Fahamu Madhara Yatokanayo na Kufungwa kwa Strait of Hormuz Duniani

Strait of Hormuz ni njia nyembamba ya bahari yenye umuhimu mkubwa duniani. Ina upana wa takribani maili 30 katika sehemu yake nyembamba zaidi, ikiwa kati ya Rasi ya Musandam (Oman) na pwani ya Iran. Njia hii inaunganisha Ghuba ya Uajemi na Ghuba ya Oman, na hivyo kuwa mlango muhimu wa usafirishaji wa mafuta na gesi duniani.

Kwa kawaida, meli za kibiashara hupita kupitia mfumo maalum unaoitwa Traffic Separation Scheme (TSS) uliopo kaskazini mwa Oman. Mfumo huu hupanga njia za kuingia na kutoka ili kupunguza ajali na msongamano wa meli. Eneo hili lina kina kinachofikia zaidi ya futi 650.

Mafuta mengi yanayopita hapa hutoka katika nchi za Ghuba, zikiwemo:

  • </p>

                            
                                <div class=

    Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii