logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 23, 2022

Mageuzi watoa maazimio manne

Siku moja baada ya mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi kutangaza kuwasimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na makamu makamu mwenyekiti wake upande wa Bara,Angelina Mta . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 22, 2022

NCCR-Mageuzi Yamsimamisha Mbatia

Halmashauri kuu  ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara, Angelina Mtaigwa, kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ukiuk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 19, 2022

Vyama vya upinzani nchini Guinea, vyakaidi marufuku ya kufanya maandamano

Vyama vikuu vya upinzani nchini Guinea Jumatatu vimeapa kukaidi marufuku ya kutofanya maandamano iliyowekwa na utawala wa kijeshi, hatua ambayo inaashiria uhusiano mbaya kati ya vyama hivyo na j . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 19, 2022

Rais Mteule wa Somalia ametaja vipaumbele vyake anapoanza siku 100 madarakani

Rais mteule wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, anasema serikali yake italenga masuala ya haraka ikiwa ni pamoja na usalama, kufufua uchumi, uthabiti wa kisiasa, na auheni ya madeni katika kipind . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Raila Odinga Junior "Baba Atakuwa Ikulu Asubuhi na Mapema".

Raila Odinga Junior, kitinda mimba wa kinara wa ODM Raila Odinga, amebashiri ushindi mkubwa wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9.Kupitia kwa mtandao wa Twitter, Ju . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Serikali ya Mali yazuia jaribio la mapinduzi

Serikali ya Mali inayoongozwa na rais aliyefanya mapinguzi mara mbili imetangaza kuwa vikosi vyake vya usalama vimezuia jaribio la mapinduzi ambalo imesema liliungwa mkono na nchi moja ya Magharib . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Rais Bissau amevunja bunge" nitaitishwa uchaguzi wa mapema".

Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo siku ya Jumatatu alivunja bunge la nchi hiyo na kusema kuwa utaitishwa uchaguzi wa mapema mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mref . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Odinga

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amemchagua kiongozi wa chama cha Narc Kenya, Martha Karua, kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi unaotarajiwa mwezi agosti. Karua anak . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Odinga kumtangaza mgombea mwenza

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, anatarajiwa kumtaja mgombea mwenza hii leo, baada ya kupokea majina matatu kutoka kwa jopo alililoteuwa kumsaidia kumchagua mgombea mwenza. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Wagombea 36 kushiriki katika uchaguzi wa rais nchini Somalia hii leo

Wagombea 36 wanawania kiti cha rais katika uchaguzi unaofanyika leo nchini Somalia ambao umecheleweshwa kwa muda mrefu.Rais huyo atachaguliwa na wabunge katika eneo la uwanja wa ndege lililo chini . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Wabunge waliotimuliwa uanachama Chadema watinga bungeni

abunge wa viti maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema juzi leo Ijuma Mei 13 wameudhuria vikao vya Bunge isipokuwa Halima Mdee na Ester Bulaya.Aliyenza kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge ni Ester M . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Bobi Wine atinga Baraza Kuu Chadema

Mwanasiasa wa upinzani na mwanamuziki maarufu nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amewasili katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Baraza la Kuu la Chadema . . .

afrika mashariki
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Mtoto wa Rais Museven Afikishwa Mahakamani kwa Kuutaka Urais wa Uganda

Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa bado anahudum . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Kura za mapema zaanza kupigwa Australia

Upigaji kura wa mapema umeanza nchini Australia leo, wiki mbili kabla siku ya kupiga kura, huku matokeo ya utafiti wa maoni yakionesha chama cha upinzani cha Labour kikiongoza na waziri mkuu Scott . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Chama cha CDU chashinda uchaguzi Schleswig-Holstein

Chama cha kihafidhina cha Ujerumani cha Christian Democratic Union, CDU kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Schleswig-Holstein. Takwimu rasmi za matokeo ya awali yaliyotolewa mapema leo zimekiweka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 5, 2022

Uchunguzi dhidi ya rais wa zamani wa Guinea waanza

Idara ya mahakama ya Guinea imeanza uchunguzi dhidi ya rais wa zamani wa nchi Alpha Conde na maafisa wengine 26 waliokuwa katika serikali yake. Hatua hiyo inafuatia malalamiko kutoka kwa kundi moj . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 5, 2022

Mwanachama wa Oath keepers amekiri njama za uchochezi kulishambulia bunge la Marekani

Mwanachama wa wanamgambo wa mrengo mkali wa kulia wa Oath Keepers siku ya Jumatano alikiri kushiriki katika njama za uchochezi wakati wa shambulizi la mwaka 2021 kwenye jengo la bunge la Marekan . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 29, 2022

IEBC Kenya imetangaza sheria ya usawa wa jinsia kwa wagombea wa kisiasa

Vyama vya kisiasa nchini Kenya viko kwenye hatari kwa wagombea wake katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9 kuondolewa katika orodha ya wagombea iwapo vyama hivyo havitatimiza mahitaji ya sheria ya usa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Kikosi kazi cha Samia, MCT na LHRC mezani

Katibu wa Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia, Sisty Nyahoza ameainisha vituo vitakavyotumika kutoa maoni kuhusu maeneo tisa yaliyopendekezwa na kikosi kazi hicho.Katika taarifa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2022

Shaka "Tutalinda dola kwa kufanya haya"

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanalinda dola kwa kufanya kazi na kutekeleza Ilani na ahadi zote wakati wa uchaguzi.Kimesema kuwa wananchi ambao ndi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 25, 2022

Macron ashinda uchaguzi wa rais Ufaransa

Wapiga kura nchini Ufaransa jana wamempa ushindi Emmanuel Macron wa muhula wa pili madarakani katika uchaguzi wa rais baada ya mpinzani wake wa siasa kali za mrengo wa kushoto Marine Le Pen kushin . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 24, 2022

Ufaransa kumchagua rais wake mpya katika duru ya pili

Mamilioni ya wapiga kura nchini Ufaransa, wanapiga kura Jumapili hii Aprili 24, kumchagua rais katika duru ya pili ya uchaguzi, unaowakutanisha rais Emmanuel Macron na mwanasiasa wa siasa za mreng . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • April 22, 2022

Lusinde awacharukia Zitto na wanaomnanga Magufuli

Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amemshukia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na watu wanaomsema vibaya Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli na kumsema vizuri Rais Samia Sul . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • April 22, 2022

Mbunge ahoji wateule wa Rais kuwaondoa watumishi waliowakuta

Mbunge wa Kilindi (CCM), Omary Kigua ameitaka Serikali kutoa vibali vya ajira kwa wateule wa Rais wanaowaondoa watumishi waliowakuta katika taasisi wanazopangiwa kuongoza.Kigua ameyasema hayo leo . . .

Kurasa 14 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 3 siku zilizopita

Polisi Morogoro wachunguza kifo dada wa kazi, magari kuchomwa moto Mvomero

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Maafisa uhamiaji 3 wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Uzembe ndiyo chanzo cha ajali iliyoua 5 Songwe

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

RC Mhita akagua athari za mvua Shinyanga

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Roger Lumbala ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Mpigania demokrasia Lai atiwa hatiani Hong Kong

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 6 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 24 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode