MOTO BADO UNAZIMWA

Kutoka Soko la Mbagala rangi tatu Wilayani Temeke Dar es salaam mchana huu February 13,2022 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Raia wema wanaendelea kuuzima moto ambao bado unawaka katika baadhi ya maeneo ya soko hili, moto huu umeanza tangu usiku wa kuamkia leo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii