Ikiwa Serikali ya Kinshasa ilikuwa ikimshutumu Kabila kwa madai ya uhaini, uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu pamoja na kushirikiana na kundi linaloendesha uasi huko nchini.
Sasa baraza la seneti katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lamuondolea kinga ya kutoshtakiwa rais wa zamani wa nchi hiyo Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa na serikali kuliunga mkono kundi la waasi la M23 mashariki mwa nchi hiyo.