logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 19, 2024

Wapya Simba SC wapewa masharti mazito

Imefahamika kuwa wachezaji wapya wote wa kigeni waliosajiliwa katika dirisha dogo la msimu huu wamepewa mikataba migumu ya miezi sita yenye masharti mazito ya kuichezea t . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 17, 2024

Onana afafanua picha aliopigwa AFCON 2023

Mlinda Lango chaguo la kwanza katika kikosi cha Cameroon, Andre Onana ameweka wazi kuwa kocha wake, Rigobert Song alimwambia wazi kama atacheza mchezo wa Premier League d . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 16, 2024

EFA yawaangushia lawama wachezaji

Shirikisho la Soka Misri ‘EFA’ limewatupia lawama wachezaji wa timu ya taifa ya nchi hiyo ‘The Pharaoh’ baada ya timu hiyo kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Msumb . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 15, 2024

Jordan Henderson aanzisha vita Ulaya

Klabu ya Ajax ina matumaini makubwa ya kuipata saini ya kiungo wa Al Etifaq, Jordan Henderson kwa mkopo wa nusu msimu licha ya kuwepo kwa upinzani kutoka Juventus na Etif . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • January 15, 2024

Bondia Kidunda kusaini kimya kimya

Imefahamika kuwa Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Seleman Kidunda kesho Jumanne (Januari 16) anatarajia kusaini mkataba wa pambano la kimataifa la kuwania mkan . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 11, 2024

Mataikun wa Saudi Arabia washtuka

Matajiri wa Saudi Arabian, AL Etifaq hawana mpango wa kumuuza kiungo wao raia wa England, Jordan Henderson mwenye umri wa miaka 33, dirisha hili la Januari.Taarifa hii in . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 9, 2024

Arteta: Arsenal tunajitafuta upya

MICHEZOArteta: Arsenal tunajitafuta upya39 mins agoKocha Mkuu wa Arsenal Mikel Arteta amefichua kwamba, klabu hiyo inahitaji kutuliza akili zaidi katika kipindi hiki kufu . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • January 8, 2024

Hatimaye Bondoa Mwakinyo Kupanda Ulingoni Tena, Atazichapa na Bondoa Huyu

Bondia Hassan Mwakinyo ( @hassanmwakinyojr ) amesema Shirikisho la Mchezo wa Ngumi Duniani (WBO) limeridhia kwamba pambano lake la January 27,2024 New Amaan Complex Zanzi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 8, 2024

Justine Ndikumnana aondoka Coastal Union

Klabu ya Coastal Union imeachana na Mlinda Lango wake Justine Ndikumnana, raia wa Burundi ambaye amekuwa mchezaji wa nane kuachwa ndani ya timu hiyo kwenye dirisha hili l . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 5, 2024

Mbappe"Siijui hatma yangu PSG"

Mshambuliaji wa Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris St-Germain, Kylian Mbappe bado amesema hajafanya uamuzi kuhusu mustakabali wake.Mkataba wa nahodha huyo wa Ufaransa mwe . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 5, 2024

Eng Hersi Uso Kwa Uso na Mbappe na Bosi Wake Ufaransa

Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa na Mwenyekiti wa Vi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 2, 2024

Wawili kuongeza nguvu Dodoma Jiji FC

Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji, Francis Baraza amesema dirisha hili la usajili anatarajia kuimarisha kikosi chake kwa kufanya usajili wa wachezaji wawili kwenye eneo la ushamb . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 2, 2024

Tunatumia akili kubwa, mtatuelewa

Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa usajili ambao wanafanya kwenye timu hiyo ni wa akili kubwa ukiwa na malengo ya kuongeza uimara kwenye timu hiyo.Young Africans . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 1, 2024

Yanga Yamtambulisha Augustine Okrah

Yanga SC wamemtambulisha nyota kutoka Ghana, Augustine Okrah kama mchezaji wao mpya wakimsajili katika dirisha hili dogo.Okrah aliwahi kuitumikia Simba kabla ya kurejea k . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 29, 2023

Yanga na Msuva Mambo Safi, Kumtangaza Rasmi Mapinduzi Cup

Hatima ya winga wa Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), Simon Msuva, kurejea katika klabu yake ya zamani ya Yanga huenda ikajulikana kwenye mashindano ya Kombe la Mapindu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 29, 2023

Diarra, Bacca, Kibabage kuwania tuzo ya mchezaji Bora wa Mwezi Yanga

Majina ya wachezaji watatu wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Yanga kwa Mwezi Desemba, yamewekwa hadharani.Wachezaji wanaowania tuzo hiyo inayotolewa na Shirika la Bima . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 28, 2023

