logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 5, 2022

Bahati "Anza Kuvalia Kama Mke wa Mheshimiwa" Amwambia mke wake.

Mwanamuziki Kevin Bahati anaonekana kuwa vitani kwa wiki kadhaa sasa na mkewe Diana B kuhusu chaguo lake la mavazi hususan baada ya kuzindua taaluma yake ya kisiasa. Msanii huyo ambaye anale . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Rais wa Tunisia ashutumiwa kwa kudumaza taasisi za kidemokrasia

Rais wa Tunisia, Kais Saied kwa kudumaza taasisi za kidemokrasia za nchi hiyo baada ya kuwafukuza kazi majaji kadhaa huku kukiwa na safu ya hatua ambazo zilionekana kulenga kuunganisha utawala w . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Musyoka arejea Azimio, amuunga mkono Odinga

Musyoka pia amekubali uteuzi wa Waziri mwenye wadhifa wa juu, iwapo Odinga atashinda uchaguzi na kuunda serikali.Aidha,amempongeza Martha Karua kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Odinga na kuahidi k . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

EACC Yataja Orodha ya Majina ya Viongozi Walioza Maadili, Wasiofaa Kuongoza Popote Kenya

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inaitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwazuia wagombea 241 kushiriki katika uchaguzi wa Agosti 9.Mnamo Jumatano, Juni 1, tume hiyo ilitoa orod . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Lissu "Serikali imenilipa mafao yangu ya ubunge"

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiinua mgongo chake aliochukuwa anadai baada ya kutumikia nafasi ya ubunge kwa zaidi ya miaka mitatu.Lissu alivuliwa ubun . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

Uchaguzi Colombia kwenda duru ya pili Juni

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Colombia yanaonesha kutakuwa na duru ya pili mnamo mwezi Juni baada ya wagombea sita waliokuwa wakiwania kiti hicho kushindwa kupata asilimia 50 ya kura . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

Pinda ajumuishwa kuongeza nguvu kikosi kazi

Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amejumuishwa kwenye kikosi kazi kinachoendelea na shughuli ya kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa.Pinda aliyekuwa Waziri Mkuu kat . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 29, 2022

COLOMBIA : UCHAGUZI WA RAIS UNAFANYIKA LEO .

Raia wa Colombia wanapiga kura leo katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais, huku chama cha mrengo wa kushoto kikielekea kuibuka na ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ya Amer . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

CHONGOLA AWAONYA MAKADA WANAOKUA NA FITINA KWA WAGOMBEA

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, amewaonya viongozi waliopewa dhamana na chama hicho, kuacha kueneza fitina na majungu dhidi ya wengine wakati wa uchaguzi wa ndani.Chongolo ameyasema hayo le . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Imran Khan ataka uchaguzi ndani ya siku sita Pakistan

Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Pakistan, Imran Khan, ameitaka serikali kutangaza uchaguzi mpya ndani ya siku sita kutoka sasa ama aitishe maandamano makubwa ya umma yasiyo kikomo kati . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 23, 2022

Chadema Yataka Kukamilika kwa Katiba Mpya Kabla ya 2025

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu wake John Mnyika kimetoa taarifa juu ya mazungumzo ambayo Cham hicho kilifanya hivi karibuni na Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya  . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 23, 2022

Mageuzi watoa maazimio manne

Siku moja baada ya mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi kutangaza kuwasimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na makamu makamu mwenyekiti wake upande wa Bara,Angelina Mta . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 22, 2022

NCCR-Mageuzi Yamsimamisha Mbatia

Halmashauri kuu  ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara, Angelina Mtaigwa, kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ukiuk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 19, 2022

Vyama vya upinzani nchini Guinea, vyakaidi marufuku ya kufanya maandamano

Vyama vikuu vya upinzani nchini Guinea Jumatatu vimeapa kukaidi marufuku ya kutofanya maandamano iliyowekwa na utawala wa kijeshi, hatua ambayo inaashiria uhusiano mbaya kati ya vyama hivyo na j . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 19, 2022

Rais Mteule wa Somalia ametaja vipaumbele vyake anapoanza siku 100 madarakani

Rais mteule wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, anasema serikali yake italenga masuala ya haraka ikiwa ni pamoja na usalama, kufufua uchumi, uthabiti wa kisiasa, na auheni ya madeni katika kipind . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Raila Odinga Junior "Baba Atakuwa Ikulu Asubuhi na Mapema".

Raila Odinga Junior, kitinda mimba wa kinara wa ODM Raila Odinga, amebashiri ushindi mkubwa wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9.Kupitia kwa mtandao wa Twitter, Ju . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Serikali ya Mali yazuia jaribio la mapinduzi

Serikali ya Mali inayoongozwa na rais aliyefanya mapinguzi mara mbili imetangaza kuwa vikosi vyake vya usalama vimezuia jaribio la mapinduzi ambalo imesema liliungwa mkono na nchi moja ya Magharib . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Rais Bissau amevunja bunge" nitaitishwa uchaguzi wa mapema".

Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo siku ya Jumatatu alivunja bunge la nchi hiyo na kusema kuwa utaitishwa uchaguzi wa mapema mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mref . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Odinga

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amemchagua kiongozi wa chama cha Narc Kenya, Martha Karua, kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi unaotarajiwa mwezi agosti. Karua anak . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Odinga kumtangaza mgombea mwenza

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, anatarajiwa kumtaja mgombea mwenza hii leo, baada ya kupokea majina matatu kutoka kwa jopo alililoteuwa kumsaidia kumchagua mgombea mwenza. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Wagombea 36 kushiriki katika uchaguzi wa rais nchini Somalia hii leo

Wagombea 36 wanawania kiti cha rais katika uchaguzi unaofanyika leo nchini Somalia ambao umecheleweshwa kwa muda mrefu.Rais huyo atachaguliwa na wabunge katika eneo la uwanja wa ndege lililo chini . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Wabunge waliotimuliwa uanachama Chadema watinga bungeni

abunge wa viti maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema juzi leo Ijuma Mei 13 wameudhuria vikao vya Bunge isipokuwa Halima Mdee na Ester Bulaya.Aliyenza kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge ni Ester M . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Bobi Wine atinga Baraza Kuu Chadema

Mwanasiasa wa upinzani na mwanamuziki maarufu nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amewasili katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Baraza la Kuu la Chadema . . .

afrika mashariki
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Mtoto wa Rais Museven Afikishwa Mahakamani kwa Kuutaka Urais wa Uganda

Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa bado anahudum . . .

Kurasa 14 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • January 30, 2026

Marekani Yasema Iko Tayari Kuchukua Hatua Dhidi ya Iran Kuzuia Silaha za Nyuklia

Matukio
news
  • January 26, 2026

Zelensky asaka mifumo zaidi ya ulinzi wa anga

Matukio
news
  • January 20, 2026

RSF walitumia makaburi ya pamoja kuficha uhalifu wa kivita

Matukio
news
  • January 17, 2026

WFP: Uhaba wa chakula wafikia kiwango cha hatari

Matukio
news
  • January 15, 2026

Zelensky kutangaza hali ya dharura katika sekta ya nishati

Top Stories
news
  • January 11, 2026

SOMA KWA FURAHA INITIATIVE YAANZA MWAKA 2026 NA CHUMBA CHA TUMAINI ( CHAMBER OF HOPE )

Top Stories
news
  • December 24, 2025

Miaka kumi ya Jembefm

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode