Kilichoanza kama kisa cha tahadhari kilizidi haraka kuwa kimbunga cha matatizo, kwani Sharon Auma na rafiki yake Nancy Atieno Obura walijikuta kwenye kina kirefu kuliko walivyowahi kufikiria.Hii ni ba . . .
Wapatanishi toka nchi ya Qatar na Misri, wamekabidhi mapendekezo mapya ya Israel ya usitishaji wa mapigano huko Gaza kwa kundi la Hamas, mapendekezo ambayo hata hivyo afisa mmoja wa Hamas amesema kuna . . .
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limetuhumu serikali ya Ethiopia kwa kuwafurusha kwa nguvu raia wake katika makaazi yao ili kupisha mradi wa serikali wa kupanua . . .
Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, imemhukumu Malimo Mathias Nguno maarufu kama Gohe (41), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 13 amb . . .
DAKTARI wa masuala ya urembo anayeshtakiwa kumuua mwanamke aliyemfanyia upasuaji kumjengea makalio manene amenyimwa dhamana na Mahakama ya Kibra.Hakimu mwandamizi Bw Samson Temu aliamuru Dkt Robert Ma . . .
Watu 30 wameuawa katika eneo la Ruweng, Kaskazini mwa Sudan Kusini, baada ya kushambuliwa na vijana waliokuwa wamejihami kwa silaha.Mauaji haya yameripotiwa kutokea baada ya mzozo kati ya wafugaj . . .
Waliodai kubadilishiwa mtoto waangua kilio baada ya majibu ya DNAHatimaye majibu ya vinasaba (DNA) ya watoto watatu waliozaliwa Machi 24, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha (Mount Meru) . . .
Watu nane wamefariki Dunia na wengine thelathini na moja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa J . . .
Miili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare waliofariki kwa ajali ya gari wilayani Same mkoani Kilimanjaro itazikwa leo Jumata . . .
Miili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare waliofariki kwa ajali ya gari wilayani Same mkoani Kilimanjaro itazikwa leo Jumata . . .
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) hapo jana Alhamisi lilitoa wito kwa watawala wa kijeshi wa Burkina Faso kuwaachilia huru waandishi watatu waliokamatwa wiki hii ambao wa . . .
Stephen Munyakho, Mkenya aliyepatikana na hatia ya mauaji nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kurejea Kenya kufuatia kuingilia kati kwa Jumuiya ya Waislamu Ulimwenguni. Machi 25, wakati wa futari ka . . .
Taharuki imetanda kwa wakazi wa Mtaa wa Kasimba Kata ya Ilembo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, baada ya kuonekana mara kwa mara Nyoka aina ya Chatu katika makazi yao huku wakihofia usalama wao.Wakiz . . .
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa Daniel Chonchorio, Mkazi wa Nyakato jijini Mwanza anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha majira ya asubuhi siku alipotoka kuelekea . . .
Askari sita wa jeshi la Polisi la Kenya wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulio linaloaminika kufanywa na kundi la kigaidi la Al-Shabaab la Somalia katika kambi ya polisi iliyoko kweny . . .
Polisi mjini Naivasha wamemkamata mwanamume mmoja raia wa Uganda kwa madai ya kumuua mkewe katika eneo la Lwakhakha linalopakana na Kenya na Uganda.mshukiwa alimdunga kisu mkewe wa miaka 28 hadi akafa . . .
MAHAKAMA ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida imemhukumu kifungo cha maisha jela Barnaba Yohana Isaya (20), mkazi wa kiji cha Nselembwe, kata ya Sherui, Wilayani humo kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kium . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja (26), mkazi wa kijiji cha Kirwa, Wilaya ya Rombo, kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Rosemary Mathias (06), mwanafunzi wa darasa la kwanza k . . .
Mwanamke mmoja kutoka Connecticut, Kimberly Sullivan (56), amekamatwa baada ya kijana anayesemekana kuwa mtoto wake wa kambo kudai kuwa alimfungia ndani ya nyumba kwa zaidi ya miaka 20 na kumtesa. Kij . . .
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama Chief wa Kilulu, kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali ai . . .
Uchunguzi kuhusu kifo cha Gilbert Kinyua, mgonjwa anayedaiwa kuuawa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta, umekwama baada ya mshukiwa kuruhusiwa. Hali hiyo ni kikwazo kwa familia ya K . . .
Umoja wa Mataifa umesema Wapiganaji wa M23 wamewateka karibu Watu 130 kutoka Hospitali za Mji wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Goma unaodhibitiwa na Waasi.Umoja wa Mataifa umesema wik . . .
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Seleman Mwanamtwa (61), mkazi wa Morogoro ambaye ni dereva wa teksi, anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mteja wake, Ulumbi St . . .
Familia mashariki mwa DRC, Jumanne ya wiki hii zilizika wahanga wa shambulio lililoua takriban watu 13 huko Bukavu, huku jamaa waliokuwa na huzuni wakiisihi serikali kuhakikisha amani na usalama.Majen . . .