logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 16, 2024

Baba atuhumiwa kuua mtoto wake wa kumzaa

Geremiah Kwang (32) mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.Katika tuhuma h . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 13, 2024

Ashikiliwa Kwa Kumuua MTOTO na Kumficha Uvunguni

Kwa mujibu Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, Mariam alitoweka baada ya kutumwa dukani asubuhi, jambo lililosababisha Wazazi wake waanze kumtafutaBaada ya uchunguzi, wat . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 11, 2024

Mwanafunzi wa kidato cha Kwanza Afariki baada ya Kuokota Kilipuzi

Familia moja katika eneo bunge la Bumula kaunti ya Bungoma imejawa na majonzi kufuatia kufariki kwa mwanao baada ya kuokota kilipuzi cha kuchimba madini kimakosa.Mwanafunzi wa Shule ya Upili ya St. Ki . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 7, 2024

Baada ya mke na dada kuuawa baba naye auawa

Baba wa familia na mkazi wa barabara ya nne jijini Tanga Alii Bagidad (60) mwenye asili ya Kiasia ambaye mke wake pamoja na dada wa kazi walikutwa wamenyongwa pamoja na kutobolewa macho yao wiki iliyo . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • October 7, 2024

Papa Francis Kuteua Makadinali Wapya 21

Papa Francis atawateuwa makadinali wapya 21 kutoka duniani kote, alisema hayo Jumapili, katika hatua ambayo haikutarajiwa kushawishi kundi hilo lenye nguvu la watu wa kanisa ambao siku moja watamchagu . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 4, 2024

Mwanamume Adaiwa Kumuua Kakake Wakati wa Mazishi ya Ndugu Yao Read

Polisi huko Makueni wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya kutisha ya mwanamume wa makamo na jamaa.  inadaiwa alimuua kaka yake katika kijiji cha Malivini, Makindu, baada ya kutofautiana k . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 4, 2024

Mume amuua mke wake nayeye kujiua

Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo kikidai . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 3, 2024

Afariki baada ya kupigwa na kuingizwa miti

Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katik . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 3, 2024

Wanajeshi nane wa Israel wauwawa Lebanon

Jeshi la Israel limesema Jumatano kwamba wanajeshi wake 8 wameuwawa kwenye mapigano yanayoendelea dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah, kusini mwa Lebanon, siku moja baada ya kuanza kile kilochotajwa kuwa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 3, 2024

Wanne wafariki kwa ajali ya Basi

Watu wanne wamefariki dunia, na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kutokea kwa ajali ya basi la Kapricon lenye namba za usajili T605 DJR, ambalo liliacha njia na kupinduka.Akithibitisha kutokea kwa tukio . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 2, 2024

Ahukumiwa jela kwa kumbaka bibi wa miaka 79

Mahakama ya wilaya ya Momba leo Oktoba 2, 2024 imemhukumu miaka 30 jela Bahati Sichalwe mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa kijiji cha Chiwanda wilayani Momba mkoani Songwe kwa kosa la kumbaka bibi wa mi . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • October 1, 2024

BONIFACE JACOB KUENDELEA KUSOTA RUMANDE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Oktoba 1, 2024 imetupilia mbali maombi ya Serikali yaliyowasilishwa wiki iliyopita juu ya kiapo cha ziada kupinga dhamana ya mgombea uenyekiti Kanda ya Pwani, Bonif . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 1, 2024

Takriban watu 200 wafariki kwenye mafuriko ya Nepal

Idadi ya watu waliokufa nchini Nepal kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokana na mvua kubwa mwishoni mwa wiki, imefikia 193, wakati shughuli za uokozi zikiimarishwa Jumatatu.Vifo vingi . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 30, 2024

Helene chasababisha uharibifu mkubwa Kusini Mashariki mwa Marekani

Majimbo ya  kusini mashariki mwa Marekani yanaendelea kukabiliana na vifo pamoja na ukosefu wa vifaa muhimu kwenye maeneo ya ndani, huku nyumba zikiharibiwa kutokana na kimbunga Helene, ambacho m . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 29, 2024