Man City kufungua pochi kwa Echeverri

Mabingwa wa Soka Duniani, Klabu ya Manchester City wanakaribia kufikia makubaliano ya kumsajili chipukizi Claudio Echeverri kutoka River Plate ya Argentina, kwa mujibu wa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 27, 2023

Maxime afunguka killichomng’oa Kagera Sugar

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema ushindani kwenye Ligi Kuu msimu huu ndio chanzo cha makocha wengi kufukuzwa kazi.Maxime alifutwa kazi juma lili . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • December 27, 2023

Bondia Kiduku Ampiga Bondia Sebyala Kutoka Uganda

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku ameshinda dhidi ya Bondia wa Uganda, Mohamed Sebyala katika mchezo uliopigwa Jijini Dar es salaam usiku huu.Twaha kiduku ameshinda pambano h . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 27, 2023

Rais Mwinyi mgeni rasmi Kili Stars Vs ZNZ Heroes

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa kirafiki wa timu ya soka ya Tanzania Bara dhidi ya . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 25, 2023

Azizi Ki Afunguka Ufungaji Bora Wa Ligi Kuu Bara

KIUNGO Mshambulijai wa Yanga, Stephane Azizi Ki amesema kuwa licha ya kuwa kinara katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara lakini hafikirii kabisa kuwa mfu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 22, 2023

Tshabalala Amvulia Kofia Kibabage

Mohamed Hussein 'Tshabalala' amempongeza mchezaji mwenzake wa timu ya Yanga ambao ni watani zao wa jadi, Nickson Kibabage kwa kuonyesha kiwango bora katika mchezo wa jana . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 21, 2023

Julio akubali uwezo wa Benchikha

Aliyewahi kuwa Mchezaji na Kocha wa Simba SC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amemwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha, kufuatia ushindi wa mabao 2-0 waliou . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 20, 2023

Kisa Medeama, Gamondi Atoa Maagizo Mazito Yanga

WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Medeama FC ya Ghana, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa maagizo mazito kwa wachezaji wake wote ku . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 13, 2023

Uongozi Simba Wafurahishwa na Mabadiliko Haya Yaliyofanywa na Benchikha

AHMED Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, amefurahishwa na mabadiliko ya muda mfupi ya kikosi chao ikiwa ni siku chache tangu Kocha Mkuu raia wa Alge . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 5, 2023

Ally Kamwe "Mechi ya Medeama haitakuwa rahisi"

Klabu ya Young Africans imesafiri kuelekea nchini Ghana alfajiri ya leo kwa ajili ya mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Medeama.Afisa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 4, 2023

Ten Hag Kumzuia Onana AFCON

MANCHESTER United ipo kwenye mazungumzo na mamlaka ya soka ya Cameroon ili kumzuia Andre Onana asishiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).Kipa huyo wa mashe . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 3, 2023

Hatimaye FIFA yaiondolea Simba adhabu ya kutosajili

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Mighh (FIFA) limeiondolea Simba SC, adhabu ya kufungiwa kusajili baada ya kuilipa Klabu ya Teungueth ya Senegal.Awali, FIFA iliifungia . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 28, 2023

Ahmed Ally afichua ujio wa Benchikha

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amefichua siri iliyomvuta Kocha Mkuu wa klabu hiyo kwa sasa Abdelhak Benchikha ambaye tayari ameshawasili jijini Dar . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 28, 2023

Italia ya beba ubingwa baada ya miaka 47

Timu ya taifa ya Italia imeshinda ubingwa wa michuano ya tenisi ya Davis Cup baada ya kuifunga timu ya taifa ya Australia kwenye mchezo wa fainali uliochezwa Malga nchini . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • November 26, 2023

Dulla Mbabe Apigwa Tena

DullahMbabe” ameendeleza unyonge kwa kupoteza kwa mara ya pili dhidi ya #EricKatompa wa DR Congo katika pambano lisilo la ubingwa la Uzito wa Super Middleweight lililof . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 20, 2023

Rais Samia anunua tiketi zote za Mzunguko Taifa Stars Vs Morocco

Rais Samia Suluhu Hassan, amenunua tiketi zote za mzunguko katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar mechi dhidi ya Morocco.Akizungumza mara baada ya kuwapokea Taifa St . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 17, 2023

Majanga yamuondoa Dalot kikosi cha Ureno

Beki wa Manchester United, Diogo Dalot amejiondoa kwenye kikosi cha Ureno kwa ajili ya mechi za kimataifa za mwezi huu.Ureno maarufu kama ‘Selecao’ tayari wamejihakik . . .

Kurasa 11 ya 27

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Afrika Kusini yatangaza kuwaondoa wanajeshi wake Kongo

    • saa moja lililopita
  • Uchaguzi wa Japan: Chama cha Takaichi chatabiriwa ushindi

    • 2 masaa yaliopita
  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode