TANZANIA KUTORUHUSU WANAHARAKATI KUTOKA NJEE

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania haitatoa nafasi kwa wanaharakati kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kuja kuharibu mambo ya ndani ya nchi baada ya kuharibu katika nchi zao.
Rais Samia amesema kuwa anasikia mambo mengi yanayosemwa na wanaharakati hao ikiwa jambo la muhimu analolifanya ni kuilinda nchi na kutoruhusu wanaharakati hao kuja kuiharibu Tanzania kwani amani iliyopo ni muhimu kuliko harakati zao.
Rais Samia aliyasema hayo wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001, toleo la 202

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii