Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema atakaa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa ili waongee uwezekano wa kutenga bajeti y . . .
Kocha Msaidizi wa Mbeya Kwanza FC Nizar Khalfan ametoa pongezi kwa wachezaji wake kwa kazi kubwa walioifanya kwenye mchezo wa jana Jumapili (Februari 06) dhidi ya Mab . . .
Timu ya taifa ya Senegal imeshinda ubingwa wa michuano ya AFCON kwa mara ya kwanza kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya mabingwa mara 7 na wakihistoria timu ya taifa ya . . .
Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Jack Wilshere amefuta uwezekano wa kusajiliwa tena klabuni hapo, baada ya kusisitiza meneja wa sasa wa The Gunners Mikel Arte . . .
Ni lala salama ya AFCON leo katika dimba la Olembe unaopatikana kwenye mji kuu wa Cameroon, Yaounde.Nyota wawili wa Anfield ya England watakutana kuoneshana ubabe . . .
Mafarao wa Misri wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kutoka sare dhidi ya wenyeji Cameroon dakika 90 na zile za nyongeza na hivyo mchezo huo kuamuliwa kwa . . .
SIMBA haina matokeo mazuri katika mechi zake tatu za Ligi Kuu Bara ingawa wikiendi iliyopita walirejesha ubabe wao nyumbani wakiipasua Dar City na kudhihirisha bado j . . .
Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi, amesema anafurahi kuona kikosi chake kimeendelea kuimarika kwa ajili ya kutimiza malengo ya kuibuka na ushindi katika mc . . .
MARA baada ya kufunga bao lake la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu, mshambuliaji Mkongomani ndani ya kikosi cha Simba, Chris Mugalu, ameibuka na kutamka kuwa sasa hivi k . . .
BEKI kiraka wa Yanga, Kibwana Shomari na mwenzake Abdallah Shaibu ‘Ninja’, wanahesabu siku tuza kurudi uwanjani mara baada ya kupona majeraha yao. Kibwana anayemudu . . .
Pierre-Emerick Aubameyang amejiunga na Barcelona kwa uhamisho wa bure baada ya kuondoka Arsenal, uhamisho huo unatarajiwa kutangazwa leo Jumanne. Mshambuliaji huyo w . . .
LEO Januari 29 Yanga itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mbao FC ambayo nayo pia inaska ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora, Uw . . .
Maafisa wa Cameroon wamesema kwamba takriban watu 6 wamekufa baada ya mkanyagano nje ya uwanja mmoja wa mpira kunakofanyikia michuano ya kombe la Afrika la AFCON. . . .
Sasa kutoka Msimbazi hadi Jangwani ‘gap’ ni pointi 10, wakati huo Coastal Union wanashuka kwa nafasi moja huku Namungo wakipanda kwa nafasi tatu kutoka nafasi y . . .
Vinara wa Ligi Kuu Ya NBC Tanzania bara timu ya Yanga imeendelea na wimbi la ushindibaada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Tanzania Polisi mchezo uliopig . . .
Nyumba ya mshambuliaji wa Sierra Leone Kei Kamara bado iko chini ya ulinzi wa polisi baada ya mshambuliaji huyo kukosa penati dhidi ya Guinea ya Ikweta kwenye michu . . .
Timu ya taifa ya Comoro imeitupa Ghana nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), baada ya kuichapa mabao 3-2 katika mchezo wa mwisho wa Kundi C usiku wa Juman . . .
Nyota na mkongwe wa Manchester United, Wayne Rooney anatajwa kuwa huenda akarithi mikoba ya Rafael Benitezndani ya Goodison Park.Everton siku ya Jumapili ilimfuta kazi al . . .
Saa chache Mara baada ya wekundu wa msimbazi Simba kumtambulisha Ahamed Ally Kama msemaji wao mpya vilevile Klabu ya Simba imezindua jezi mpya zitakazotumika kwenye . . .
Chelsea wamemuondoa Mshambuliaji wao Romelu Lukaku katika list ya wachezaji watakaowatumia katika mchezo wa EPL leo dhidi ya Liverpool.Sababu hasa ya kufanya hivyo haijaw . . .
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Pablo Franco amepewa Onyo Kali kwa kosa la kushindwa kuzuia hisia ama mihemko yake hali iliyosababisha aoneshe vitendo visivyo vya kiuanamic . . .
Borussia Dortmund wanatazamia kuweka pamoja mpango wa kujaribu kumshawishi mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland kusalia nao, huku mustakabali wa mchezaji huyo mwen . . .
ALIYEKUWA kipa wa Mtibwa Sugar, Aboutwalib Mshery sasa rasmi ni mali ya Yanga baada ya mabosi wa Jangwani kutumia jeuri ya pesa na umafia kumpata jana.Mshery alisaini mka . . .
KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi cha Azam FC.Ajib alikuwa akicheza ndani ya kiko . . .
Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo mwen . . .
Thierry Hitimana amevunja mkataba wake na klabu ya Simba kama kocha msaidizi baada ya makubaliano ya pande zote mbili.Hitimana jana Disemba 28 amewaaga wachezaji wa timu . . .
HATMA ya kiungo mshambuliaji, Ousmane Sakho na beki Pascal Wawa na wenzao watatu itajulikana leo, ya kuendelea au kubakia kukipiga Msimbazi.Wachezaji hao ndiyo wanaotajwa . . .
Kutoka pale Uwanja wa Mkapa, Wenyewe wanajiita ni Wananchi, Yanga SC, hii leo imeshuka Dimbani kuivaa Biashara United, huku Biashara United wakitangulia kutikisa nyavu za . . .
Baada ya kula sikukuu ya Krisimasi huku wakiwa na shangwe za mataji wa Bao 4 - 0 dhidi ya KMC katika mechi yao iliyopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Simba SC wameleta & . . .
MABOSI wa Yanga wako katika vikao vya siri wakipiga hesabu za usajili kupitia dirisha dogo lililofungwa Desemba 16, lakini ripoti ya kocha wao Nesreddine Nabi imewekwa ba . . .
Unaambiwa mabosi wa Simba na Polisi Tanzania wapo hatua nzuri ya kubadilishana makipa, Metacha Mnata akiingia Msimbazi, huku Beno Kakolanya akitoka kwa Wekundu hao kwenda . . .
Mchezaji anayelengwa na Arsenal, Chelsea na Manchester City Dusan Vlahovic huenda akaondoka katika klabu yake katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari kwasababu mshamb . . .