgam . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • August 29, 2022

Papa Francis Ateua Makardinali Watakaoshiriki Kumteua Mrithi wa Kiti Chake

BABA Mtakatifu na mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis (85) amewateua maaskofu 20 na kuwatawaza kuwa makaldinali watakaoongezeka kwenye jopo litakaloshiriki  kumteua mrithi wa kiti chake. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 29, 2022

Pembe ya Afrika kukosa mvua kwa mwaka wa tano mfululizo

Ukame wa kutisha unaoikumba Pembe ya Afrika, mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40, huenda ukawa mbaya zaidi, kulingana na uchambuzi wa hivi punde kutoka kituo cha utabiri wa hali ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 29, 2022

Wahesabiwa ambao bado wapewa mwongozo

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu Agosti 29, 2022 saa 2 asubuhi. Makinda amesema hayo jiji . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2022

WAWEKEZAJI WAZAWA WAHIMIZWA KUWEKEZA SEKTA YA MIFUGO

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewahimiza wawekeza kutoka Sekta binafsi nchini kuwekeza katika sekta ya mifugo kwa sababu kuna fursa kubwa ya kukuza mitaji yao na kupata faida.Alitoa wito . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2022

SERIKALI YATANGAZA OPARESHENI YA MIFUKO YA PLASITI

Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imesema kuanzia Jumatatu Agosti 29, 2022 itafanya oparesheni ya kutokomeza mifuko ya plastiki nchini.Akizungumza na Waandishi wa habari leo Agosti 26, 20 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2022

Kina Mdee watua mahakamani

Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanac . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2022

Vladimir Putin atia saini agizo la kuongeza idadi ya wanajeshi wa Urusi

Vladimir Putin alitia saini siku ya Alhamisi agizo la kuongeza idadi ya wanajeshi katika jeshi la Urusi kwa 10% mnamo Januari 1, 2023. Tangazo kali ambalo linakuja katikati ya mzozo wa Ukraine, na wak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Zaidi ya vijana wadogo 2,000 waliondoka nchini mwao na kuelekea Italy.

Zaidi ya vijana wadogo 2,000 wa Tunisia walivuka bahari ya Mediterania mwaka huu kutoka katika taifa lao la kaskazini mwa Afrika kuelekea Italy kutafuta maisha bora, shirika la kutetea haki za binadam . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

OFISA WA TRC AFUKUZWA KAZI

Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

WAPANGAJI KULIPA ASILIMIA 10 YA KODI YA TRA.

Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango.Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Magavana Wapya Wanarithi Madeni Na Mzigo Mkubwa Wa Mishahara

Madeni, bajeti kubwa ya mishahara, miradi iliyokwama na migomo ya wafanyakazi ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili magavana 37 wapya wanaoingia afisini leo Alhamisi, Agosti 25, 2022.Hawa ni miong . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Ahukumiwa Miaka 5 Jela kwa Kujifanya Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa.

Mahakama ya Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imemhukumu Raymond Bwire (28) kifungo cha miaka mitano jela kwa kujifanya mkurugenzi mkuu idara ya usalama wa taifa. Hakimu mkazi wa wilaya Mlele . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Taliban wasema hawajaupata miwili wa kiongozi wa alQaeda.

Msemaji wa kundi la Taliban Zabihullah Mujahid amesema leo kuwa bado hawajaupata mwili wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda Ayman al-Zawahiri na wanaendelea na uchunguzi. Marekani i . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Karani Aliyetoweka na Laki Sita za Sensa .

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa.Mtuh . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Rais wa Somalia "nitatokomeza kundi la al shabab.

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud Jumanne ameahidi vita vikali kutokomeza kundi la Al Shabab katika taarifa yake ya kwanza kwa taifa tangu wanamgambo hao wa Kiislamu kufanya uvamizi mbaya wa saa 3 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Mkutano wa kilele wa matiafa matano ya Kiarabu kuanza leo

Serikali ya Misri imesema Rais wa taifa hilo, Abdel Fattah al-Sisi leo hii anakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa mataifa matano ya Kiarabu, mkutano ambao unatarajiwa kuiangazia vita ya Ukraine na a . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Kigogo Tume ya Uchaguzi Kenya afariki ghafla

Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla.Meneja . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Waandamanaji dhidi ya gharama kubwa ya maisha wataka Waziri Mkuu ajiuzulu

Waandamanaji dhidi ya gharama kubwa ya maisha wamevamia mitaa mbalimbali ya miji ya Port-au-Prince, Les Cayes, Cap-Haitien na Gonaïves. Raia wengi walijitokeza barabarani siku ya Jumatatu, kushutumu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe, Mama Mariam Mwinyi Washiriki Zoezi la Sensa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi leo Agosti 24, 2022 wameshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi 2022 lililofanyika nyu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Vipimo vyaonyesha waziri mkuu wa Finland hakutumia dawa za kulevya

Waziri mkuu wa Finland Sanna Marin hakuonekana kama alitumia dawa za kulevya katika kipimo cha matumizi ya dawa hizo alichofanya kufuatia kusambazwa mitandoni kwa kanda za video zikimuonyesha akishere . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

MSUMBIJI WAPEWA MSAADA WA DOLA 300 NA BENKI YA DUNIA

Benki ya dunia Jumatatu imetoa msaada wa dola milioni 300 kwa Msumbiji, kuashiria kurejea kwake nchini humo miaka sita baada ya kusitisha msaada wake wa kifedha kufuatia kashfa ya deni iliyofichwa.Waz . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

SHEKH WA MKOA WA MWANZA AOMBA MADRASA ZOTE MKOANI MWANZA KUFUNGWA .

Shekh wa mkoa  wa mwanza shekh Hasani Kabeke katika hatua za mwisho leo taehe 22- 8- 2022 amehamasisha sensa na kutoa maelekezo kwa ofisi za bakwata  na madrasa zote zilizopo mkoani mwanza&n . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Polisi yamfungulia mashtaka ya ugaidi Imran Khan,Pakistan

ISLAMABAD Polisi nchini Pakistan wamemfungulia mashitaka ya ugaidi waziri mkuu wa zamani Imran Khan na kusababisha kuuongeza mvutano wa kisiasa katika nchi hiyo. Hayo yameelezwa hii leo na maafisa nch . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Vifo vya saratani vinasababishwa na Namna Watu Wanavyoishi.

Utafiti mpya umehitimisha kwamba maradhi ya saratani yanaweza kuzuilika kwa kudhibiti visababishi vya maradhi hayo kama matumizi ya tumbaku na pombe pamoja na uzito mkubwa wa mwili. Utafiti huu ni kul . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

WAKENYA WAKUMBWA NA UKAME

Takriban Wakenya milioni moja kutoka maeneo kame wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na ukame wa muda mrefu ambao umeathiri shughuli za kilimo.Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Ukame (NDMA) jana . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Rais Samia amteua Profesa Mwandosya Mwenyekiti wa Bodi Ewura

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Mark Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na maji (Ewura)akichukuwa nafasi ya Profesa Jamidu Hazzam am . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

IGP Wambura apewa maagizo haya na Makamu wa Rais Dkt. Mpango

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, amemuagiza IGP Camillius Wambura, kuangazia malalamiko yote yanayotolewa na wananchi kwa jeshi la polisi na kuwachukulia hatua askari wachache wanaoharibu taswira ya . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Mwanamke mmoja akabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa 'mavazi ya aibu'

Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa nchini Rwanda kwa shutuma za kuvaa mavazi ya aibu anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela, waendesha mashtaka wamesema Alhamisi.Liliane Mugabeka . . .

Kurasa 97 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 11 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 11 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 14 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode