Mpatanishi mwandamizi kwa upande wa Ukraine na mshauri wa rais, Mykhailo Podolyak leo hii amesema majeshi ya Urusi bado yanaendelea kuushambulia mji wa Mariupol na kuhimiza Urusi kutekeleza makuba . . .
Ummy Msika (45), mkazi wa kata ya Bomambuzi manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro amepata madhara mwilini baada ya rafiki yake kudaiwa kumpa maji ya uponyaji ‘upako’.Msika aliyelazwa katika . . .
Watu kadhaa wanahofiwa kuteketea kwa moto kufuatia mripuko uliotokea usiku katika kiwanda kinachochakata mafuta kinyume cha sheria Kusini mwa Nigeria.Polisi imethibitisha kutokea kwa mripuko huo l . . .
Mapigano kati ya kabila la waarabu na wakulima wa kabila la wachache katika eneo lililokumbwa na vita la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya watu wanane na wengine 16 kujeruhiwa. Mapigano h . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, jana Jumamosi ametoa tena wito wa kufanya mkutano na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin, katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake. Katika mkutano na waandishi . . .
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji k . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wenye tabia ya kuwaficha watoto Wenye Ulemavu kuacha mtindo huo badala yake wahakikishe wanawapa fursa ya kupata elimu.Ameyasem . . .
Rais mstaafu Mwai Kibaki amefariki dunia.Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta mnamo Ijumaa, Aprili 22 adhuhuri wakati wa kikao na wanahabari katika Ikulu ya Nairobi.Uhuru alitangaza kuwa Kib . . .
Ndege ndogo imeanguka kwenye barabara kuu katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince na kusababisha vifo vya takriban watu sita. Ndege hiyo ilikuwa njiani kutoka mji mkuu kuelekea mji wa bandari wa k . . .
Rais wa zamani wa Honduras amepelekwa Marekani ili kukabiliwa na madai ya ulanguzi wa madawa ya kulevya, chini ya miezi mitatu tu baada ya muhula wake kukamilika. Juan Orlando Hernandez amekabidhi . . .
Kiongozi wa kundi la Hamas katika ukanda wa Gaza, Ismail Haniya ametishia kuzidisha makali ya mapigano kati ya kundi hilo na Israel baada ya pande zote mbili kwa mara nyengine kurushiana makombora . . .
Mahakama nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 Mchina aliyetambuliwa kwa jina la Shujun Sun baada ya kupatikana na hatia ya kuwatesa wafanyakazi wakeMchina huyo aliyedai kuwa wafanyakazi hao w . . .
Ndege iliyokuwa imebeba abiria 60 ikitokea Nairobi kuelekea Uganda, iliteleza na kutoka kwenye njia yake ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Entebbe mnamo Jumatano, Aprili 20 asubuhi.Ndege hiyo . . .
Ukraine imetoa wito wa mazungumzo ya haraka na Urusi mjini Mariupol, mji unaokaribia kutekwa baada ya wiki kadhaa za uvamizi wa Urusi huku Rais Vladimir Putin akiendelea kujipiga kifua na kuonyesh . . .
Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka amedaiwa kukamatwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi na kumpeleka katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini hapa.Hata hivyo, msemaji wa Jeshi la Polisi, D . . .
Mvua kubwa inayonyesha Afrika Kusini imewaua karibu watu 443 na wengine kadhaa bado hawajulikani waliko. Mamlaka ilisema kuwa wanajeshi 10,000 wapo katika maeneo ya tukio ili kusaidia zoezi la uok . . .
Sakata la madai ya wizi wa kura limeibuka bungeni ambapo Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga amesema wananchi wamewapa ushindi wa kishindo kutokana na kazi mbalimbali zinazofanywa.Sanga ameyasema . . .
Kijana ambaye hajafahamika haraka jina lake anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 mpaka 30 mkazi wa Igoma halmashauri ya mji wa Njombe amenusurika kifo kutoka kwa wananchi wenye hasira kal . . .
Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga ameuawa kwa kupigwa na fimbo kisha kumwagiwa maji ya moto ya kupikia ugal . . .
Umoja wa Mataifa umesema waasi wa Houthi wameamua kutowatumia tena watoto kama wanajeshi. Waasi hao wamewatumia maelfu ya watoto kupigana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa kwa mi . . .
Jeshi la Israel linasema limedungua roketi iliyorushwa kutoka Ukanda wa Gaza jana. Hili ndilo shambulizi la kwanza la aina hiyo kufanyika baada ya miezi kadhaa wakati ambapo mivutano inazidi kuong . . .
Baadhi ya vijana katika Kijiji cha Muungano wilayani Chemba mkoani Dodoma, wamedai kuwa wanakabiliwa na changamoto ya kukataliwa kuoa katika vijiji vya jirani kutokana na shida ya maji inayowakabi . . .
Wanajeshi wawili waliokuwa wamelewa wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti kwenye eneo tete la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) mamlaka ilisema Jumatatu. Mwa . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Jumatatu ametangaza kuwa mafuriko mabaya yanayolikumba taifa hilo ni janga la kitaifa, na kuonya kwamba ukarabati wa huduma za msingi utachukua muda mrefu. . . .