Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo feb mosi 2022 na kuteketeza sehemu kubwa ya soko hilo.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na huku chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.