Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu katika mashitaka matano kati ya 6 ambapo sasa watapaswa kuanza kujitetea.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe