logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 24, 2022

Mjumbe wa Ukrain asema Urusi inaishambulia Mariupol

Mpatanishi mwandamizi kwa upande wa Ukraine na mshauri wa rais, Mykhailo Podolyak leo hii amesema majeshi ya Urusi bado yanaendelea kuushambulia mji wa Mariupol na kuhimiza Urusi kutekeleza makuba . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 24, 2022

MAJI YA UPAKO YAZUA KIZAA ZAA

Ummy Msika (45), mkazi wa kata ya Bomambuzi manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro amepata madhara mwilini baada ya rafiki yake kudaiwa kumpa maji ya uponyaji ‘upako’.Msika aliyelazwa katika . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 24, 2022

Watu kadhaa wateketea kwa moto kutokana na mripuko wa kiwanda cha mafuta Nigeria

Watu kadhaa wanahofiwa kuteketea kwa moto kufuatia mripuko uliotokea usiku katika kiwanda kinachochakata mafuta kinyume cha sheria Kusini mwa Nigeria.Polisi imethibitisha kutokea kwa mripuko huo l . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 24, 2022

Mapigano yauwa watu wanane huko Darful

Mapigano kati ya kabila la waarabu na wakulima wa kabila la wachache katika eneo lililokumbwa na vita la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya watu wanane na wengine 16 kujeruhiwa. Mapigano h . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 24, 2022

Zelensky ataka mkutano wa mazungumzo ya kukomesha vita na Putin

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, jana Jumamosi ametoa tena wito wa kufanya mkutano na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin, katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake. Katika mkutano na waandishi . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 22, 2022

Aweso Awasimamisha Kazi Wanne Bwawa la Milioni 600 Handeni

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji k . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 22, 2022

WAZIRI MKUU AKEMEA VITENDO VYA KUWAFICHA WOTOTO WENYE UHITAJI MAALUM

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wenye tabia ya kuwaficha watoto  Wenye Ulemavu kuacha mtindo huo badala yake wahakikishe wanawapa fursa ya kupata elimu.Ameyasem . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 22, 2022

Rais Mstaafu Mwai Kibaki Amefariki Dunia

Rais mstaafu Mwai Kibaki amefariki dunia.Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta mnamo Ijumaa, Aprili 22 adhuhuri wakati wa kikao na wanahabari katika Ikulu ya Nairobi.Uhuru alitangaza kuwa Kib . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 22, 2022

Ndege Yaanguka Barabarani na Kuuwa Watu Sita Mji Mkuu wa Haiti, Port-au-Prince

Ndege ndogo imeanguka kwenye barabara kuu katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince na kusababisha vifo vya takriban watu sita. Ndege hiyo ilikuwa njiani kutoka mji mkuu kuelekea mji wa bandari wa k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 22, 2022

Rais wa zamani wa Honduras kushtakiwa kwa ulanguzi wa mihadarati Marekani

Rais wa zamani wa Honduras amepelekwa Marekani ili kukabiliwa na madai ya ulanguzi wa madawa ya kulevya, chini ya miezi mitatu tu baada ya muhula wake kukamilika. Juan Orlando Hernandez amekabidhi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 21, 2022

Hamas yasema bado mapambano yanaendelea Gaza

Kiongozi wa kundi la Hamas katika ukanda wa Gaza, Ismail Haniya ametishia kuzidisha makali ya mapigano kati ya kundi hilo na Israel baada ya pande zote mbili kwa mara nyengine kurushiana makombora . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 21, 2022

JELA MIAKA 20 KWA KUWAPIGA WAFANYAKAZI WAKE.

Mahakama nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 Mchina aliyetambuliwa kwa jina la Shujun Sun baada ya kupatikana na hatia ya kuwatesa wafanyakazi wakeMchina huyo aliyedai kuwa wafanyakazi hao w . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 21, 2022

Abiria 60 Wanusurika Kifo Baada ya Ndege Kupoteza Mwelekeo.

