Urusi imefanya uharibifu wa meli inayopeperusha bendera ya Panama, iliyokuwa katika bandari ya Odesa nchini UkraineDroni za Urusi zimeshambulia bandari ya Izmail kusini mwa mkoa wa Odesa usiku wa kua . . .
Mahakama moja nchini Senegal imetoa hukumu ya kwanza chini ya sheria mpya iliyoongeza adhabu kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja ambayo makundi ya kutetea haki za binadamu yameitaja kuwa ya u . . .
Nchini Benin, Romuald Wadagni ameshinda uchaguzi wa urais, baada ya kupata asilimia 94 ya kura, kwa mujibu wa matokeo ya awali, kufuatia uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.Tume ya Uchaguzi&n . . .
Vituo vya kupigia kura vimepangwa kufunguliwa saa 1:00 asubuhi (sawa na 2:00 asubuhi saa za Afrika ya Kati) na kufungwa saa 10:00 jioni (11:00 jioni saa za Afrika ya Kati). Karibu wapiga kura milioni . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amesema amechoshwa na athari za kiuchumi zinazotokana na maamuzi ya Rais wa Marekani, Donald Trump, huku mvutano kati ya Ulaya na Marekani ukiongezeka kufuatia . . .
Ripoti mpya za kijasusi za Marekani zinaeleza kuwa China inadaiwa kujiandaa kupeleka mifumo mipya ya ulinzi wa anga kwa Iran katika wiki zijazo, wakati ambapo mapigano kati ya Iran . . .
Uchaguzi wa rais unafanyika siku ya Ijumaa kwenye taifa hilo lenye umuhimu mkubwa wa kimkakati katika Pembe ya Afrika rais wa Djibouti, Ismail Omar Guelleh anatafuta nafasi ya kuiongoza nchi hiyo ya& . . .
Hofu inaongezeka miongoni mwa upinzani nchini Zimbabwe kufuatia mapendekezo ya mabadiliko ya katiba yanayodaiwa kuimarisha zaidi mamlaka ya chama tawala cha Zanu-PF.Kwa mujibu wa rasimu hiyo, bunge li . . .
MLvutano umeibuka nchini DRC, baada ya kambi ya rais ikitaka kiongozi wao, ambaye ni rais wa Jamhuri kuwania muhula wa tatu wakati wa sherehe za kuwapokea wachezaji wa timu ya taifa ya soka ilipokuwa . . .
MLvutano umeibuka nchini DRC, baada ya kambi ya rais ikitaka kiongozi wao, ambaye ni rais wa Jamhuri kuwania muhula wa tatu wakati wa sherehe za kuwapokea wachezaji wa timu ya taifa ya soka ilipokuwa . . .
Rais wa United States, Donald Trump, amesema ameongeza muda wa kusitisha mashambulizi dhidi ya viwanda vya nishati vya Iran kutoka siku chache hadi kufikia Aprili 6.Aidha ameeleza kuwa Iran ilikuwa im . . .
Rais wa zamani wa Venezuela Nicolas Maduro anatarajiwa kufika tena mahakamani Marekani akijaribu kushawishi jaji afute kesi inayomkabili ya ugaidi wa dawa za kulevya. Anadai serikali ya Marekani inamz . . .
Msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran, Ebrahim Zolfaghari, ametoa kauli kali akilenga United States kuhusu hali ya kisiasa na usalama katika eneo la Middle East.Kupitia ujumbe wa video ul . . .
Zaidi ya wapiga kura milioni 3.2 wamejiandikisha kushiriki katika uchaguzi wa rais nchini Republic of the Congo ambapo Rais Denis Sassou Nguesso mwenye umri wa miaka 82 anatetea nafasi yake. Hata hivy . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa hotuba kuhusu hali ya taifa mbele ya Bunge la Marekani katika kipindi ambacho taifa hilo linakabiliwa na changamoto za kisiasa ikiwemo mvutano unaoendelea na Iran. . . .
Afisa mmoja wa Marekani amesema kuwa waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Marco Rubio atasafiri na kuelekea Israel wiki ijayo wakati ambapo mivutano inazidi kati yake na Iran.Afisa huyo ambaye hakutaka . . .
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu, amewasili katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, akiwa amebeba vifurushi vilivyojaa makabrasha tayari kwa kuendelea na usikilizwaji w . . .
Bangladesh inaingia katika sura mpya ya kisiasa baada ya kufanya uchaguzi wake wa kwanza tangu maandamano makubwa yaliyosababisha kuondolewa madarakani kwa serikali ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Has . . .
Tayari mshindani wake mkuu André Ventura amekubali kushindwa na mshindi anatarajiwa kuchukua madaraka Machi 9, akimrithi Rebelo de Sousa, ambaye ameiongoza nchi hiyo ya kusini-magharibi mwa Ulaya tan . . .
Umoja wa Afrika umetangaza kuiondolea Guinea vikwazo ilivyoiwekea kufuatia mapinduzi ya mwaka 2021, baada ya nchi hiyo kuandaa uchaguzi wa rais mwezi Disemba.Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afr . . .
Umoja wa Ulaya haujaekeza vya kutosha kwa usalama wa eneo la Arctic na sasa ndio wakati wa kubadilisha hilo na kuekeza zaidi.Haya yamesemwa na Rais wa Halmshauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula vonder Le . . .
MAHAKAMA Kuu imebatilisha kuvunjwa kwa chama cha kisiasa cha Amani National Congress (ANC), kinachohusishwa na Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi, na kukirejesha rasmi katika ulingo wa siasa.Katika hat . . .
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais yanaonyesha Yoweri Museveni akiongoza kwa kura 14,232 (61.7%); Bobi Wine anashika nafasi ya pili kwa kura 7,753 (33.64%), kulingana na Tume ya Uchaguzi nchini hum . . .
Denmark na Greenland zimeungana kupinga wito wa rais wa Marekani Donald Trump kutaka kukitwaa kisiwa cha Greenland hivyo viongozi wa nchi hizo wamesema wanaichagua Jumuiya ya NATO na Umoja wa Ulaya ba . . .
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema zaidi ya watu 400 wameachiliwa kutoka gerezani kama sehemu ya mchakato unaoendelea wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa.Akizungmza siku ya Jumanne . . .