Maji ni muhimu sana kwa afya ya binadamu lakini kama mwili ukiwa na maji mengi kuliko inavyohitajika basi hali hii inaweza kusababisha matatizo makubwa kiafya.Na hii leo tutazungumzia hasara kuu zinazoweza kutokea kutoka . . .
Katika maisha ya kisasa watu wengi hujaribu kula kwa afya lakini mara nyingi kuna vyakula na vinywaji tunavyotumia kila siku ambavyo vinaongeza kalorini kimya kimya bila sisi kugundua ambapo hali hii inaweza kuchangia ku . . .
Takribani mamilioni ya watu wengi kote uimwenguni wanaelewa kwamba uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao lic . . .
Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na nyuzi za lishe (fiber) vimeng’enya (enzymes) na virutubisho vingine muhim . . .
High blood pressure (hypertension) ni sababu kubwa ya magonjwa ya moyo, kiharusi na uharibifu wa figo. Kwa muda mrefu, tiba asili zimekuwa zikisisitiza umuhimu wa lishe na mimea tiba katika kuzuia na kudhibiti shinikizo . . .
Katika vita yake ya kisheria inayoendelea dhidi ya kuondolewa kwake madarakani, aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ameondoa ombi lake la kurejeshwa ofisini.Timu ya kisheria ya Gachagua ilifika mbele ya jopo la majaji . . .
Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa ujumla. Kwa mujibu wa Healthline, juisi ya karoti ina kalori chache na wanga mdo . . .
KUNA mambo mengi ambayo husababisha watu wenye uhusiano kuumia roho zao na hivi Leo tutakwenda kuyafafanua kwa undani zaidi mambo hayo kama ifuatavyo:KUFICHA MAMBOKuna jambo hata ukijaribu kulificha, ukweli wake uta . . .
NI vema kujua haya tutakayoyaainisha hapa leo. Inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake. Pia, neno linalotumika sana kuwakilisha hedhi ni ‘period’, lilianza kutumika kw . . .
Safari ya kurudi Mwezini kwa binadamu kupitia mpango wa NASA inaendelea kuvutia hisia za dunia hasa kupitia misheni ya Artemis II ambayo ni hatua muhimu kabla ya kutua tena Mwezini. Hata hivyo pamoja na mafanikio ya kisa . . .
Katika jamii ya leo, uvutaji wa shisha umeonekana kuwa ni sehemu ya burudani, hasa miongoni mwa vijana wengi wao huamini kuwa shisha ni salama zaidi kuliko sigara, lakini ukweli ni kwamba matumizi yake yanaweza kusababis . . .
Ngano ni mmea wa jamii ya nyasi ambao hutoa punje zinazotumika kama moja ya vyakula vikuu dunianiMaeneo yanayolimwa. Nchini Tanzania, ngano hulimwa zaidi katika mikoa ya kaskazini kama Kilimanjaro, Arusha, na Manyar . . .
SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida watu wanagombana kwelikweli utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila kugombana na mpenzi wake anampenda, hayupo tayari kumpoteza lakini maisha yao kila . . .
KUSHIRIKI tendo la ndoa mara kwa mara husaidia kuimarisha ubora wa mbegu za kiume, Utafiti mpya umebaini.Utafiti huo umezima kabisa dhana kuwa kukaa kwa muda mrefu bila kushiriki mapenzi na kuwa na mbegu kadhaa za kiume, . . .
Ingawa vyakula vya baharini vinajulikana kuwa na faida kubwa kiafya, si kila samaki au sahani ya seafood ni salama au bora kula. Wataalamu wa mapishi na lishe wanaonya kuwa baadhi ya vyakula hivi vinaweza kuwa hatari kwa . . .
Mti wa Araucaria ssp ni miongoni mwa miti ya jamii ya misonobari (conifers), inayojulikana kwa umbo lake la kuvutia lenye matawi yanayopangwa kwa mpangilio wa duara kuanzia chini hadi juu. Miti hii hukua kwa urefu mkubw . . .
Je, mara ya mwisho kubadilisha kifaa unachotumia kuoshea vyombo ilikuwa lini?Ni kifaa kinachopatikana jikoni katika kila makazi lakini mdahalo kuhusu kinapaswa kubadilishwa baada ya muda upi, unatofautiana pakubwa kuanzi . . .
MWAKA jana, Linet Njeri, aliona kichwa cha mtoto wake kikiwa na ngozi laini iliyokuwa na magamba.Mwanzoni, alidhani ni kwa sababu hakuwa anamuosha mwanawe vyema.“Nilihisi nikune sehemu hiyo ya kichwa chake ili magamba . . .
WATAFITI wamebaini kuwa msimu wa joto ndio wanawake hushika mimba kwa urahisi kutokana na ubora na urahisi wa mbegu za kiume kutoka sehemu moja hadi nyingine kukutana na zile za kike.Utafiti huo ulifanywa na wanasayansi . . .
Strait of Hormuz ni njia nyembamba ya bahari yenye umuhimu mkubwa duniani. Ina upana wa takribani maili 30 katika sehemu yake nyembamba zaidi, ikiwa kati ya Rasi ya Musandam (Oman) na pwani ya Iran. Njia hii inaunganisha . . .
Swali la nani anaamua nchi iwe na silaha za nyuklia na nani asiwe nazo limekuwa mjadala mkubwa katika siasa za kimataifa kwa miongo kadhaa. Ingawa hakuna chombo kimoja duniani kinachotoa ruhusa ya moja kwa moja kwa nchi . . .
Unaponunua simu mpya, moja ya sehemu muhimu zaidi ni betri. Betri halisi ni uhakika wa maisha marefu ya simu, utendaji thabiti, na usalama wa kifaa chako. Hapa kuna mwongozo wa namna ya kuthibitisha kama battery ni& . . .
Watu wanaotumia korosho angalau mara nne kwa wiki, walionesha kuondokewa na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo kwa asilimia 37. Inashauriwa kutafuta korosho kiganja kimoja au kijiko kimoja cha chakula kilicho jaa ‘nu . . .
1 Kuongeza kinga ya mwili Vitunguu vina antioxidants na virutubisho vinavyosaidia kupambana na magonjwa na kuimarisha mfumo wa kinga.2 Kupunguza hatari ya moyo Vitunguu vinaweza kusaidia kupunguza shinikizo la . . .
Mlenda ni mboga inayopatikana kwa urahisi sokoni na majumbani, lakini watu wengi hawajui kuwa ni dawa asilia yenye virutubisho vingi sana. Licha ya ute wake, mlenda una faida kubwa kiafya na unashauriwa kuingizwa ma . . .