Ndege iliyokuwa imebeba abiria 60 ikitokea Nairobi kuelekea Uganda, iliteleza na kutoka kwenye njia yake ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Entebbe mnamo Jumatano, Aprili 20 asubuhi.Ndege hiyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 21, 2022

Ukraine yatoa wito wa mazungumzo kuinusuru Mariupol

Ukraine imetoa wito wa mazungumzo ya haraka na Urusi mjini Mariupol, mji unaokaribia kutekwa baada ya wiki kadhaa za uvamizi wa Urusi huku Rais Vladimir Putin akiendelea kujipiga kifua na kuonyesh . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 21, 2022

Wakili Madeleka adaiwa kukamatwa na Polisi

Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka amedaiwa kukamatwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi na kumpeleka katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini hapa.Hata hivyo, msemaji wa Jeshi la Polisi, D . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • April 19, 2022

Watu 443 wafa katika mafuriko ya Afrika Kusini

Mvua kubwa inayonyesha Afrika Kusini imewaua karibu watu 443 na wengine kadhaa bado hawajulikani waliko. Mamlaka ilisema kuwa wanajeshi 10,000 wapo katika maeneo ya tukio ili kusaidia zoezi la uok . . .

Bungeni
  • Na JZ The Brand
  • April 19, 2022

Mbunge awacharukia wanaodai CCM iliiba kura

Sakata la madai ya wizi wa kura limeibuka bungeni ambapo Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga amesema wananchi wamewapa ushindi wa kishindo kutokana na kazi mbalimbali zinazofanywa.Sanga ameyasema . . .

Jamii
  • Na JZ The Brand
  • April 19, 2022

Mtuhumiwa aogeshwa maji ya tope,achezea kichapo hadharani

Kijana ambaye hajafahamika haraka jina lake anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 mpaka 30 mkazi wa Igoma halmashauri ya mji wa Njombe amenusurika kifo kutoka kwa wananchi wenye hasira kal . . .

Mauaji
  • Na JZ The Brand
  • April 19, 2022

Mtoto Auawa Kwa Kumwagiwa Maji ya Moto na Bibi Yake Lyabukande Wilaya ya Shinyanga

Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga ameuawa kwa kupigwa na fimbo kisha kumwagiwa maji ya moto ya kupikia ugal . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 19, 2022

Waasi wa Houthi wakubali kuacha kuwatumia watoto kama wanajeshi

Umoja wa Mataifa umesema waasi wa Houthi wameamua kutowatumia tena watoto kama wanajeshi. Waasi hao wamewatumia maelfu ya watoto kupigana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa kwa mi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 19, 2022

Israel yaidungua roketi iliyotokea Gaza

Jeshi la Israel linasema limedungua roketi iliyorushwa kutoka Ukanda wa Gaza jana. Hili ndilo shambulizi la kwanza la aina hiyo kufanyika baada ya miezi kadhaa wakati ambapo mivutano inazidi kuong . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 19, 2022

SHINDA YA MAJI YALETA KIKWAZO KWA WANAOTARAJIA KUOA

Baadhi ya vijana katika Kijiji cha Muungano wilayani Chemba mkoani Dodoma, wamedai kuwa wanakabiliwa na changamoto ya kukataliwa kuoa katika vijiji vya jirani kutokana na shida ya maji inayowakabi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 19, 2022

Wanajeshi wawili huko DRC wameuwa raia 15 na kanali wa jeshi

Wanajeshi wawili waliokuwa wamelewa wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti kwenye eneo tete la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) mamlaka ilisema Jumatatu. Mwa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 19, 2022

MAFURIKO YA AFRIKA KUSINI YAWA JANGA LA KITAIFA

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Jumatatu ametangaza kuwa mafuriko mabaya yanayolikumba taifa hilo ni janga la kitaifa, na kuonya kwamba ukarabati wa huduma za msingi utachukua muda mrefu. . . .

Kurasa 48 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Michezo
news
  • 13 masaa yaliopita

Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

Habari
news
  • jana

SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

Habari
news
  • 2 siku zilizopita

UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

Habari
news
  • 2 siku zilizopita

UTPC, C-Sema na Elimika Waanzisha Mwongozo wa Uandishi wa Habari za Ukeketaji Kukomesha Ukatili ifikapo 2030

Michezo
news
  • 2 siku zilizopita

CAF Yatangaza Zawadi za Fedha za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025

Makala
news
  • 2 siku zilizopita

Je unafahamu faida za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Michezo
news
  • 2 siku zilizopita

Simba Yamteua Steve Barker Kuwa Kocha Mkuu Mpya

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 13 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode