Takriban Watu sita wamefariki dunia na wengine 49 kujeruhiwa kufuatia kutokea kwa ajali iliyohusisha Lori na Basi la abiria katika eneo la Chigongwe llililopo jijini Dodoma.Ajalinhiyo, imetokea Machi . . .
Hamas wamekabidhi miili ya mateka wanne wa Israeli mapema siku ya Alhamisi, baada ya wafungwa wa Kipalestina ambao wamekuwa wakizuiwa magereza ya Israeli kuachiwa na kupelekwa kwenye ukanda wa Gaza.Of . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemhukumu Khamis Luwoga (45) adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, Naomi Marijani, kisha kuchoma mwili wake kwa kutumia magun . . .
Hali bado ni ya wasiwasi nchini Haiti kutokana na ghasia za magenge. Afisa wa polisi wa Kenya aliyetumwa Haiti, aliyejeruhiwa wakati wa operesheni, alifariki kwa majeraha siku ya Jumapili, Februari 23 . . .
Wanawake wawili wanauguza majeraha kutokana kisa cha kupigwa na mchungaji katika Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet. Waathiriwa, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30), wa . . .
POLO aliyepokezwa hela za mazishi na mwanasiasa hapa Chepalungu, Kaunti ya Bomet, alihepa nazo akisema zilikuwa zake.Duru zinaarifu kuwa polo ni mfuasi sugu wa kigogo huyo wa siasa.Juzi familia yake i . . .
Msiba umekumba kijiji cha Kanyamelo huko Bondo baada ya wanafamilia wawili kufariki na wengine watatu kulazwa hospitalini kufuatia kisa kinachoshukiwa kuwa na sumu kwenye chakula. Chifu wa eneo h . . .
Mahakama ya Wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kwenda jela miaka mitatu Mkazi wa Kijiji cha Soswa wilayani humo, Amos John Malaki (30) baada ya kukutwa na hatia ya kuwajeruhi watu wawili kwa ku . . .
Wanamgambo wa Sudan wamewaua zaidi ya watu 200 wakiwemo wanawake na watoto, katika shambulio la siku tatu kwenye vijiji vya kusini mwa nchi hiyo, kundi la wanasheria linalofuatilia vita nchini humo li . . .
Waasi wa M23 sasa wako katika maeneo mawili y mko wa Kivu Kusini, ambayo ni maeneo ya Kalehe na Kabare, ambapo sasa wanakalia eneo la Kabamba na jiji la Katana. Maeneo muhimu yaliyo umbali wa kilomita . . .
Afisa wa kliniki katika hospitali ya Pandya amesimamishwa kazi kufuatia madai ya kusikitisha ya unyanyasaji wa kingono yanayohusisha mgonjwa wa figo. Mshukiwa huyo aliyetambulika kwa jina la Dias . . .
"Sisi kama Serikali tumeshachukua hatua kali kupitia TCRA na utakuwa pia shahidi kuwa wimbi la meseji limepungua kwa kiasi fulani, ilikuwa balaa zaidi ya ambavyo ipo sasa TCRA inaendelea na namna mbal . . .
Wanawake wawili waliovunja rekodi za dunia kwa urefu na ufupi wao hivi karibuni walikutana kwa mara ya kwanza jijini London, Uingereza, na kutumia nafasi hiyo kuwahamasisha watu kote ulimwenguni kushe . . .
Kutokana na machafuko yanayoendelea nchini Congo na jitihada za waasi wa kundi la M23 kupambana kuuchukua mji wa Goma, madereva wa magari makubwa ya mizigo(Malori) ambao ni watanzania wamekwama katika . . .
Mmiliki wa timu za Alliance FC na Alliance Girls za Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili (Januari 26, 2025) wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bu . . .
Habari zilizotufikia hii leo Januari 24, 2025 zimeeleza kuwa presha waliyokuwa nayo familia ya wanandoa Sosthenesi Melkizedeki Mrema na Joana Melkizedeki, wakazi wa eneo la Galagaza wilayani Kibaha ka . . .
Mamlaka za California Jumatano zimetoa amri ya watu kuondoka kwenye maeneo ya ndani baada ya moto mpya kuzuka ukiwa na upepo mkali kwenye milima iliyopo kasakzini mwa Los Angeles.Moto huo wa Hug . . .
Mkazi wa kijiji cha Chonga, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Lillian Ismail, mwenye umri wa miaka 21, amejifungua mtoto wa kiume akiwa na vichwa viwili. Tukio hilo limeacha jamii ya kijiji hicho katika ms . . .
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Rehema Jeremia Menda amesema hawakubaini mara moja chanzo cha moto uliozuka katikati mwa jiji la Dodoma hii leo Januari 21, 2025.M . . .
Wachunguzi wa ajali ya Ndege ya Jeju Air aina ya Boeing 737-800, iliyotokea mwezi uliopita Korea Kusini na kusababisha vifo vya Watu 179, wamebaini uwepo wa manyoya na damu za ndege (wanyama) kwenye i . . .
Wanakijiji 11 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni, leo Januari 14, 2025 wamefariki dunia na kujeruhi wengine 11 kwa kugongwa na lori lenye namba za usajil . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limefanikiwa kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani Watuhumiwa wawili ambao ni Mapacha, Danford Steven Seif (24) na Daniel Steven Seif (24) wote Wakulima na Wakazi wa Mraus . . .
Watu tisa, wakiwemo maafisa wa polisi wanane na dereva mmoja, wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotekelezwa na waasi wa Mao katika wilaya ya Bijapur, jimbo la Chhattisgarh, India. Tukio hilo lilitokea . . .
Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea siku ya Jumanne katika eneo la Himalaya la Tibet, kusini-magharibi mwa China, limesababisha vifo vya watu wasiopungua 53 na kusababisha kuporomoka kwa "majengo meng . . .