Mafuriko nchini Nepal: idadi ya waliofariki yaongezeka hadi 101 na 64 hawajulikani walipo

Takriban watu 101 wamefariki na wengine 64 hawajulikani walipo nchini Nepal, kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa, hasa katika mji mkuu Kathmandu, kulingana na ripot . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • September 27, 2024

Jamaa Kuzikwa Ndani ya Nyumba Yake ya Kifahari Jinsi Alivyoagiza Familia huko Siaya

Familia ya mwenyekiti wa kwanza wa Halmashauri ya Mji wa Siaya, Mzee John Oruenjo Umidha, imefichua kuwa atazikwa ndani ya nyumba yake. mwanae Koruenjo, wamechimba kaburi kwa ajili ya kujiandaa k . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

EU yatoa msaada wa euro milioni 5.4 kwa nchi za Afrika Magharibi zilizokumbwa na mafuriko

Umoja wa Ulaya ulitoa msaada wa euro milioni 5.4 kwa nchi sita za Afrika Magharibi na Afrika ya Kati zilizokumbwa na mafuriko mabaya, ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Chad ulisema Jumatano.Msaada huo w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Kikwete wa mchongo akamatwa akitapeli Facebook

Mahakama ya wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani mkazi wa Mabwepande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Lebanon inasema mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah yameua watu 490

Israel imezidisha vita vyake dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon Jumatatu, ikiua takriban watu 490 na kujeruhi wengine zaidi ya 1,650 katika mashambulizi makubwa ya anga ambayo yamezua was . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Lebanon inasema mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah yameua watu 490

Israel imezidisha vita vyake dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon Jumatatu, ikiua takriban watu 490 na kujeruhi wengine zaidi ya 1,650 katika mashambulizi makubwa ya anga ambayo yamezua was . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 20, 2024

Mashambulizi ya Lebanon yalikuwa pigo kubwa- asema kiongozi wa Hezbollah

Kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, Alhamisi amekiri kwamba shambulizi la wiki hii ndani ya Lebanon kupitia vifaa vya mawasiliano vya kundi hilo, lilikuwa pigo kubwa, huku akisema kuwa Israel ili . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 19, 2024

Milipuko mipya ya vifaa vya mawasiliano vya Hezbollah yaua watu kadhaa na kujeruhi mamia

Milipuko mipya imetokea hivi pude siku ya Jumatano Septemba 18 katika viunga vya kusini mwa Beirut, na pia kusini na mashariki mwa Lebanon. Milipuko ya hivi punde pia inahusisha vifaa vya mawasiliano . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • September 19, 2024

Shambulizi la Ukraine, lasababisha maafa Russia

Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine, la Jumatano kwenye ghala la Russia, limesababisha mlipuko kama wa tetemeko la ardhi na kuwasha moto ambao ulilazimisha kuhamishwa kwa mji katika mkoa w . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 13, 2024

Mwanafunzi Kidato cha Kwanza Ajiua kwa Kisu Kisa Tabia mbovu

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya waza . . .

Kurasa 13 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 18 dakika zilizopita

Wanafunzi waliotekwa nyara Niger waachiwa huru

Michezo
news
  • 21 masaa yaliopita

Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

Habari
news
  • 2 siku zilizopita

SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

Habari
news
  • 2 siku zilizopita

UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

Habari
news
  • 2 siku zilizopita

UTPC, C-Sema na Elimika Waanzisha Mwongozo wa Uandishi wa Habari za Ukeketaji Kukomesha Ukatili ifikapo 2030

Michezo
news
  • 2 siku zilizopita

CAF Yatangaza Zawadi za Fedha za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025

Makala
news
  • 2 siku zilizopita

Je unafahamu faida za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Wanafunzi waliotekwa nyara Niger waachiwa huru

    • 18 dakika zilizopita
  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 21 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode