Jamaa mmoja jijini Dar es Salaam, Tanzania amejikuta pabaya baada ya mzigo wa mahindi aliokuwa ameiba kumkwama mabegani.Frank Japhet, 23, mkazi wa Mbezi, jijini Dar es Salaam, amelazimika kujisalimish . . .
Hali ya sintofahamu imetanda Friends School Womulalu katika Kaunti ya Vihiga baada ya mtahiniwa wa KCSE, aliyetambulika kama Snider Undisa, kuaga dunia kabla ya kukamilisha mtihani wake wa mwisho.&nbs . . .
Iran imetangaza hivi punse siku ya Jumapili Novelba 24, 2024 kwamba majadiliano juu ya mpango wake wa nyuklia yatafanyika katika siku zijazo na Ufaransa, Ujerumani na Uingereza, nchi tatu ambazo ziliw . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linamsaka Martin Hyera kwa kosa la kumuua mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa unyumba.Akithibitisha kutokea kwa . . .
MTAHINIWA wa Mitihani ya Kitaifa ya Shule ya Upili (KCSE) amefariki katika hali tatanishi katika Shule ya Upili ya Turkana Talent, Kaunti ya Turkana.Chanzo cha kifo cha John Ekalale kilichotokea Jumat . . .
Mapigano makali ya bunduki yalizuka Alhamisi jioni, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu wa idara ya ujasusi kwa mujibu wa shirika la habari la Reut . . .
Polisi na makundi ya kiraia ya kujilinda yamewauwa watu 28 wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge katika mji mkuu wa Haiti, Port au Prince katika operesheni ya usiku kucha, serikali imesema Jumanne, wakat . . .
Polisi katika kaunti ya Kiambu wanachunguza kisa ambapo mtoto mchanga aligunduliwa akiwa amelala kando ya mwili wa mama yake uliooza mnamo Jumapili, Novemba 17. Baba yake mtoto huyo pia alipatika . . .
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF John Masunga, amesema bado kuna mawasiliano kati ya Jeshi hilo na Watu walionasa chini ya jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo jijini Dar es s . . .
Mwanaume anayefahamika kwa jina la Hassan Ali anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Pasua mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia kwa kile kinachohisiwa kuwa ni kujinyonga kwa kamba za . . .
Polisi wanamzuilia kijana mmoja anayeshukiwa kuhusika katika mauaji ya ajuza wa miaka 78. Catherine Waceke alitoweka Jumamosi, Novemba 10, siku moja kabla ya mwili wake kugunduliwa ndani ya tanki . . .
Aliyekuwa Katibu wa chama cha mapinduzi wilayani Kilolo Mkoani Iringa Christina Kibiki amevamiwa na watu wasiojulikana na kuuwawa nyumbani kwake kwakupigwa risasi kifuani.Tukio hilo lakuvamiwa n . . .
Rais wa Guinea Ikweta, Obiang Nguema Mbasogo amemteua Zenon Avomo kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF).Zenon anachukua nafasi hiyo baada ya mtangulizi wake, Bal . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38), Dereva Bodaboda, Mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili Mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili . . .
Mwanamke mmoja kutoka Mji Mema, Songea, Tanzania, amejawa na huzuni baada ya mtoto wake kupotea akiwa kwenye sehemu yake eneo la kazi. Gabriella alikuwa akifanya kazi kwenye saluni yake Jumatatu, . . .
Mzozo kati ya wanasiasa wawili ulisababisha hali ya mtafaruku katika Bunge la Uganda, na kusababisha kusimamishwa kazi kwa wabunge 12. Kulingana na Monitor, pambano lilizuka kati ya Mbunge wa Man . . .
Watu takriban 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel mashariki mwa Lebanon siku ya Jumatano, kwa mujibu wa wizara ya afya ya Lebanon.Afisa wa Israel alisema mashambulizi hayo, yaliyofanyika . . .
Kijiji cha Ugenya, Kaunti ya Siaya, kimepigwa na mshangao kufuatia kifo cha watu wanne wa familia moja katika muda wa chini ya wiki mbili. Wanafamilia watatu, akiwemo mama, mwanawe na mumewe, wal . . .
KALAMENI alishangaza watu alipofichua kuwa alijifanya mgonjwa ili akutane na nesi mmoja amrushie mistari.Jamaa huyo anadai lengo lake lilikuwa kukutana na nesi huyo ili apate nafasi ya kumweleza . . .
Baada ya kukutana na mwanamke kwenye mtandao wa kijamii, Muhammed alimpenda sana na kuchukua hatua kubwa ya kuwatembelea wazazi wake na kulipa mahari.Hata hivyo, nia yake ya kumuoa mwanamke huyo ilivu . . .
Maombolezo ya kitaifa ya siku tatu yanaanza leo Alhamisi nchini Uhispania, nchi iliyokumbwa usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano na mafuriko mabaya zaidi tangu miaka ya 1980. Pedro Sanchez anatarajiwa ku . . .
Majaji walimtia hatiani kijana wa Indianapolis Raymond Ronald Lee Childs kwa kuua watu 6 wa Familia yake huku kukiwa na mzozo juu yake kuondoka nyumbani bila ruhusa.Raymond Ronald Lee Childs anashtaki . . .
Sherehe ya harusi iliyofanyika siku ya Jumamosi Oktoba 26 Nchini Cameroon imegeuka kuwa vilio na huzuni baada ya Bibi harusi anayejulikana kama Sorelle Manuella kuanguka akiwa anaimba na kucheza wimbo . . .
Wanawake na watoto karibia Elfu Moja wanaohitaji huduma za kimatibabu wanatarajiwa kuondolewa katika Ukanda wa Gaza na kupelekwa barani Ulaya kutibiwa, kwa mujibu wa WHO barani Ulaya.Taarifa ya Hans K . . .