Nchini Malawi, Chama tawala cha Rais Lazarus Chakwera kinadai kuwa kulikuwa na wizi wa kura katika uchaguzi wa wiki iliyopita huku chama hicho kikidai kuwa na ushaihidi wa kutosha wa kudhibitisha hilo . . .
OKTOBA 29, mwaka huu Watanzania watatekeleza jambo kubwa la kidemokrasia na kihistoria la kuwachagua viongozi wa kuwaongoza kwa miaka mitano ijayo kwa kupiga kura.Utekelezaji huo wa kidemokrasia unafa . . .
VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi.Vyama hivyo ni Malawi Congress Party (MCP) kina . . .
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amemtumia salam Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, kujiandaa na "mapinduzi makub . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Mjini, Frank Nyalusi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijumaa Septemba 19, 2025, katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa ali . . .
KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeendelea kuwa moto mahakamani, safari hii akigoma kuendelea na usikilizwaji wa shauri hilo katika . . .
Maelfu ya raia wa Uingereza wamejitokeza mitaani jijini London na miji mingine kupinga ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye amewasili nchini humo kwa ziara rasmi.Waandamanaji walibeba maban . . .
Raia wa Malawi, hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, Wabunge na madiwani, uchaguzi ambao unatarajiwa kuamua mustakabali wa taifa hilo kuhusu uchumi na vita dhidi ya rushwa.Upinzani una . . .
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, Septemba 9mwaka hu amezindua rasmi kampeni zake katika mji . . .
NAIBU wa Rais, Prof Kithure Kindiki sasa ana kibarua kigumu cha kuhakikisha kuwa UDA inatwaa kiti cha Mbele Kaskazini baada ya chama hicho kumtaja mwaniaji wake wikendi.Mnamo Jumamosi, UDA ilimta . . .
MGOMBEA Urais kupitia tiketi ya chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Wilson Mulumbe amesema endapo atapewa ridhaa ya kuiongoza nchi ataondoa makato ya mikopo ya vyuo vya Elimu ya Juu inayot . . .
Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikil . . .
Katibu wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Fatma Abdulhabib Ferej, ameteuliwa rasmi kuwa mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya jina lake kupitishwa kwa kauli moja na . . .
Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) Ramadhani Kailima amevitaka vyombo vya habari kuripoti habari za uchaguzi bila kupendelea chama chochote cha siasa.Kailima ameyasema hayo leo Agost . . .
Tume ya uchaguzi ya Cameroon, ELECAM, imetangaza kuwa mwanasiasa wa upinzani Maurice Kamto amezuiliwa kushiriki katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa urais wa Oktoba 12 mwaka huu.Profesa, huyo mashuhu . . .
MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, ametoa kauli kuhusu uvumi wa kufungwa kwa ukumbi wa Tanzanite ulioko Kimara Korogwe,Dar es Salaam, akibainisha kuwa ukumbi huo umesajiliwa kwa ajili ya shughul . . .
Polisi nchini Uganda wanamshikilia mwanaume mmoja baada ya kukutwa na bomu la mkononi aina ya “guruneti” (Grenade) wakati wa uchaguzi wa awali wa chama tawala cha NRM .Kwa mujibu wa NTV Uganda, . . .
Rais wa Kenya William Ruto ameagiza Polisi kuwapiga risasi za miguu waandamanaji wanaoharibu mali za watu ili kuwazuia kufanya uharibifu huo bila kuwaua. Agizo hilo limekuja baada ya baadhi ya waandam . . .
Kesi namba 8323/2025 ya mgawanyo wa rasilimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo imeahirishwa mpaka Jumatatu ya tarehe 14, Julai 2025 saa nne asubuhiKatika Kesi hiyo inayoendelea Mahakama Kuu ya Ta . . .
Rais wa Kenya William Ruto akiwa na hasira kali ameapa kuwachukulia hatua kali wale anaowaita wapanga njama wa kutaka kumuondoa madarakani kwa njia zisizo halali kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.& . . .
Utajiri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX, Elon Musk, umepungua kwa kiasi cha dola bilioni 15 kwa siku ya leo pekee baada ya hisa za kampuni ya Tesla kuporomoka kwa karibu asilimia 7 na kushuk . . .
Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), kimetangaza awamu ya pili ya ziara yake baada ya ile iliyofanyika Juni mwaka huu.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma wa chama hicho, John Mr . . .
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuwa uamuzi wa baadhi ya vyama kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni sawa na kuipa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ushindi wa bure, hali itakayochangia kupatikana kwa viong . . .
Chama cha ACT Wazalendo kimewataka Watanzania kuwahoji na kuwapima watawala kwa msingi wa utekelezaji wa Katiba, hususan kifungu cha kupunguza umasikini wa wananchi, badala ya kuridhika na maneno ya k . . .
Serikali ya Kongo na waasi wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, wametangaza siku ya Alhamisi kurejea kwa wajumbe wao nchini Qatar kwa mazungumzo ya amani, wakati Washington inataka kukomesha mapigano, . . .